Kama ndivyo hivyo amkaribishe na Bashe.eco ni ofisi maalum kwa wale wabunge tu waliojitangaza kushinda kabla ya uchaguzi kufanyika halafu hawakuwa
wabunge baada ya wananchi kuwapiga chini.
Masha murugnzi eco ndiyo nini?
Eco au ni hii bank inayoitwa ECO bank,?
Mwenyewe taarifa atujuze zaidi.
Kama yake basi amesaidia sana mitaaa yetu michafu inayonuka!!! Tusiwe negative kwa kila kitu jamani!