Jally Wa Salome
New Member
- Feb 10, 2012
- 4
- 1
Mr. Buchanan, lakini kama jaji alikusudia kutaja kifungu 111 cha sheria ya uchaguzi bado yuko wrong kwani kifungu hicho hakina uhusiano wowote na maelezo yake katika hukumu ya lema. tungempata nadhani tungepata maelezo mazuri toka kwake.