Lara1 nimeumizwa na mume kipenzi, sasa nakuona kama role model

Hiyo ni UNIX epoch. 1st January 1970 00:00:00 GMT.

In computer systems, huwa tunapima na kuhifadhi tarehe na muda kwa timestamp, ambayo ni idadi ya sekunde tangu epoch tajwa hapo juu.

Kwahiyo unapoiona popote in a computer system, maana yake ni kuwa tarehe (timestamp) inayozungumziwa haijawekwa au tarehe ni invalid, au there is a bug hivyo namba 0 ndiyo inahifadhiwa badala ya hiyo timestamp husika. Kwahiyo inapokuja kuwa parsed into tarehe ya kawaida tunayoelewa binadamu inakuwa 1st January 1970.

Ideally haitakiwi kuwa hivi. Watengenezaji wa system husika wanatakiwa kudetect pale ambapo timestamp imekosekana na kuweka neno jingine instead of hiyo default date.

Now you know.
Yes and thank you very much
 
Sasa huyo Lara1 ndio nani, mshauri wa ndoa?, mume mpya ama ni nani?, sijui kwa nini wanawake wanakuwa wepesi sana wa kuwaamini wenzao hata kama wanadanganywa ili mradi wakiona mwenzao ni mjanja mjanja tayari keshaingia king
Usiamini kila kinachoandikwa humu, kuna watu wako tofauti sana na kile wanachokiandika, unaweza kuta mwenzio yuko kwa mume wake wewe unaachika kwa kufata maneno yake ya JF
Huyu zen bado hajakua kiakili,thread zake huku hazina tofauti na zile za moniccca ,kutwa kusimulia habari zake za ndani,sasa kama hapa ameona msg za picha chafu kwenye simu ya mumewe sisi zinatuhusu nini?si wangekaa na mumewe waambizane?
 
Kuna bint alirudi kwa wazazi wake kuwa kapalakashwa makofi na mumewe basi bimkubwa wake akamuonyesha alama za mikanda mgongoni kisha akamwambia jana kuamkia leo baba yako kanikosakosa na panga na asubuhi nimemuamsha kwenda kuoga maji ya moto akaniangalia kisha tukafanya yetu na kaenda kazini kwa amani.
Bint ilibidi akusanye kila kitu chake arudi kwa mumewe ndoa si lelemama jamani.
 
Hivi bado kuna watu wanakurupuka hivi? hebu nenda fb kamsome irene mbowe kule afu uache maigizo. Sasa kuona history (ungeongea na watu wakakueleza all men watch porn!), na majina ya hotels na wanawake ndio cheating? eeh!
kumbe upo hadi huku Irene?!
 
Huyu zen bado hajakua kiakili,thread zake huku hazina tofauti na zile za moniccca ,kutwa kusimulia habari zake za ndani,sasa kama hapa ameona msg za picha chafu kwenye simu ya mumewe sisi zinatuhusu nini?si wangekaa na mumewe waambizane?
Haha shabiki mkuu wa chura.....

Oh ila zitakuwaga Chai
Lara 1
Moniccca
Juvenile.......wanafanana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom