Lecturer UDSM azawadiwa na Wanafunzi

Huyu mwalimu watu wanaohusika mimi nashauri wamwangalie kwa jicho la kipekee pengine anaweza akaja akatufaa sana kama kiongozi wa ngazi za juu ndani ya nchi yetu, huko mbele ya safari. Watoto wa rika hili huwa siyo rahisi sana wakampenda mtu kwa bahati mbaya tu; huyu mtu lazima atakuwa ana qualities za kipekee sana ambazo watu tulio wengi hatuna. Mungu ambariki sana mwalimu huyu
Hebu tupe jina lake na department
 
Inapendeza sana,Nasikia hata yule Prof Assad aliyekuwa cag wakati akiwa Leacture hapo Udsm alikuwa analipia watu ada,ama mambo madogo madogo ambayo mwanafunzi wa hali ya chini anakuwa ameshindwa kuyapata,so walimu wenye upendo wa kujitoa wapo na iyo ndio faida ya kuwa mwema
 
Yaani huyu bwana mdogo hata kozi zile anazofundisha tu ukimsikiliza anazitaja zinazidi kumpa umaarufu na kumuonyesha kuwa yuko smart sana kichwani; yaani ni product ambayo iinatakiwa kuwepo university pasipo mashaka yoyote yale. Kozi anazofundisha zinamuonyesha yuko safi sana kichwani. I like smart people!
 
Back
Top Bottom