Kwenda Zanzibar sasa lazima uwe na Kitambulisho, Cha Makazi, kura au cha uraia

Mnashangaza wengine humu, katika dunia ya sasa kutembea na kitambulisho sio jambo la ajabu. Faida ya kutumia kitambulisho kununulia tiket ni kuweza kujua infor za abiria na pia kudhibiti vyombo vya usafiri kuchukua abiria kinyume na idadi ilioruhusiwa.

Na kwa abiria wote kuelekea kote baina ya bara na visiwani, huwezi kuwa na mfumo wa usafiri wa maji sawa na chai maharage panapotokea ajali kuu hakuna list ya wananchi katika chombo husika.

Kuna yeyote aliepata bughdha ya kuzuiliwa na SMZ au SMT asiishi au kutemebelea part yoyote ya Tanzania kwa kuwa hana kibali? Utafika wakati kila mwananchi itakuwa complusory kuwa na ID wakati wote, ndio dunia ya sasa inapotusukuma, tujadili kwa kweli sio porojo zisizona msingi.:majani7:
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida tu ? Na upande wa TRL/TRC nao anakatishwa Ticket na vitambulisho ...

Afterall,Ferry tragedy zote zimesukuma kuwa na control hii sasa yakitokea majanga mnaanza kulalamika na kunyooshea watu vidole.....
Niseme tuu Baadhi ya Watanzania wamekaa kimaficho maficho tu na wengine hawana hata ID mojaa sasa anaona kero kwake,kwa mfano akiombwa ID kwenye Mpesa anakuwa mkali>Pesa yangu,simu yangu,number yangu bado nasumbuliwa...
.wakati mwingine msiwe negativty mind haijengi...
 
Tusipoteze hela kutnegeneza vitambulisho vya KITAIFA[Tanzania] Tutengeneze vitambulisho vya bara tu,Zanzibar kwa vile tayari wana vitambulisho vyao basi tuwaongezee vile vilivyopelea.
 
Kazi kwenu muendao huko. Heri mimi nisiyependa kwenda huko hata kama kuna sababu ya kufa mtu! Niendee nini huko? Waache wazanzibar waende kwao.
 
Mnashangaza wengine humu, katika dunia ya sasa kutembea na kitambulisho sio jambo la ajabu. Faida ya kutumia kitambulisho kununulia tiket ni kuweza kujua infor za abiria na pia kudhibiti vyombo vya usafiri kuchukua abiria kinyume na idadi ilioruhusiwa.

Na kwa abiria wote kuelekea kote baina ya bara na visiwani, huwezi kuwa na mfumo wa usafiri wa maji sawa na chai maharage panapotokea ajali kuu hakuna list ya wananchi katika chombo husika.

Kuna yeyote aliepata bughdha ya kuzuiliwa na SMZ au SMT asiishi au kutemebelea part yoyote ya Tanzania kwa kuwa hana kibali? Utafika wakati kila mwananchi itakuwa complusory kuwa na ID wakati wote, ndio dunia ya sasa inapotusukuma, tujadili kwa kweli sio porojo zisizona msingi.:majani7:

Chenu chetu na chetu chetu mtajiju
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom