Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

Hizi nazo tena taarabu, mbona hiki kijiwe kinazidi kujaa watu wasio na hekima?
 
Haijulikani kama Rais Kikwete anajua juu ya “mazoezi ya viungo” ya Waziri Masha anayoyafanya akitumia muda wa serikali na mali za umma na zaidi ya yote kuletea kashfa nafasi yake nyeti.

kwi kwi kwi kwi....
Mbona hata yeye mkulu ni mtaalamu wa hilo zoezi la viongo yawezekana anaweza akamzidi huyu Masha kwa hili zoezi.......watalimaliza kisha jamaa anauacha mzigo ule anautafuta mzigo mwingine.
 
Wadanganyika tuache unafiki! Mi binafsi sioni tatizo akiwa na bi-mdogo na kumsomesha, na kugharamia, ndio chaguo la maisha yake, na pia ni mambo yao binafsi, pengine unyumba unayumba kwa mke mkubwa je? au mnataka mpaka mtu atangaze kila kitu??? sio mambo hayo, na pili hivi ni nani au ni mwanaume gani aliyeoa na mkewe ana watoto na yeye hana kimada nje? kama yupo basi hongera zake nyingi tu na abarikiwe kwa hilo. Kiufupi kama Masha ana kimada mmoja tu na wanaheshimiana basi hakuna tatizo ndio unaume wa kitanzania huo....(bisha!). Masha alaumiwe tu kama ana vimada vingi vingi au ana vichangudoa vya one night stand na anaonekana hadharani basi atakuwa ni mtovu wa nidhamu.
Na kuhusu kutumia pesa ya serikali, kwanini tuanze kumtupia lawama mtu tusie na uhakika kama anatumia pesa ya walipa kodi kuhudumia hawara, na tunawaacha wanaojuliikana waziwazi kuwa wamekwiba pesa ya serikali? mf EPA etc.... huu ni unafki wa watanzania sisi. Kama kweli tuna hasira na pesa ya walipa kodi iweje issue ya EPA iishie kwenye screen za computer zetu? hakuna lolote lililofanyika zaidi ya kupiga soga tu hapa? kama hatuna la kufanya jamani twende nje tupunge upepo na kucheza football kwa afya na sio kuleta umbea na kuharibu macho kwa kuangalia screen siku nzima. Lo
l

This is very low, kwa hiyo unakiri kuwa wanaume wote waliooa wana nyumba ndogo na kwamba that is a necessity? na kwamba huo ndo urijali? chaguo la maisha yake ni mke wa ndoa au kimada? give me a break people, mbona mnahalarisha ufuska namna hii/ inatisha and may Gd help us, kama wanaume wenyewe mliobaki ndo mnawaza hivi, kazi ipo.
 
Sikubaliani na wote wanaoshabikia kuwa Masha anafanya vizuri kuwa na foleni ya vimada. Yes, fedha inamruhusu hata kama asingekuwa mheshimiwa kwani ile Law Firm yao inawalipa sana. Uzinzi au zinaa si maadili kabisa katika jamii hasa pale ambapo mtu ameoa. Ati mkewe ana umri??? What a shit? Alipokuwa anamwoa hakujua umri wake? Je hao anaowapanga wa umri tofauti tena wadogo je mbona basi ni wengi asingekuwa na mmoja? Huyo Masha ni Mlafi wa ngono.

Tume ya maadili ya Viongozi inahitaji kufanyia kazi suala hili la viongozi waandamizi serikalini kuwa na nyumba ndogo na kuzihudumia kwa rasilimali za serikali yetu. Tumeshayaona, kiongozi ana nyumba ndogo nnne na zote zinapata huduma kwa migongo ya watanzania.

Tuige mfano wa Japan, Waziri Mkuu amejiuzulu. Kwa kitendo tu cha kuonekana hadharani na nyumba ndogo hadhi yake ilishushwa na amechukua uamuzi wa kujiuzulu. Kiongozi yeyote hata baba nyumbani ni kiooo cha familia na jamii kwa ujumla.

Udhaifu wao huo ndiyo unawafanya viongozi washindwe kuwa productive kwa kuwaza mausuala ya mixed informal families. Na ile mijiongozi inayodandia machangu Bungeni, huoni inavyolala ndani ya Bunge badala ya kuchangia hoja?. Wanashtuka wakisikia makofi tu au akinyanyukiwa kujibu swali unaona anang'aa macho tu. Tukemee suala hili sheria ziwekwe na zifuatiliwe na adhabu itolewe. Kwa hapo nakuambieni mtaona jinsi watu wataaacha kulala Bungeni au ndani ya ofisi zao na kuamka kuchapa kazi.

Wapo wengi zaidi ya Masha, ni kazi ya Tume ya Maadili kama wataamua kulifanyia kazi basi wachunguze viongozi wote. Na sifa mojawapo ya kuwa kiongozi mwandamizi serikalini iwe kuanzia uadilifu kwa familia yake na kutokuwa na nyumba ndogo. Aibu Tanzania tuamke jamani. Thanks.
 
Masha muhini juzi nimemuona kwenye sherehe za jeshiwaziri anatoa speech na bongo la "O'speech yenyewe kaandikiwa.Hata hivu mheshimiwa namjua tka zamani na ndie alikuwa anamtafutia vidosho kwa ajili ya makamuzi
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

Ubidamu kweli kazi!!Hawa ndo wapotoshaji kweli katika jamiii unapotosha sana.
Kwa hiyo unaruhusu aendelee kupiga pushapu kadiri awezavyo.........Naona umesahau kuwa Masha bado damu changa tunamhitaji kwa muda mrefu katika taifa hili lakini unavyo ongea kishangingi hivyo huyu tukimpoteza kwa UKIMWI unajua kabisa gonjwa hili ni hatari sana katika jamii yetu hasa kwa watu wanaondeleza LIBENEKE ovyo kama huyu waziri.
Tukimpoteza kwa UKIMWI huyu Masha naamini wewe utakuwa wakanzwa hapa kumlilia tena hapa hapa kwa nini usimshauri abadili tabia??kulipo kwendeleza libeneke ovyo mara karukia huku mara kaja kwako mara kwa nanihiino sasa si balaa huoni kama tunaweza tukampoteza hivi hivi?
 
I will reserve my comments about this dude but as the say beauty is only skin deep!
Huyu Mheshimikwa ni mambo mengi Mungu amsaidie!
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA
Ehe heeeeeeeeeeeeeeee....Haloooooooooo..
 
Nadhani kuna haja ya kutumia zaidi lugha za wana JF, zipo humu na tunazijua lugha nzuri tu ambazo hazina kichefu chefu hata kama wewe ndiye Miriam!!
 
ubidamu kweli kazi!!hawa ndo wapotoshaji kweli katika jamiii unapotosha sana.
Kwa hiyo unaruhusu aendelee kupiga pushapu kadiri awezavyo.........naona umesahau kuwa masha bado damu changa tunamhitaji kwa muda mrefu katika taifa hili lakini unavyo ongea kishangingi hivyo huyu tukimpoteza kwa ukimwi unajua kabisa gonjwa hili ni hatari sana katika jamii yetu hasa kwa watu wanaondeleza libeneke ovyo kama huyu waziri.
Tukimpoteza kwa ukimwi huyu masha naamini wewe utakuwa wakanzwa hapa kumlilia tena hapa hapa kwa nini usimshauri abadili tabia??kulipo kwendeleza libeneke ovyo mara karukia huku mara kaja kwako mara kwa nanihiino sasa si balaa huoni kama tunaweza tukampoteza hivi hivi?
who cares?
As a nation tumeshapoteza mwelekeo.wale tuliowapa dhamana ya kutuonyesha njia sahihi.jukumu hilo tumeachiwa wenyewe.kila mtu atafute njia ya kufika kanani.
% solo:......madereva...
Choir:madereva nyerere na makamu wake
solo:....abiria.........
Choir:.....abiria ni sisi sote wananchi
solo:...nchi za nje........
Choir:....nchi za nje wauliza , gari linakwenda wapi?
Choir:...sisi twawambia...
Solo:linakwenda wapi
choir:.....kwa ujamaa.
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

Alot is going on than what meets the eye!Huu ujumbe umebeba mengi!
Kwanza probably ndiyo kinyumba ndogo:
Pili umalaya:
Tatu usagaji:
Hiyo ndiyo raha ya freedom of speech!
 
Are you sure that he is using government resources? Remember he is still financially okay even without his political job!

I'm out!

Sina uhakika na ndio maana nimesema ninaomba maelezo ya ziada ili nithibitishe kuwa ni kweli. Tafadhali rejea my original post
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

kWELI ze utamu imehamia mahali hapa. Yanatakiwa MAOMBEZI MAKUBWA SANA
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

The Utamu in the House
FUTA NA hIYO
 
Jamani mimi huyu MAMA MIA amenikwaza sana...........nashawishika sana kuamini ndo mhusika mwenyewe anaye vunja amri ya 6 na mheshimiwa na nina amini ndiye wanaye shilikiana kutumbua fedha zetu sisi walalahoi hii kauli aliyo itoa mmmh! sijui wanaJF mnasemaje?
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

TAna na Tena
 
Jamani jamani hili kundi la imma lote tabia zao ndio hizo jamani.hawa hawashauriki kabisa .kabla sijamjua mke wa Masha nilidhani huyu miriam ndio mkewe mana ukimsikia anavyomuonglea masha utadhani ni mama mwenye nyumba kweli.Sijui tutaishia wapi jamani.tuombe mungu tu mana unaweza ukawa umetulia kwenye ndoa mwenzio akakuletea ukimwi bila kupenda
 
Mama mia nakubaliana na wote waliomshangaa kuwa yeye pia amefuga mume wa mtu. Ndiyo wale wasiotaka kuishi maisha ya ndoa kwani ati hawataki kufugwa. Angekuwa mama mwenye busara asingejibu utumbo namna hiyo. Angekuwa ameolewa halafu mume wake anamtosa au anakuwa na affairs nje ya ndoa yao moyo ungemuuma sana na asingethubutu kujibu kihuni namna hii. Nawapongeza wanaume wote waliolaani kitendo hiki.

Hata kama mume ana cheat but wengine ni reserved jamani. Japo sikubaliani kabisa na ukosaji wa heshma ndani ya ndoa.

Na wale mlio karibu na mwasha hasa wale wanaokutania pale rose garden msaidieni huyu jamaa mwasha kama mlivyomshauri akaacha kuja rose garden na gari ya serikali. Kuna siku nilikuwa pale rose garden mwasha alirudi safarini toka dodoma na kabla hajafika nyumbni akapitia rose garden na gari ya serikali. Cha kushangaa kabisa akapata bia mbili tatu then akapanda juu ya meza akakaa. Kweli sikufurahia sana. Hata kama ana uhuru wa kufanya atakayo lakini kwa wadhifa aliyo nao matani au masihara mengine ni lazima aachane nayo. Awe mtu reserved ana ataheshimiwa.

Hata hivyo hii post ni muhimu na imeamsha hisia za wengi lakini ni tatizo sugu sana kwa viongozi wetu na sijui tutafanyaje tuweze kuchangia mawazo wa namna ya kuiboresha tume ya maadili ya viongozi wa umma.

Naomba kama kuna mwana jf mwenye taaarifa kama tume ya maadili ya uongozi watafanya any public consultation kuhusu namna bora ya kuifanyia reform taasisi hiyo. Asanteni.
 
Licha ya binti huyo Bw. Masha anadaiwa kuwa na vidosho wengine kama kina Lulu, Lily Mziray, na Lorraine (kutoka Zimbabwe ambaye inadaiwa alipewa deportation order)
Majina mengi ya kiafrika hasa TZ yanarandana na yanaweza kutofautishwa kwa kuongeza jina la Tatu au sehemu au cheo cha muhusika.kwa mfano akina salma wako wengi tu,au akina sophia wako lukuki.Hiyo sentesi haijakamilika kuelezea uhalisia wa hao wanaodhaniwa kumpa jamaa burudani.
 
Back
Top Bottom