Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
Yule Jamaa aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani ni Mkurugenzi wa ECO na Mimi sijui hiyo ECO inafanya kazi gani au ameanzisha Ofisi ya Ulinzi?
 
eco ni ofisi maalum kwa wale wabunge tu waliojitangaza kushinda kabla ya uchaguzi kufanyika halafu hawakuwa
wabunge baada ya wananchi kuwapiga chini.
 
hata mimi nilimuona jana kwnye luninga, jamaa hana aibu yule aisee. ingekuwa mimi nachapa lapa mamtoni maana magwanda wakishika nchi lazima wam''daniel yona.
 
Kweli kufa kufaana neema imemuangungukia aliyekuwa mbunge wa mwanza L. Masha
baada ya kupata tenda ya kubeba taka katika jiji la Dar es salaam. Kama wewe ni mkazi wa
dar utakuwa umeyaona haya magari yakibeba taka kube mmiliki wake ni L masha


Waste-Management-Truck_Eco-Protection-Tanzania.jpg
 
wajameni kama nd hivyo bc sie wadogo hatuna chetu...tenda yeyote ya gvt mpaka ujulikane,da makweli, alianza kingunge na std ubungo, ss uchafu masha, amakweli tumeliwa--Ila hizo ni fadhila za kukosa ubunge amaaaaaa
 
Muhimu ni ubora wa huduma,bila kujali nani mnmiliki wa hii kampuni haya ndio magari ya takataka tunayotaka kuyaona kote Tanzania. Tunapambana na mfumo unaodidimiza maendeleo na sio mtu!Kwangu mtu akija na magari kama haya wala haitaji kushindanishwa ni kumpa maeneo na kusimamia kazi inafanyika!
 
Haya magari siyo miongoni mwa yale magari 200 ambayo inasemekana RZ1 aliingiza nchini???? Hata kama ni hivyo sidhani kama kweli anampango wa kupeleka magari kama hayo kwa wakazi wa Jiji la Mwanza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom