Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

Ndugu wa Jf, kuna msg zetu nyingine haziwi posted, huu mtandao nahisi si uhuru tena,!kwanini tusizindue wetu huru!Hoyo MAMA MIA ndo Mheshimiwa mwenye we anajitetea.tumekustukia.
 
.....study imeshafanyika na experience inaonyesha viongozi wasioheshimu ndoa zao ni hatari sana na ndio mwanzo wa matatizo mengi sana katika jamii,ndio maana ni big deal kwa nchi za wenzetu zilizoendelea na ukishikwa career ndio kwisha,kama huwezi kuheshimu mke na watoto kwanza wako sijui kama unaweza kuheshimu chochote...hili ni tatizo kubwa sana na ndio mwanzo wa ufisadi!
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

Wait a minute!
Hivi JF imefikia kiwango cha kuwa kijiwe cha mipasho?

If it is..then Im in a wrong place!
 
Wait a minute!
Hivi JF imefikia kiwango cha kuwa kijiwe cha mipasho?

If it is..then Im in a wrong place!

Usikate tamaa. JF ni sehemu nzuri sana na ya watu wenye busara, majority. Minority wengine wanaiharibu. Hujui humu pia kuna mafisadi au vibaraka wao? Tena wanatuharibia themes nyingine ili zikose mwelelekeo? Any way, tukishawajua through postings zao ni kuwapiga chini tu. Kazi kwako moderator. Unajua wengine utawatanmbua kwa namna wanavyochangia au kuibua issue za uongo tu. mwenzetu aliimba "utawatambua kwa matendo yao" mimi nasema "utawatambua kwa aina ya posting zao za uzushi na uchangiaji wao wa kizushi".
 
Mkuu heshima yako sana, siku hizi kuna open marriages ambapo mke na mume wanakubaliana kufanya mambo yao nje na kuendelea kuwa pamoja for the sake of kids ninazijua ndoa nyingi sana hapa Dar, za namna hiyo maneno yako yangekuwa na nguvu sana kama mke wa Masha angekuja hapa kulia,

Otherwise ni absolutely none of our business, labda tu utuambie ametumia hela ngapi au mali ngapi za taifa letu kwa hao vimada then it our damn business!

With all due respect!
Hutegemei mwanamke mwenye heshima zake kama mama Masha kuja humu kumwaga mtama kwenye kuku wengi! Mambo binafsi siyo lazima kuyamwaga hadharani.A woman worth her salt kama mama Masha hawezi ku stoop so low kuja kumwaga siri zake za ndani humu...kisa nini? that will never happen!
its true kila marriage ina mambo yake ..kinachotokea hapa ni kwa vile Masha ni public figure ndio maana some people are questioning his behaviour.
Mkuu, we should not make assumptions kuwa mke ameridhia..pia JF haina ubavu kubadili tabia za watu wala haina nguvu ya kuhalalisha.At most ni kuonyesha disapproval ili mwenye maskio asikiye.Tabia haina dawa!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Kama Masha ni mmoja wa kile kijiwe cha Rosegarden basi kaishiwa maana kile kijiwe kazi yao kubwa ni umalaya na umbea kazi kufuatilia maisha ya watu na kuchukuliana wanawake. Wakisha kaa pale ktk kile kijicontena aikatize binti mzuri kaenda toilet udenda unawatoka.

Ushauri wangu ni kwamba yeye anajijua kuwa ni kioo cha jamii aachane na hayo mambo ya kuwa na wanawake kila kona, inaonekana ni wazi ni limbukeni wa vibinti ujana wake kabla ya kuoa alikuwa hajaumaliza, au starehe amezijulia ukubwani baada ya kupata pesa.

Hivi kwani mtu ukitoka kazinai kama huna jambo la muhimu kupita bar ukaenda nyumbani ukacheza na wanao na mkeo huwa unapungukiwa na nini?
 
Alot is going on than what meets the eye!Huu ujumbe umebeba mengi!
Kwanza probably ndiyo kinyumba ndogo:
Pili umalaya:
Tatu usagaji:
Hiyo ndiyo raha ya freedom of speech!
Quote:

Originally Posted by MAMA MIA
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

Inaelekea kuna wanaodhani JF ni kijiwe kama vijiwe avya akina......
Mkuu kevo umekokotoa vyema : umalaya, usagaji, naufuska vinashabikiwa na huyu "MAMA MIA" ashauriwe tu hapa si mahali pake..atafute viwanja dizaini hiyo na vipo tele!
 
Huyu mama mia anaweza akawa ndo muhusika mwenyewe, manake kwa umbea na vijiweni nasikia ni namba moja,
 
kama mtu anashindwa kuheshimu mke na mtoto wake mwenyewe, anashindwa kuheshimu mkataba binafsi.
Ni vigumu kujua ataheshimuje wengine asiowajua.
Sijasema hatapata hela au kufanikiwa kiuchumi, ila atakuwa na mapungufu katika utashi wake. Ambayo ni kikwazo katika maamuzi yake katika hazi ya kuhudumia jamii.
Hi ni kwa yeyote ambaye anavunja mikataba(mkataba) wake na mwenzi/wenzi wake.
 
With all due respect!
Hutegemei mwanamke mwenye heshima zake kama mama Masha kuja humu kumwaga mtama kwenye kuku wengi! Mambo binafsi siyo lazima kuyamwaga hadharani.A woman worth her salt kama mama Masha hawezi ku stoop so low kuja kumwaga siri zake za ndani humu...kisa nini? that will never happen!
its true kila marriage ina mambo yake ..kinachotokea hapa ni kwa vile Masha ni public figure ndio maana some people are questioning his behaviour.
Mkuu, we should not make assumptions kuwa mke ameridhia..pia JF haina ubavu kubadili tabia za watu wala haina nguvu ya kuhalalisha.At most ni kuonyesha disapproval ili mwenye maskio asikiye.Tabia haina dawa!

Mambo ya ndani ya ndoa ya Masha hatuyajui, kama yeye na mkewe wana makubalinao flani hatujui, lakini ninawajua wananchi wengi hapa Darsalama, wanaoishi maisha ya open ndoa, na kuishi pamoja kwa ajili tu ya watoto wao, kuna wengine mashoiga na wana wake na watoto,

Masha ni mtu mzima na mwenye akili timamu na msomi pia aliyebobea na ni mwanasheria mzuri sana kati ya wachache sana tulio nao bongo, eti at this time and moment of his life tunaweza kumfundisha what is right na what is wrong? Tena waziri wa mambo ya ndani? Eti wewe mkuu unamjua vizuri mkewe?

Eti ni makosa kwa M-Tanzania kwenda Rosegarden kwa sababu tu ya kazi yake? Kwa sababu amesema nani? Kama hizi habari ni za ukweli na ni njema sana mbona waliozileta hawakuzileta kwa majina yao hasa wanayoheshimika nayo humu forum? Hivi kwa nini mnapenda kujifanya wajanja wakati ni wajinga? Hivi ni kwa nini mnapenda kuwafanya watu hapa forum kuwa ni wajinga sana na ninyi tu ndio wenye akili? Wewe unaamini kuwa una hoja hapa kwa nini unatuzunguka na majina kwa nini usisimame na jina lako hasa unalotumia hapa? Wanaleta udaku hapa halafu wanakimbia na kuangalia kwa pembeni huo ndio ujanja?

Wakuu again ninaomba mtuambie Masha ametumia hela ngapi za serikali kuhudumia huyu kimada? Msitupotezee muda hapa, kama kuwa na kimada ni vibaya sana basi tubadili katiba badala ya kujaribu kuharibu majina ya viongozi humu kwa sababu za wivu na chuki zisizokwisha!
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

FIELD M, SE..

umetoa credit kwenye hii post..unamaanisha nini mkuu...

To me this post sounds like a bad desease, sorry
 
mambo ya ndani ya ndoa ya masha hatuyajui, kama yeye na mkewe wana makubalinao flani hatujui, lakini ninawajua wananchi wengi hapa darsalama, wanaoishi maisha ya open ndoa, na kuishi pamoja kwa ajili tu ya watoto wao, kuna wengine mashoiga na wana wake na watoto,

masha ni mtu mzima na mwenye akili timamu na msomi pia aliyebobea na ni mwanasheria mzuri sana kati ya wachache sana tulio nao bongo, eti at this time and moment of his life tunaweza kumfundisha what is right na what is wrong? Tena waziri wa mambo ya ndani? eti wewe mkuu unamjua vizuri mkewe?[/b]
eti ni makosa kwa m-tanzania kwenda rosegarden kwa sababu tu ya kazi yake? Kwa sababu amesema nani? Kama hizi habari ni za ukweli na ni njema sana mbona waliozileta hawakuzileta kwa majina yao hasa wanayoheshimika nayo humu forum? hivi kwa nini mnapenda kujifanya wajanja wakati ni wajinga? Hivi ni kwa nini mnapenda kuwafanya watu hapa forum kuwa ni wajinga sana na ninyi tu ndio wenye akili? Wewe unaamini kuwa una hoja hapa kwa nini unatuzunguka na majina kwa nini usisimame na jina lako hasa unalotumia hapa? Wanaleta udaku hapa halafu wanakimbia na kuangalia kwa pembeni huo ndio ujanja?
wakuu again ninaomba mtuambie masha ametumia hela ngapi za serikali kuhudumia huyu kimada? Msitupotezee muda hapa, kama kuwa na kimada ni vibaya sana basi tubadili katiba badala ya kujaribu kuharibu majina ya viongozi humu kwa sababu za wivu na chuki zisizokwisha!

1.i dont want to believe that you are attacking me personally!sidhani u are implying that i am stupid or illiterate/ignorance - hatuonyehsni nani zaidi hapa bali tunaweka opinions zetu .ingekuwa ni kuonyeshana visomo na mengine basi nadhani ingekuwa hapatoshi hapa!
2.i want to believe that you understood my message clearly which is the most important thing!
3.you are entitled to your views/opinions, and so do others in this forum
4.tuchangie kwa kuheshimiana
 
Originally Posted by MAMA MIA

WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

FIELD M, SE..

umetoa credit kwenye hii post..unamaanisha nini mkuu...

To me this post sounds like a bad desease, sorry

Mkuu kwanza you know my name sasa hukuwa na sababu kama una aamini una hoja kujaribu kujifanya hulijui vizuri,

Pili nafikiri unashindwa kuelewa kuwa wewe una haki hapa kama mimi ya ksuema unayofikiri na ninayofikiri, a bad deases kwako sio necessary kwamba lazima iwe the same kangu,

Ninachokuuliza wewe na huyu melta mada ni hgela ngapi za serikali yetu Masha ametumia kuhudumia hawara? Otherwise bado nina-support hiyo post ya Mamamia, au?
 
Ni kweli kwamba tabia za ki-fuska hazifai lakini kuna mengi ndani post ya huyo ENIGMA kuliko ujumbe kwa MASHA

INAONEKANA ENIGMA ANA UCHUNGU MWINGI SAANA KWA HUYO MASHA NA INGEKUA VIZURI ATOE MAELEZO ZAIDI, CHA ZAIDI NI KWAMBA ENIGMA NA MAMA MIA WANAONEKANA KAMA WANAFAHAMIANA VILEVILE.

TUSIPOANGALIA, TUTAKUA TUMERUKIA HOJA YA ENIGMA NA MAMAMIA

INGEKUA BORA KUIACHA HII THREAD IPOE TU MAANA MWENYE UJUMBE KESHAUPATA

MZIMU...
 
1.i dont want to believe that you are attacking me personally!sidhani u are implying that i am stupid or illiterate/ignorance - hatuonyehsni nani zaidi hapa bali tunaweka opinions zetu .ingekuwa ni kuonyeshana visomo na mengine basi nadhani ingekuwa hapatoshi hapa!

Mkuu aliyeleta hii mada huu ni ujumbe kwake, sidhani kama unakuhusu na sidhani kama unakushusu, kwa sababu mleta mada ana jina moja maarufu sana hapa Jf na huwa hapendi sana tabia kama hizi za udaku, sasa ndiop maana nimeshangaa sana kwa yeye kujibadili na kuja na hiii mada, it is pathetic huu unafiki utatuua wabongo!
 
You wish unhhh! mwisho wake kisasa Katika serikali ipi hiyo? What is the history yaani kiongozi gani bongo aliwahi kumaliza political career kwa sababu hii?

Unajua siasa kama sheria, ni about history anayafanya bwana mdogo kama ni kweli sio mazuri lakini hayatuhusu ni ya familia yake, absolutely none of our business, unless kama tuna sheria againt it, au?
there are times you overstep the mark.sihitaji ku go into details juu ya Bw.Lau katika hili la ku overstep,naamini 'message sent'.
 
there are times you overstep the mark.sihitaji ku go into details juu ya Bw.Lau katika hili la ku overstep,naamini 'message sent'.

I mean ku-overstep maana yake inaweza kuwa ipi hasa, kama kuna mmoja anahudumia kimada na mwingine anampa kimada uwaziri? Exaclt nani anye-overstep hapa?

Tuache wivu na chuki za binafsi, nafasi za uongozi zipo tuzitafute kama bwana mdogo Masha, lakini wivu na chuki hizi hzitufikishi popote, kazi ya taifa anaifanya inavyotakiwa, that is all matters sasa eti tunataka kuanzisha sheria ya kwuafuata viongozi wetu kwenye maisha yao ya binafsi? Message sent ot who Lau? great guessing!

Talking about overstepping others privacy?
 
Kama walivo sema wengine i also think its a PRIVATE matter,if Masha's wife is affected by this ataenda kanisani kushitaki au mahakamani sisi SIDHANI kama linatuhusu,tuzungumzie utendaji wake wa kazi.
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA
...Zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz 2+2= 0%????
 
just recently her mum was appointed/promoted to be a high court judge...wana mtoto na Kinje aitwae Junior....
 
Back
Top Bottom