kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Cloudz ni genge la wahuni. Soon hiyo radio itaanza kuporomoka kama ilivyoanza fiesta.
Haiwezi kuporomoka hadi redio nyingine zitakaposikika mikoani kama clouds!Hapa nilipo ninalazimika kuisikiliza na miziki yao wanayoipenda ikiniboa nazima kwanza!Vijiredio vyetu(local)vinaiga mabaya yoote ya clouds mf kuongelea puani na miziki ile ile ya wasanii walewale hadi kero!Radio nyingine mko wapi?
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums