Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,164
Swali jingine mbona Lady Madonna kazaliwa mwaka 1958 - mwaka 1996 ndio akazaa akiwa na umri wa miaka 38 natumaini huu umri Lady JD hajafikisha bado! Jamani JF sasa itageuka kua janvi la udaku.
Madonna hakuwahi kujitangaza kuwa hana uwezo wa kuzaa, JD amewahi kufanya hivyo hadharani. Sawa??