Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
What kind of judgement is this? I hate Wahaya cos are there for their own interest......
Mzee wa Njaa,
Uhaya (ukabila) unaingiaje hapa?
What kind of judgement is this? I hate Wahaya cos are there for their own interest......
Wakuu hapa naona nina matatizo yafuatayo:
2. Tatizo la Kifungu III (i) (a). Hiki kifungu hakipo (aidha katika Revised Edition 2002 au 2010), labda kama alikuwa anamaanisha PART III, CHAPTER III au Section 3 (i) (a). Kama alikuwa anamaanisha Section 3 (i) (a) nayo haipo katika Editions zote mbili, isipokuwa kuna Section 3 tu kwa kila Edition ambayo inasema kama ifuatavyo: "All regulations, directions and notices which the commission is empowered to make, issue or give, shall be deemed to have been validly made, issued or given if they are made, issued or given under the signature of the Chairman of the Commission or the Director of Elections." Kama alikuwa anamaanisha PART III au CHAPTER III, nako tatizo lipo: Katika Edition zote hazizungumzii citation aliyoikweka hapo juu.
Swali ni kwamba kifungu hiki (Section III (i) (a)) alikitoa wapi? Kama kuna kitu nime-overlook niko tayari kusahihishwa wakuu! Mbarikiwe!
Mkuu unaweza kutupa link ya latest edition? Edition niliyo nayo nashindwa kuiunganisha na zile regulations za maadili ya uchaguzi za 2010.
Vipi kama thread ingehamishiwa jukwaa la sheria?
"Leak" ndio nini, hukumu ya kesi kwenye mahakama ya wazi sio siri!
Hii imepatikana vp?
Nilisikia printer za mahakama kuu zilishindwa kuprint hii doc.
Msio wataalamu wa sheria bora mlike tu na kukaa kimya kama mimi,sitochangia hapa zaidi ya kusoma tu! tunaweza kufanya hivi wenzangu na mimi?
Hii naona haijawa Revised, iko kama ilivyosainiwa na J. K. Nyerere tarehe 3 Aprili, 1985!!
Nimeipita hiyo hukumu, no evidence proved beyond doubt ili kuweza kuiingiza serikali katika hasara ya kurudia uchaguzi ambao fika CCM itashindwa. Common sense hakuna.