Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD

Kweli kufa kufaana neema imemuangungukia aliyekuwa mbunge wa mwanza L. Masha
baada ya kupata tenda ya kubeba taka katika jiji la Dar es salaam. Kama wewe ni mkazi wa
dar utakuwa umeyaona haya magari yakibeba taka kube mmiliki wake ni L masha


Waste-Management-Truck_Eco-Protection-Tanzania.jpg
mazuri sana aisee afadhali pesa za wizi wazitumie vizuri kuliko wa kina chenge walipoziweka visiwani kwenye mabenki ya nje!
 

kama Masha hajafuta sheria, ni mbaya kiasi lakini nampongeza...
Mbaya kiasi?

Kuvunja sheria za tendering process ni mbaya kiasi?

Janga kubwa linalolikabili Taifa sasa hivi ni public procurement mismanagement and corruption. Tuko gizani sasa hivi moja ya sababu ikiwa ni corrupt tendering system in goverment, inabidi watu wafungwe! Mbaya kiasi?

Misingi ya utawala bora inataka shughuli za biashara na serikali ziwe za wazi na haki. Tunataka misingi hiyo, si kufurahia tu ukiona truck jipya mjini basi kushangilia kichwa kichwa.

Masha amelipwaje kwenye tenda hii ya kodi yangu? Ilitangazwa lini na wapi? Magari yatakuja kusafisha Kijichi na Kwa Mtogole au yatabaki Oysterbay na Regent? Needs assesment report ya Halmashauri iliyotathmini kwamba ni bora kukodi kuliko kumiliki iko wapi? Ipo at all? I want to know, how do they spend my tax money?

Mbaya kiasi? Tunaangamia kwa ufisadi wa public procument we unasema Masha kama kavunja sheria ni mbaya kiasi?
 
kMbaya kiasi?

Kuvunja sheria za tendering process ni mbaya kiasi?

Janga kubwa linalolikabili Taifa sasa hivi ni public procurement mismanagement and corruption. Tuko gizani sasa hivi kwa sababu ya corrupt tendering system in goverment, inabidi watu wafungwe! Mbaya kiasi?

Misingi ya utawala bora inataka shughuli za biashara na serikali ziwe za wazi na haki. Tunataka kujenga misingi hiyo. Siyo kufurahia tu ukiona truck jipya mjini basi kushangilia kichwa kichwa.

Masha amelipwaje kwenye tenda hii ya kodi yangu? Ilitangazwa lini na wapi? Magari yatakuja kusafisha Kijichi na Kwa Mtogole au yatabaki Oysterbay na Regent? Needs assesment report ya Halmashauri iliyotathmini kwamba ni bora kukodi kuliko kumiliki iko wapi? Ipo at all? I want to know, how do they spend my tax money?

Mbaya kiasi? Tunaangamia kwa ufisadi wa public procument we unasema Masha kama kavunja sheria ni mbaya kiasi?
nenda mahakamani
 
Muhimu ni ubora wa huduma,bila kujali nani mnmiliki wa hii kampuni haya ndio magari ya takataka tunayotaka kuyaona kote Tanzania. Tunapambana na mfumo unaodidimiza maendeleo na sio mtu!Kwangu mtu akija na magari kama haya wala haitaji kushindanishwa ni kumpa maeneo na kusimamia kazi inafanyika!


Mkuu hapo umenena sana! Tukianza kutazama na kujadali watu badala ya maswala na mifumo tutazidi kupotea. Kama jamaa alikuwa na mtaji wa kutosha na akafuata taratibu zinazotakiwa ili kupata hiyo tenda, mimi sioni ubaya wowote. Shida ni kama alipewa tenda kinyemela.
 
ECO...mwisho wa siku wana mpango wa kuzalisha umeme utokanao na taka..na wana mapngo wa kuingia mbeya ,arusha na dodoma
 
Ni kweli magari yanavutia na ni ya kisasa. Tatizo hasa liko kwenye ufanisi pamoja na gharama ECO inazotoza. Kampuni zilizotangulia zilitoza wastani wa Tshs 40,000 kwa mwezi na walisomba taka mara mbili kwa wiki. ECO wanatoza takribani 80,000 kwa mwezi na wanasomba taka mara moja kwa wiki! At the end of the day, mwenye nacho anazidi kuongezewa, na asiye nacho ananyang'anywa hata hicho kidogo alicho nacho!
 
Kweli kufa kufaana neema imemuangungukia aliyekuwa mbunge wa mwanza L. Masha
baada ya kupata tenda ya kubeba taka katika jiji la Dar es salaam. Kama wewe ni mkazi wa
dar utakuwa umeyaona haya magari yakibeba taka kube mmiliki wake ni L masha


Waste-Management-Truck_Eco-Protection-Tanzania.jpg
Mkuu unachoongea hapa ni kweli kabisa....jana nilibahatika kukutana na huyu muheshimiwa mstaafu sehemu fulani,
kwa masikio yangu nilimsikia akiongea na mtu fulani kupitia simu yake ya mkononi wakiabalishana kuwa Gari kumi kama hiyo hapo juu
teyari zimeingia bandarini na leo wapo kwenye mchakato wa kuzitoa....lakini hayupo peke yake kwenye hiyo kampuni...yuko shared na watu 4
 
...zilitoza wastani wa Tshs 40,000 kwa mwezi na walisomba taka mara mbili kwa wiki. ECO wanatoza takribani 80,000 kwa mwezi ...
Acha usanii!

Shilingi 80,000 haziwezi kujaza hata robo tenki la mafuta ya hilo truck, Masha hawezi ku charge shilingi elfu themanini kukusanya taka kwa mwezi!
Lazima Halmashauri inalipishwa ma mia ya ma milioni! Hata ukizoa taka kwa toroli la tairi moja mwezi mzima huwezi ku charge shilingi 80,000!

Tenda zisizokuwa wazi matokeo yake ndio haya, tunataka kudanganywa hapa mchana mchana ili kumsafisha Masha.
 
Huku kwetu Tandale mbona hayaji?
Au yanazoea tu taka za Oyster bay na Masaki? au na Posta huko?
Fika pale offisini kwao ukawaulize swali hilo....offisi zao zipo Old bagamoyo road Mikocheni....jirani na Regency park hotel
 
Sioni tatizo kwa ndugu masha kuwa CEO wa hiyo kampuni. Jamaa wanaplani nzuri kama watafanikiwa kwani wanampango wa kuzalisha umeme kwa kutumia takataka kitu ambacho kitakuwa msaada mkubwa kwa jiji la Dar, ninachowalaumu ni kuendelea kukusanya takataka sehemu za waheshimiwa kama Mikocheni, Masaki na Oysterbay huku wakiyaacha maeneo ya Tandale, Mbagala, manzese Nk.

Sina hakika kama tenda ilitangazwa ila jamaa waliandika proposal ikakubalika, hapa wasiwasi wangu jamaa wakianza kuzalisha huo umeme watatuuzia kwa shilingi ngapi? kipi bora mji uwe na taka au mji uwe msafi kwa kununua umeme kwa bei ya juu, Kwenye hiyo kampuni kuna Riz 1, Masha na Ndugu Steve Emasson
 
Kama amepata tenda kihalali, ana vifaa vizuri vya kufanyia kazi, atafanya kazi kwa ufanisi na atalipwa malipo halali, sioni kana kuna tatizo ktk hilo.
Amepata wapi pesa ya kununua hayo magari? Hilo ni suala limgine.
 
nampongeza sana Masha... this is uwekezaji wenye msaada

safi sana, anapunguza dar kunuka
 
Nasikia ni ya kisasa mno.......yakishazoa taka yanapiga na pafyumu
mkuu uko juu zaidi ya hili mazee

acha hayo mambo ya pafyumu nk.

haya magari yana manufaa zaidi kwetu tuliozoea kuona maskrepa yakizoa taka....
 
kwenye vitambulisho vya utaifa mkapiga kelele, ameamua kuwa mzoa taka mwabwatuka. ninyi bantu ninyi mhhhh
 
Back
Top Bottom