LATRA watafakri upya uamuzi wa kupandisha nauli kuanzia Desemba 8, 2023 kama bei ya nishati ya mafuta imeshuka

Uliona wapi hii Tanzania vitu vipandishwe bei kisha bei ishuke? Unakumbuka ile nauli ya kutoka 400 mpaka 500,Uliwahi kuona imerudi kuwa 400? Hii Tanzania ni ya hovyo sana maana hao wanaopandisha bei ndio wamiliki wa hivyo vyombo vya usafiri. Kwahiyo usitegemee nauli kushuka, yaani hiyo imepita.
 
Back
Top Bottom