Laptops and Mobile phones for sale

sony vio....250gb 0f hard drive,3gb ram, core i3 processor,3gb graphic card...
ina webcam na ni mpyaaaaaa.....cal 0719373606


Kamilisha tangazo lako kwa kufanya yafuatayo:-
Bei
Picha
Mahali/mkoa zilipo

Simu ni kuingizana gharama zisizo za lazima!
 
sony vaio mpya yenye 320 gb of hdd,3gb ram,core i3,3gb graphics card....sumsung 3gb ram,250 of hdd,dual core..pia kuna dell ...zote ni mpya call 0719373606.......
 
sony vaio 320gb of hard disk...3gb ram.core i3 procossor,3gb of graphics card.also sumsung dual core processor,3gb ram,250gb of hdd...del ispiron 250gb of hdd,3gb ram...zote zina webcam na zote ni mpya kabisa...cal 0719373606
 
Sasa Bei poa ndio kupiga simu? kama ni bei poa itaje watu wajue kweli ni nafuu. Jamani jifunzeni customer care maana haiwezekani wewe ndiye unayetaka mteja halafu watu wasumbuke kukupigia simu kama vile unagawa vikombe vya Babu.
 
Sasa Bei poa ndio kupiga simu? kama ni bei poa itaje watu wajue kweli ni nafuu. Jamani jifunzeni customer care maana haiwezekani wewe ndiye unayetaka mteja halafu watu wasumbuke kukupigia simu kama vile unagawa vikombe vya Babu.

Nilipokuwa na miaka 23 ndio nilinunua simu yangu ya kwanza. Ilikuwa Siemens C35 na line ya Celtel. Kwa kuwa sikuwa na contacts nyingi wala watu wa kunipigia simu, ilikuwa inaniboa sana. Kwa kifupi nataka nikueleze jinsi inavyokera kuwa na simu halafu huna namna wala kazi ya kuitumia.

Sasa kaka hapa amegundua namna ambayo atamfanya demu wake amuone kuwa mfanyabiashara mkubwa mwenye deal nyingi za pesa. Anzeni kupiga jamani msimuangushe
 
ndo maana wabongo hatuendelei, ''unatangaza biashara kwa mashariti!!!'' specify bei kwanza vinginevyo utapata wachache wakujitolea kukupigia cm.
 
laptops mpya zinauzwa....original zipo sony vaio....del...hp na sumsungs........call 0716373606
 
hp unauza shilingi ngapi?
del nayo je?
Piga 0759278306
Mimi niko Musoma nitapataje?
 
Back
Top Bottom