Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
JIDE.jpg

Lady Jay Dee
East African popular musician Lady Jay Dee ameamua kuwapa modongo Clouds fm kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika radio hiyo. Jay dee ameandika kuwa radio ya watu isiyopiga nyimbo za wasanii wa watu ila wasanii wao tu. Angalia tweet za Queen of Bongofleva huyo.

"Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira"

"Anaedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn !!"

Jay Dee pia anaonekana kujizatiti na kujiamini kuonyesha kuwa yupo kwa lolote yeye kama Komandoo Binti Machozi aliandika tena "Kill me if u can. Am on Fire, siogopi ng'oooooo Jipangeni, Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhulu. Nakunywa maziwa daily, I will survive".

"Hee! Kuna wajinga wanadhani nili tweet nikiwa nimelewa, nilimaanisha na msimamo ni huo. Sitasema oooh kuna mtu ka hack ac yangu nooo its me"

" Kuna DJ flani alikuwa akipiga nyimbo nilizoshirikishwa akifika sehemu nilioimba mimi anakata verse yangu nimtaje?? Sa hivi anakat ya Prof J"

Hata hivyo si Jay Dee pekee kuanza kulaumu kwani wapo wanamuziki wengine wanaolaumu nyimbo zao kutokupigwa

578053_452019121541333_147761534_n.png

Hii radio inajifanya ina miungu watu sana. Eti peoples station wakati ina ubaguzi. Mfyuuu.
 
Sugu akiongea mnasema muhuni, aya sasa clouds wanamletea lady jay dee beef ya kitoto kisa na mkasa wanaitamani ile program ya Diary of Lady jay dee iwe inarushwa clouds badala ya eatv.
Mutahaba anataka kila sanaa nzuri iwe chini ya THT ili awafanyie unyonyaji wake kama anaowafanyia kina barnaba na linah.
Kama vipi Vinega featuring Lady Jay dee kwenye ANTIVIRUS volume 3 harakati ziendelee.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hii redio itakuja kufa kifo cha mende.. Huu ni mwanzo tu baadae wasanii wote watawachukia kwa UBAGUZI WAO.
 
Sugu akiongea mnasema muhuni, aya sasa clouds wanamletea lady jay dee beef ya kitoto kisa na mkasa wanaitamani ile program ya Diary of Lady jay dee iwe inarushwa clouds badala ya eatv.
Mutahaba anataka kila sanaa nzuri iwe chini ya THT ili awafanyie unyonyaji wake kama anaowafanyia kina barnaba na linah.
Kama vipi Vinega featuring Lady Jay dee kwenye ANTIVIRUS volume 3 harakati ziendelee.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Clouds TV haiwezi kuwa na watazamaji wengi, cause kila kitu ina copy kwa East Africa TV, haina vipindi cha ubunifu wao vinavyoweza kumvutia mtazamaji!
 
Sahivi wanairuka verse ya Prof.Jay? ama kweli hiki kituo ni cha malimbukeni sana wakiongozwa na mmiliki wao
 
1. Jaydee anaimba wimbo mzima kama chorus ya wimbo wa kwaya. Ni sehemu isiyo na music critics tu anaweza ku survive. Bongo hamna standards, huko kwingine PR na politics kwenda mbele.

2. Clouds hawajaanza mchezo huo leo, wanafanya hivyo tangu Jaydee yuko nao. Kayaona leo hayo?

3. Kifungu cha pili hapo juu hakiwatetei Clouds FM, kina wa indict.
 
Clouds ishu sio rushwa tu
ishu ni kuwa wanawabeba wasanii ambao wanawatumia for cheap kwenye matamasha yao
sasa wana THT ndio wanaopewa kipaumbele
Jaydee hataki kutumika for cheap kama zamani so lazima wampotezee
yeye analijua hilo sasa anadai ni kuhonga ndo ishu....
 
Back
Top Bottom