nimejaribu kuformat vista ili nilinirudie kuinstall fresh maana mwanzo ilikuwa kwa lugha ya kichina nilifanikiwa kiasi fulani mpaka kwnye kuweka key lakini inakuwa inajirestart kila inapoanza tatizo ambalo awali halikuwepo kabisa sasa nifanyeje maana mimi nilifanya hivyo ili kubadili lugha tuu.nisaidieni wakuu.