Tatizo la hii hukumu hili hapa
1.Sheria ya uchaguzi inasema katika kifungu 108[1] kuwa hapa ukitumia lugha ya matusi,kumdhalisha mshindani wako kijinsia,unakuwa umetenda kosa.Na unarusiwa kushiriki chaguzi
2.Wakati kifungu 108[2] kuwa ikibainika umetoa rushwa au hali inayoonyesha umetoa hongo ni kosa na adhabu yake ni kufungiwa kushiriki uchaguzi kati ya miaka mitano au kumi.
Mantiki ni kuwa jaji kasikiliza kesi kwa kutumia kifungu 108[1] na ametoa hukumu kwa kutumia kifungu 108[2] kitu ambacho ni kosa
Huo ndiyo uelewa wangu