Laptops and Mobile phones for sale

thejosec

JF-Expert Member
Feb 11, 2010
345
24
hey guys...
am tryn to devolop dynamic web page by using wamp server version 2.1.
but i face some dificulties like to connect mysql with php...
plse any body to help me out..
i need to learn so i need your help.
thanx in advance
 
hey guys...natumia wamp server kutengeneza database and also am tryng to lint it with php..
but kila nikijaribu kuiconect inashindikana...yoyote mwenye msaada anisaidie
thanx
 
Unapata error gani?Copy hiyo error hapa na watu watakusaidia katika kugundua tatizo linaweza kuwa wapi.Inawezekana hujapatia kwenye connection parameters.
 
Opening a connection to MySQL database from PHP is easy. Just use the mysql_connect() function like this
<?php
$dbhost = 'localhost';
$dbuser = 'root';
$dbpass = 'password';
$conn = mysql_connect($dbhost, $dbuser, $dbpass) or die ('Error connecting to mysql');

$dbname = 'dbname';
mysql_select_db($dbname);
?>

localhost andika adress ya server kama hiyo server iko kwenye computer yako itabaki kuwa localhost au IP adress ya computer yako

kwenye root andika user name yako unayotumia kwenye MySQL kama haina username by default itakuwa root

kwenye password andika ya MySQL database kama haina password acha tu blank, i.e" "
kwenye db name andika jina la database yako

hope nimekuelewa na swali lako na jibu hili litakusaidia kama halitakusaidia usisite kuuliza tena
 
hey guys...natumia wamp server kutengeneza database and also am tryng to lint it with php..
but kila nikijaribu kuiconect inashindikana...yoyote mwenye msaada anisaidie
thanx

Hakisha umeme unaotoka kweye wall socket ni 220V. vile vile haikisha Luku yako ina unit zaidi ya 50.

ukimaliza nenda kwenye command promp type ipcofig /all weka hapa tatizo litaisha

:A S confused::A S confused::A S confused:
 
laptops..hp probook,core i3,250gb of hdd,ram 2gb,....sony vaio core i3,ram 4gb,hdd 320 gd.......pia zipo del nzuri na toshiba...zore ni mpya...piga 0719373606......
 
laptops..hp probook,core i3,250gb of hdd,ram 2gb,....sony vaio core i3,ram 4gb,hdd 320 gb..pia kuna dell na toshiba...zote mpya.....jus cal ili uje uzione "0719373606"
 
Weka bei hapo mkuu na ikilwezekana upload na picha hapo kushawishi ma great thinkers watoe pesa zao wanunue, siyo hivi hivi tu kiholela mbuzi kwenye gunia alaaa!
 
DELL ISPIRON 3GB RAM,320GB OF HDD,CORE I3 PROCESSOR,LENOVO 4GB ram,640gb hdd,core i5 also dell latitude core i5,640gb hdd,4gb ram...all are brand new....and are cheap...cal 0719373606
 
Mkuu peleka hii kitu kwenye jukwaa la matangazo madogomadogo, vipi mbona leo watu mnagonga sana besela?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom