Kweli kweli tamthilia hizi tunakazi sana kuvuka

shegaboy

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
213
34
Ndugu zangu watanzania mimi ni Mtanzania mwenzenu na ninauchungu sana na nchi yangu ila viongozi wetu wanatuangusha sana kwa sasa. Embu angalia mambo mbali mbali yanavyoendesha hapa nchini na michezo mbali mbali ya kitoto tunachezewa bila kujua kweli kazi ni kubwa sana.

1. Swala la madaktari - hili kwa sasa limetulia baada ya kusukwa sukwa kisha tukapelekwa huku na kule watu tunadhani nini kumbe ndio tunatolewa kwenye laini hivyo kimya leo hakuna mtu anayesema nini kuhusu migomo ya madaktari ohh swala liko MAHAKAMANI KIMYA.

2. Dr. ULIMBOKA - Nalo limekuja Dr. katekwa hapa watu wanjuuliza maswali mengi kuhusu kutekwa kwake na nini kilifanyika mara ohh mkenya kakamatwa yuko MAHAKAMANI tusiliongee mtaani wala Bungeni

3. Kulizima la ulimboka na swala la Kamanda Kova kuumbuliwa tukasikia ajali ya MELI tumepoteza ndugu zetu wengi ni kwaujinga na udhaifu wetu tu. Raia wengi wamepoteza maisha watu wanacheka kimya watu karibu 150 na zaidi wamekufa imeundwa tume.

4. SSSR NSSF- Mafaoyenu miaka 55 mbele du nani anauhakika na hii miaka wengine wagonjwa wa ukimwi watakula lini ajira sio za kuaminika we subiri mpaka miaka 55 au 60 nyinyi mnatutesa kwa kweli mpaka hapa tuko hoi.

5. Nishati na Madini - Mh. Mhongo naye kaja na lake ohh watu wamekula rushwa wanauzia shirika misumari badala ya vipuli na nguzo ambazo tunaambiwa zinatoka SA zinatoka Iringa yani ilimradi sinema tu unashindwa kuelewa haya mambo yanakuwaje. wabunge wamekula rushwa da!

6. Mgomo wa walimu - watu wanadai maslai mazuri kazini walimu wako katika madeni makubwa yamelimbikizwa na serikali awajalipwa miaka 10 nyuma.

7 sijajua ni sinema gani inakuja ila najua iko njiani sijui ni kuondoka kwa rais kukimbilia uhamishoni au kujiuzuru kwa waziri mkuu jiandaeni sinema inakuja haya yanakuja amni usi amini nchi imewashinda hawa
 
Tumebakia kujiunga KAOLE SANAA group

Tujiiteje sasa maana hii ni group jingine limeanzisha wako watu mastaa wengi kweli kweli Rais, Kova, Nzoka, wapinzani, mwigulu, zito, Slaa, yana wanachanganywa changanywa tu ilimradi picha
 
Sometimes huwa nadhani ndio Mungu alivyotupangia tuishi kwa style hii.

Ndibalema Mungu ajatuumba hivi nakataa ila kuna watu wanamichezo hii tusimsingizie Mungu hata kidogo tu wapole kupita kiasi. si semituingie barabarani la ila viongozi wakiwamadarakani wanatakiwa kujua kuwa wamebeba dhamana ya watu na wako tayari kumtoa kama akicheza. sio kuwepo pale basi wawenamadaraka ya kufanya wanayoyataka ndio shida
 
uVmilieni tupo katika kipindi cha mpito ,kwa sie wabaharini tunasema tunapita mkondoni ,mwenye bible aombe mwenye qurani asome. Wasiokuwa na dini hata sijui wafanyaje.
 
Back
Top Bottom