Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA)

Mkuu hata CDM hela wanayotumia hovyohovyo kwenye maandamano ni fedha wanayopewa na serikali kama ruzuku, na pesa hiyo ni kodi yetu watanzania, ni busara kama kodi yetu ikitumika kwa manufaa ya taifa, na si maandamano.
Manufaa gani ya taifa unayoyasema maana yapo mengi taja hata moja.
 
Yale ni MAANDAMANO, haya ni MATEMBEZI kabla ya hotuba.

Tuache siasa tufanye kazi kwa bidii, maendeleo hayaletwi kwa maandamano.

hivi bado roho inakuuma na maandamano ya CHADEMA ... jinyonge basi kwa hasira...! lol
 
Mkuu hata CDM hela wanayotumia hovyohovyo kwenye maandamano ni fedha wanayopewa na serikali kama ruzuku, na pesa hiyo ni kodi yetu watanzania, ni busara kama kodi yetu ikitumika kwa manufaa ya taifa, na si maandamano.

kwani maandamano ni kwa faida ya nani? ni ya sisi watanzania. usidanganye watu. wanachofanya cdm ni kucreate awareness na watu wafumbue macho wasiibiwe tena. let them do. kama wewe umefisadi hela ya umma na unaogopa mageuzi ulie tu.
 
Yale ni MAANDAMANO, haya ni MATEMBEZI kabla ya hotuba.

Tuache siasa tufanye kazi kwa bidii, maendeleo hayaletwi kwa maandamano.
Kazi gani unazozizungumza au zile za kuokota chupa za plastik maana nazo mlizihesabu kati ya zile milioni moja, zipi kati ya hizo.
 
Zito na Shibuda hawaoni umuhimu wa haya matembezi mnayo yaita maandamano, kwao wao kazi kwa sasa ni muhimu kuliko matembezi, lakini najua at the end of the day mtawalazisha na wao wajumuike.
 
Nini faida ya MAANDAMANO haya, nchi hii ni maskini watanzania wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii na si maandamano.
Unaonekana na wewe ni mmoja kati yao walio ridhika na maisha haya ya wengi wataabikao ufanye kazi kwani zipo ujumbe wako wafanana na wa jk HUNA SHABAHA... nchi hii sio masikini ila nikufumbue mijizi ndio inachukua .. Nakukaribisha uerevuni usikae tu unaoneshwa kipande cha chupa ukiambiwa hiki ni almasi then unabaki ukicheka kama ZUZU.. j.k Nyerere...

Kujifunza na kuelimisha wengine ndio maendeleo... Bwana Waziri kasema...Enzi hizo...
 
jamani kubishana na huyu chizi niponipo na washenzi wenzake ni kupoteza muda.kavalishwa hilizi ya ccm na shekhe yahaya haelewi kitu huyu juu ya maisha ya watanzania.au si raia wa nchi hii
 
Hivi hawa bado nipopo na Zemarcopolo ni kina nani naomba watalamu wetu muwatafiti manake mi nashindwa kuamini kama tz k una watu disgn hii natoa rai wachunguzwe, hawa naweza kusema ni empty brain minded people au kina Ridhiwan na January sio bure, sababu mtz mwenye akili timamu awe fukara au tajiri hawezi kutoa commet za hivi. Na wana jf naomba mjue watu kama hawa hawatufai hata kidogo, naomba hawa jamaa wafutwe kabisa yaani wanakera
mkuu, kama vile siamini kama ni wewe umeweka bandiko hili..au umeamka...
 
wana JF kama mtaendelea kujibisha na hao vichaa, kwa wanao support cdm tutashindwa kufikisha ujumbe na kupoteza muda mwingi kujibisha na hawa wehu...mfano jana waliteka jukwaa tukashinda kuweka mtililiko wayaliyokuwa yatokea pale mwanza na leo nao wako kazini..hawa watunao tumia nguvu nyingi kuwa elimisha siyo kwamba hawajui ni wako kazini..tutafute njia ya kupambana nao ikiwemo kuto kuwajibu kama hakuna ulazima..
 
I can't wait hizi cku 9 walizopewa hawa majambazi zipite hawa wahalifu ccm hawapaswi kushangilia uhuru wetu wa tanganyika kwenye jubilee ya miaka 50,natumai wengi wao watakuwa jela Tanzania itakapo pata uhuru mwaka huu.
viva chadema viva dr slaa phd sio ya kuchovya
 
Hao wanaoyakandia maandamano wanataka kuzuia ujumbe unaotolewa na makamanda wetu usitufikie. Kwa hiyo tusiingie kwenye mtego wao, TUWAPOTEZEE, tusilumbane nao na kupoteza muda wetu. Tufocus kwenye ujumbe unotolewa kwenye hayo maandamo.
 
Kinachonishangaza ni kwamba they are so Energetic! Hawa watu si wa kawaida. Ni juzi tu wametoka kwenye kampeni za uchaguzi nchi nzima but still they are still verry strong. Eti wanakula nini hawa jamaa?!!!!!
 
I can't wait hizi cku 9 walizopewa hawa majambazi zipite hawa wahalifu ccm hawapaswi kushangilia uhuru wetu wa tanganyika kwenye jubilee ya miaka 50,natumai wengi wao watakuwa jela Tanzania itakapo pata uhuru mwaka huu.
viva chadema viva dr slaa phd sio ya kuchovya

Siku 9 zitapita haraka sana, vitu vitakavyo fanyika ni vitu vilivyo kwenye plan, nothing much nothing less, acha siasa mgando na kupoteza muda, fanyeni kazi kwa bidii watanzania wenzangu.
 
nimeona ITV wakiwa Geita na sengerema kwa hakika Chadema itawakomboa watanzania; chini ya mbowe na Dr slaa inawezekana
 
hakuna marefu yasiyo na ncha lakini hakuna mwisho usio na mwanzo wake tangu namaliza kufikili ndipo naona ni mwanzo huo ewe kijana mimi ni mhanga wa tabaka tawala hata kama nikianika haya najua sitaishi milele nami nitahukumiwa na historia yangu,
sikuwahi kufikili juu ya ukombozi huu unaifuata tanzania lakini je hao wanaodai mda bado nahisi sio wahanga kamwe ila mimi ni mhanga haja na uwezo wa kufikili ninao kwani dunia inanifunza hakuna kiongozi asie kubali kuongoza ila hawa wetu wanafikili nini juu ya haya

1,Hatma yao kwa kushindwa kutambua kua wapo kwa sababu nasi tup
2,kizazi hiki kiko tayari kusahau yote baada ya hukumu akati napandisha bendera ya chadema sikua na akili hata kidogo lakini kipindi hicho baba yangu alijua namlamu kwa nn hakunifanya nijue nikiwa na miaka 11 tu lakini nimekua nikiitwa chadema naona fahari hiyo nami nafarijika.sasa nimemaliza elimu yangu nayo yanitosha hapo udsm nilisingiziwa mengi ila nilipiga moyo konde lakini ninalo swali je akati mkandala anafundisha ps 221 alifikili nini
haya wanasema serikali ni mktaba lakini mimi mbona nao hata leo haukamilishi

sasa naamini niko tayari kufa lakini sio kama wao wanataka ila kwa sababu wametaka nife nami nitakufa lakini gharama yao ni kubwa kwangu na kwa jamii yangu sitanyamanza kamwe

long live cdm
 
Dr slaa na wapiganaji wetu leo(sasa hv) wameongoza maandamano makubwa hapa mjini geita,kweli wtz wamechoka ufisadi,hamasa iliyopo we acha tu ni noma.PEOPLES PR.....

Wapiganaji? wanapigana na nani? na kwa nini wapigane?
 
nimeona ITV wakiwa Geita na sengerema kwa hakika Chadema itawakomboa watanzania; chini ya mbowe na Dr slaa inawezekana

Kuwakomboa wa Tanzania? kwani wa Tanzania wako baharini? au? Kwani Dr. Slaa na Mbowe wameshaweza kujikomboa wenyewe hata waweze kuwakomboa waTanzania wengine? au hujui kuwa Dr. Slaa na Mbowe wana matatizo yao ambayo ni makubwa sana na mpaka leo wameshindwa kujikomboa. Sasa iweje kama kujikombowa kwenye matatizo yao kunawashinda waweze kuwakomboa waTanzania wengine?

Ajabu!
 
Back
Top Bottom