Kweli watz sisi bado sanaaaaaaaaa kuweza kufanya mabadiliko!

All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
5,453
2,564
Ivi huyu deusi na jukwaa lake la katiba kufanya maelewano na hao mapolisi na kusitisha maandamano ana maana gani? Ni vema hata asingesema na kutaja hiyo tarehe ya mandamano maana yeye ndo analeta matatizo watu sisi tulishajiandaa kwa tukio hilo.
 
tupe taarifa kamili mkuu nini kimetokea? watu tunajiandaa kwa maandamano ya J1
 
Back
Top Bottom