Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,262
zanzibar unaenda kufanya nini? labda kujifunza uchawi wa kipemba na other wizardly arabic rituals.
Ha ha ha ha kumbe zanzibar kuna uchawi???
zanzibar unaenda kufanya nini? labda kujifunza uchawi wa kipemba na other wizardly arabic rituals.
Mnashangaza wengine humu, katika dunia ya sasa kutembea na kitambulisho sio jambo la ajabu. Faida ya kutumia kitambulisho kununulia tiket ni kuweza kujua infor za abiria na pia kudhibiti vyombo vya usafiri kuchukua abiria kinyume na idadi ilioruhusiwa.
Na kwa abiria wote kuelekea kote baina ya bara na visiwani, huwezi kuwa na mfumo wa usafiri wa maji sawa na chai maharage panapotokea ajali kuu hakuna list ya wananchi katika chombo husika.
Kuna yeyote aliepata bughdha ya kuzuiliwa na SMZ au SMT asiishi au kutemebelea part yoyote ya Tanzania kwa kuwa hana kibali? Utafika wakati kila mwananchi itakuwa complusory kuwa na ID wakati wote, ndio dunia ya sasa inapotusukuma, tujadili kwa kweli sio porojo zisizona msingi.:majani7: