Rutashubanyuma Eti we are worried about Shombo?????!!!!!!..... Vipi kile kilichoingia na kuzama mwilini, tunakiitaje?
Maana hicho kina madhara kuliko hilo shombo au harufu!
Chaweza kuleta kiumbe, ingawa mwasema kitanda hakizai haramu!
Chaweza leta maradhi, ingawa mwasema binadamu kaumbiwa matatizo! au Hujafa hujaumbika!
Chaweza leta kifo, ingawa mwasema kila nafsi itaonja mauti!
kweli duniani kuna mambo ila kikubwa nikusimamia maandiko matakatifu nje ya hapo shombo haiwezi kuisha kwa wanawake na wanaume hata kwa wapenzi maana dunia ya leo ni money first mengine yatafuata mbeleni na matokeo yake shombo(HIV) ina ingia kwenye familia na haikomei hapo inaingilia hata watoto wanaoachwa wanakuwa omba omba kutokana na kukosa malezi ya wazazi tuongopeni hii shombo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.