Laptops and Mobile phones for sale

hp sina kwa sasa....nw nina......
iphone 3s(phone),...mac air 500gb hdd,ram 4gb,core i5...mac pro 160gd of hdd...pia sony vaio 320gb of hdd.,ram 3gb......cal 0719373606
 
jamani hajasema kama anaziuza, nadhani anatujulisha kama anazo, kama angekua anauza angeweka bei ili watu wafikirie kununua kutotana na bei zake.
 
Biashara ngumu sana...........unauza halafu unakuwa msiri wa bei.>....!!
badala ya kutafuta wateja, wewe unataka wateja wakutafute hata hawajajua bei zikoje!!
 
tunatengeneza website(static and dynamic) na blog kwa bei nafuu sana...kwa maulizo zaidi piga 0719373606
 
tunatengeneza website na blog kwa bei nafuu sana...kwa maulizo zaidi piga 0719373606
 
sony vaio mbili mpya zinauzwa.....zote core i3 ,moja ina hard disk 500gb,ram 4gb nyingine ina hard disk ina ukubwa wa 320gb,ram 3gb.....kama uanitaji piga au beep 0719373606
 
weka full specifications na bei zake mzazii,.
Time & money saving thing is important jombaa.. Mtu akikutafuta ajue analenga ipi kwa budget yake
 
weka full specifications na bei zake mzazii,.
Time & money saving thing is important jombaa.. Mtu akikutafuta ajue analenga ipi kwa budget yake

Also include extra information, like "New boxed or Used", Screen size etc.

Okoa muda na gharama.
 
Ukasome na marketing kidooogo,itakusaidia kujua tangazo linatakiwa liweje,
 
Back
Top Bottom