Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

Ama kweli dunia hadaa na hakunaga rafiki wa kudumu. JD mbona amepewa promo sana na clouds?

labda wimbo wake mpya, clouds wanapga sana nyimbo za huyu dada, tatizo anataka zipigwe zote kwa mpigo ndo atarizika, redio ya watu inapiga nyimbo za watu wote, tanzania kuna utitiri wa nyimbo heri yeye anazo hata za kuhonga ili wapige nyimbo zake!
 
Kuna maswali mengi yana nisumbua kuhusu ili swala la lady jaydee na CLOUDZ FM
1.lady jayd anamexhatoa nyimbo kibao sana hapa Tanzania na zimetamba sana hata kwenye radio nyingne,na kuna kipndi hzo nymbo zake cloudz zilikua hazpigwi sana lakin hujawai kulalamika why iwe hii joto hasira???
2..nyimbo ni nzuri na inapigwa sana kwenye vituo vingne mfano EA RADIO...Je jaydee unataka nini cloudz fm au una draw attention ya mashabiki??
3.basi kama kuonewa jaydèe kaanza kuonewa kitambo coz hata cjawai kumsikia kapewa shavu hata kwenye fiesta,mbona ilo hujaxema??
4.kuna uhusiano wowote kati ya kutopewa promo kwenye joto hasira na kuondoka kwa gadner cloudz fm?
6.unapo walaumu cloudz pekee yake una hashiria cloudz ndio radio kubwa tz.japo weng hawataki
ulimaanisha nini na maneno haya?
1.hujaxema! 2.Amexhatoa,..
 
Kweli joto hasira, yaani alivyo na historia ya kuwatungia wahanga wake nyimbo sishangai hata huu kawatungia hao marafiki na waajiri wake wa zamani
 
Kweli joto hasira, yaani alivyo na historia ya kuwatungia wahanga wake nyimbo sishangai hata huu kawatungia hao marafiki na waajiri wake wa zamani
hahahahahaha! na wewe ni muhanga nini akakutungia "usiusemee moyo"
 
Pig Up Lady Jay Dee Clouz wanaubaguzii kazi kupinga Ngoma nyingi za Arushaa wapewape mamaaa Na vp hawapig nyimbo za Kina Rama Dee Dan Msimamo Mkolon Mbunge Sugu hii n kwasababu ya mihonghongo kazi yao n kupromote wasanii wabofu oooh Diamond oooh Ommy D.Aibu yaooooooh Oooooooh Tena ingefungwaaa tuuu sijui wakinaaaaa naniiii watakula wapiiiiii
 
Katika maisha tuwe tunakubali ukweli. Dunia ya sanaa ndivo ilivo kote duniani msanii analazimika kuwatetemekea mafadha wa vituo vya utngazaji na maproducer.Iko hivo pote hata hollywood. Msanii akianza kuporomoka hupenda kuwalaum watangazaji bila kukumbuka kuwa kupanda kwake walihusika. Muziki na sinema ni sanaa ngumu inayoleta vipaji vipya kila uchao. Kwakuwa muziki ni biashara wanalazimika kuleta vitu vipya toka kwa watu wapya ili watu wasiboreke. Jd alijue hilo kuwa wapo wengi. Pia asisahau kuwa wakati alipo kuwa anatesa kwenye vituo hivyo, kuna watu wengi walikuwa wanasota bila mafanikio japokuwa walikuwa ni waimbaji wazuri. that is the fact of life. Michael jackson alipoanza kuporomoka alimwagia tuhuma miliki wa sonny kuwa anamshusha kwakuwa yeye ni black alisahau kuwa hao ndo wadau walopandisha chati. YOU CANT ENTERTAIN PEOPLE FOREVER THEY TEND TO CHANGE THEIR TASTE.
 
na wewe ushangae,ile ni redio ya ruge na joseph,wanauhuru wa kutangaza kwa style yeyote ili mradi hawavunji sheria.

Hii redio wanaisema sana hapa lakini cha ajabu inasikilizwa kila kona na style yao ya kutangaza iko unique


na kweli style yao iko unique. hahaha
 
ulimaanisha nini na maneno haya?
1.hujaxema! 2.amexhatoa,..

hata mi nashindwa kuelewa,,, mtu mzima na akili zake timamu anapoandika "x" badala ya "s" anamaanisha nini wakati zina-occupy the same space na hakuna abbraviation yoyote iliofanyika.????
 
huyu naye asisumbue vichwa vya watu kwani miaka yote alikuwa halijui hili?
 
Back
Top Bottom