Lawrence Masha na Miriam - Kashfa

acheni kumuonea huyu bwana mdogo..nani hana hawara hapa?...hata kama huna sio kazi yako kumfunga kamba mwanamume mwenzako..unless kama hizi tuhuma sio sehemu ya kampeni,...otherwise katika mawaziri vijana masha ,ngeleja,hussein mwinyi na deodotus kamala wanajitahidi..afteral..kama ni ufuska kikwete anaongoza....kama ni adhabu itakuja 2010

.....kwa upande mwingine kwa kuwa masha anapitaga huku...tunamuomba kama kuna ukweli kwenye haya ajitahidi kuwa na staha na kubadilika....
 
Philemon unanichekesha. yaani unamtetea masha kwua anachokifanya si cha ajabu halafu unamtaka abadilike!
 
..ni lazima abadilike kwa kuwa sio yote yaliyoongelewa hapa ni uwongo....nadhani anaponzwa na watu wanaomzunguka....hajaachana nao....ukizingatia ni kijana mdogo bado ni kizazi kitakachotoa rais siku moja...na hatutaki kuja kuwa na rais dizaini ya kikwete tena nchi hii....so hawa vijana ni bora tuwashauri kubadilika.....

..nadhani hatujawa na viongozi vijana wengi...kwa cheo kikubwa kama chake...lakini mtakumbuka enzi ya uhuru watu kama mwalimu,kawawa,kambona,ets walikuwa vijana tena wengine wadogo tu....walikuwa wakienda dansi na pilika kama hizi...sema wakati huo hapakuwa na nguvu ya mawasiliano...
 
Jamani, asiye na dhambi aanze kumrushia Masha jiwe!

Mshaurini abadili tabia kwa kupunguza kuandamana na jamaa wa Rosegarden, he is too big for groups like that.

Hayo mengine mi sipendi kuyaingilia kwa sababu hata humu kuna wanaofanya hayo mambo.
 
rose garden? kuna ubaya gani pale. yeye masha anaweza kufanya mawili kupabadilisha pale garden au yeye abadilike kwa kutoenda pale. akabadilisha pale wale mabitozi wakabadilika atakuwa amesaidia taifa zaidi
 
Ufuska wake haunishughulishi sana. Kinachonitisha, na ambacho ninaomba maelezo zaidi ni jinsi bwana mkubwa huyu anavyotumia ngawira zetu kuendeleza libeneke. Hilo, sitamsamehe kama nikithibitisha kuwa analifanya. Kama ni ufuska, atajiju yeye na mungu wake

Are you sure that he is using government resources? Remember he is still financially okay even without his political job!

I'm out!
 
rose garden? kuna ubaya gani pale. yeye masha anaweza kufanya mawili kupabadilisha pale garden au yeye abadilike kwa kutoenda pale. akabadilisha pale wale mabitozi wakabadilika atakuwa amesaidia taifa zaidi

Kama unataka story za pale na za Regency naomba uanzishe thread. Maana hizo sehemu zina makundi ambazo ufuska ni moja ya lengo.

Hizi kundi za kutaka umaarufu na kufahamika kama G8 zinatakiwa zipingwe kwani hazina maadili mema.

Mie sitoanza kurusha jiwe maana na mimi sio msafi.
 
kwamba kwa vile mtu ana utajiri basi hawezi kutumia cheo chake kujinufaisha na hoja isiyo na msingi. Hakuna combination mbaya ya ufisadi kama Cheo, Utajiri, na Ufuska!
 
acheni kumuonea huyu bwana mdogo..nani hana hawara hapa?...hata kama huna sio kazi yako kumfunga kamba mwanamume mwenzako..unless kama hizi tuhuma sio sehemu ya kampeni,...otherwise katika mawaziri vijana masha ,ngeleja,hussein mwinyi na deodotus kamala wanajitahidi..afteral..kama ni ufuska kikwete anaongoza....kama ni adhabu itakuja 2010

.....kwa upande mwingine kwa kuwa masha anapitaga huku...tunamuomba kama kuna ukweli kwenye haya ajitahidi kuwa na staha na kubadilika....

Phillemon; maybe kwa Africa, na culture zetu; kama alivosema FMES, labda hatuna sheria, na kuwa kama mambo yenyewe ndiyo Tanzania, basi wapo wengi. But you're forgetting one very important issue; which is cheating; call me conservative or else in which way you like; I cannot be comfortable to see somebody who is openly cheating his own wife being my president. Phillemon some of the issues we ignore but these are the fundamentals of all our being; and this goes all the way to assess somebody on contravecial issues, leardership etc. Even Clinton denied that he had sex with Lewisnky why?

By the way, if the story is true then is not a compliment for his career/CV. Our government officials should be careful to such issues
 
Wadanganyika tuache unafiki! Mi binafsi sioni tatizo akiwa na bi-mdogo na kumsomesha, na kugharamia, ndio chaguo la maisha yake, na pia ni mambo yao binafsi, pengine unyumba unayumba kwa mke mkubwa je? au mnataka mpaka mtu atangaze kila kitu??? sio mambo hayo, na pili hivi ni nani au ni mwanaume gani aliyeoa na mkewe ana watoto na yeye hana kimada nje? kama yupo basi hongera zake nyingi tu na abarikiwe kwa hilo. Kiufupi kama Masha ana kimada mmoja tu na wanaheshimiana basi hakuna tatizo ndio unaume wa kitanzania huo....(bisha!). Masha alaumiwe tu kama ana vimada vingi vingi au ana vichangudoa vya one night stand na anaonekana hadharani basi atakuwa ni mtovu wa nidhamu.
Na kuhusu kutumia pesa ya serikali, kwanini tuanze kumtupia lawama mtu tusie na uhakika kama anatumia pesa ya walipa kodi kuhudumia hawara, na tunawaacha wanaojuliikana waziwazi kuwa wamekwiba pesa ya serikali? mf EPA etc.... huu ni unafki wa watanzania sisi. Kama kweli tuna hasira na pesa ya walipa kodi iweje issue ya EPA iishie kwenye screen za computer zetu? hakuna lolote lililofanyika zaidi ya kupiga soga tu hapa? kama hatuna la kufanya jamani twende nje tupunge upepo na kucheza football kwa afya na sio kuleta umbea na kuharibu macho kwa kuangalia screen siku nzima. Lo
l
 
WEWE KINAKUUMA NINI????????????KAMA UNAHISI EASY

KUWA UYAONE!!!!!INAONEKANA WE ULIKUWA BIBI YAKE WA ZAMANI NINI???

MKEWE MWENYEWE KARIDHIKA AU NA WEWE UNATAKA BABY COME BACK

LOH!!!!!!!!HILOOOOOOOOOOOOOOOOO UTAJIJU MWANAWANE MAMA KULA

NCHI WENYE KIJIBA CHA ROHO WAFE KWA RAHA ZAO!!!!AIJAWEKWA MUHURI WA

engima!!!!kila mtu kwa starehe yake

bibie enigima kama yako hujui kuitumia vyema mama wapelekee

WAKINA SALAMA WA EATV BEST WANAJUA KUZITUMIIA HIZO AU WAKINA

WAULIZE MTOTO WA MENGI !!!!MAMA TUMIA ULICHOPEWA NA MUNGU USIJEULIZWA

I bet this is not from a woman's mind!
 
acheni kumuonea huyu bwana mdogo..nani hana hawara hapa?...hata kama huna sio kazi yako kumfunga kamba mwanamume mwenzako..unless kama hizi tuhuma sio sehemu ya kampeni,...otherwise katika mawaziri vijana masha ,ngeleja,hussein mwinyi na deodotus kamala wanajitahidi..afteral..kama ni ufuska kikwete anaongoza....kama ni adhabu itakuja 2010

.....kwa upande mwingine kwa kuwa masha anapitaga huku...tunamuomba kama kuna ukweli kwenye haya ajitahidi kuwa na staha na kubadilika....

Alaaah kumbe na wewe umo!
 
ndo mambo yale yale ya eti kwa vile watu wengi wanakula rushwa basi nami ngoja nile kidogo. au eti kwa vile watu wengi wanavuta bangi basi ngoja nami nivute.

jamani msihalalishe udhaifu eti kwa sababu nyinyi/sisi ni dhaifu.
kukemea udhaifu hata kama nasi ni dhaifu ni hatua nzuri, ni heri kuliko kukaa kimya ama kuunga mkono udhaifu.

Kuwa na kimada nje kwa mwanaume wa wala siyo mila ya Mwafrika, hiyo mmezusha nyinyi, bali ukweli ni kwamba kuwa na vimada nje ni aibu kwa mwanaume na hii inaweza kuvunja nyumba. mwanaume wa kiafrika ni kheri aoe hata wanawake kumi lakini siyo kuwa na vimada,
 
Mkuu heshima yako sana, siku hizi kuna open marriages ambapo mke na mume wanakubaliana kufanya mambo yao nje na kuendelea kuwa pamoja for the sake of kids ninazijua ndoa nyingi sana hapa Dar, za namna hiyo maneno yako yangekuwa na nguvu sana kama mke wa Masha angekuja hapa kulia,

Otherwise ni absolutely none of our business, labda tu utuambie ametumia hela ngapi au mali ngapi za taifa letu kwa hao vimada then it our damn business!
 
Wadanganyika tuache unafiki! Mi binafsi sioni tatizo akiwa na bi-mdogo na kumsomesha, na kugharamia, ndio chaguo la maisha yake, na pia ni mambo yao binafsi, pengine unyumba unayumba kwa mke mkubwa je? au mnataka mpaka mtu atangaze kila kitu??? sio mambo hayo, na pili hivi ni nani au ni mwanaume gani aliyeoa na mkewe ana watoto na yeye hana kimada nje? kama yupo basi hongera zake nyingi tu na abarikiwe kwa hilo. Kiufupi kama Masha ana kimada mmoja tu na wanaheshimiana basi hakuna tatizo ndio unaume wa kitanzania huo....(bisha!). Masha alaumiwe tu kama ana vimada vingi vingi au ana vichangudoa vya one night stand na anaonekana hadharani basi atakuwa ni mtovu wa nidhamu.
Na kuhusu kutumia pesa ya serikali, kwanini tuanze kumtupia lawama mtu tusie na uhakika kama anatumia pesa ya walipa kodi kuhudumia hawara, na tunawaacha wanaojuliikana waziwazi kuwa wamekwiba pesa ya serikali? mf EPA etc.... huu ni unafki wa watanzania sisi. Kama kweli tuna hasira na pesa ya walipa kodi iweje issue ya EPA iishie kwenye screen za computer zetu? hakuna lolote lililofanyika zaidi ya kupiga soga tu hapa? kama hatuna la kufanya jamani twende nje tupunge upepo na kucheza football kwa afya na sio kuleta umbea na kuharibu macho kwa kuangalia screen siku nzima. Lo
l

Phuuu, sijaona Taifa linalotetea uasherati kama hili, yaani unakiri kwamba hakuna tatizo kuwa na nyumba ndogo/kimada? Tangu lini zinaa imekuwa sehemu ya jamii yetu? ndio maana tunazika kila siku kwa ukimwi na kuachiwa mizigo ya kulea watoto yatima. Tubadilike jamani, inatia aibu kusoma watu wakiwa so proud and confident to defend zinaa, eti "Mi binafsi sioni tatizo akiwa na bi-mdogo na kumsomesha, na kugharamia, ndio chaguo la maisha yake, na pia ni mambo yao binafsi, pengine unyumba unayumba kwa mke mkubwa je?
Tubadilike, sio kwa viongozi tu hata watu wengine kama hili janga la ukimwi halitatubadilisha Mungu atashusha zahama lingine, manake tumekuwa kama "sikio la kufa lisilo sikia dawa"
Shame on us!
 
Mkuu heshima yako sana, siku hizi kuna open marriages ambapo mke na mume wanakubaliana kufanya mambo yao nje na kuendelea kuwa pamoja for the sake of kids ninazijua ndoa nyingi sana hapa Dar, za namna hiyo maneno yako yangekuwa na nguvu sana kama mke wa Masha angekuja hapa kulia,

Otherwise ni absolutely none of our business, labda tu utuambie ametumia hela ngapi au mali ngapi za taifa letu kwa hao vimada then it our damn business!

FMES...umechangia very low!!!
 
Wakuu Gamba la Nyoka na Tonga...michango yenu mizito...

Zinaa haina haja ya kutetewa hata kwa sekunde...Just imagine wanaotetea Uzazi wa mpango wangeweka mkazo kudhibiti zinaa, tungepunguza matatizo, mengi sana. Leo Hii imefikia kati ya watoto 10 basi 2 ndio wamezaliwa ndani ya Ndoa. Kwa style hii ya maisha, wale walozaliwa ndani ya Ndoa alau wanakuwa na uhakika wa Malezi,
Walobakia wanakuwa na hatihati za maisha, na wanakwa very wanyonge sana!!!

japo tunakataa, Uzinifu ni kosa la Jinai!!!
 
Last edited:
Hawa wanawake ambao Waziri anashutumiwa kutembea nao, je kama ni wachumba ambao ana potential ya kuja kuwaoa bado kuna tatizo la maadili hapo ?

Kama jadi na sheria inaruhusu kuwa na wake mia, kuna tatizo gani kuwa na wachumba mia?
 
Back
Top Bottom