kweli duniani kuna mambo

Mary Glory, pole sana mamito,
sijui hasa haya yametokeaje kwani hujayafafanua kiundani,
lakini kutokana na kauli yako inaonyesha umetendwa,
umepata kidonda na maumivu makali juu yake!!
Mungu akupe nguvu na azidi kukulinda!
 
Mary Glory, pole sana mamito,sijui hasa haya yametokeaje kwani hujayafafanua kiundani,lakini kutokana na kauli yako inaonyesha umetendwa,umepata kidonda na maumivu makali juu yake!!Mungu akupe nguvu na azidi kukulinda!
Asante sana.niombeeni jaman.na kama kuna ushauri wa kisaikolojia unaweza kunipa nitashukuru
 
Mimi mwenyewe ni kama sielewi vizuri kilichotokea.naona kama ndoto.it was very paining!lkn mungu ananisaidia.sana.yan i thank god

Ni sawa kumuachia Mungu vitu for relief ila penye haki lazima hiyo haki itafutwe, umezungumzia issue ya innocent angel kama anahusika sheria ichukue mkondo wake si kwa kulipiza ila kumtendea haki that angel, please take actions! Do for that innocent in the process you will heal urself
 
Pole Mary Glory,Mungu yupo pamoja nawe. Story yako imenigusa na natamani kuijua zaidi.
 
thanx ma dia labda nipm
Pole sana (kama kweli unastahili pole yangu). Sababu kama unaweka hapa issue, nadhani ni vizuri ieleweke ili watu tushauri, tujifunze, tujihadhari nk.. Sasa dada yetu umeweka kama fumbo yaani ambaye hataku-pm hataelewa chochote zaidi ya kuishia kutoa pole bila kujua kwa uwazi masaibu hayo. Naamini kwa wewe kusema kuwa umeiacha kesi kwa mawakili ili uendelee na kazi, ina maana umepata utulivu kwa kiasi fulani, ungejitahidi kuiweka wazi zaidi. Ni mawazo yangu tu. Pole tena...
 
mim nakushauri dear mary kama kesi iko mikononi mwa wanasheria usitoe details zozote za kiundani hapa JF,nadhan ulivyoeleza kwa sasa inatosha,mpaka ukishinda kesi ndo unaweza kuja kutueleza kwa kirefu kama utapenda.
hii ni kwa usalama wako binafsi na kwa faida ya kushinda vizuri kesi yako.
sikushauri kabisa kueleza hapa kwa undan japo hata mm nataman kujua lkn kuua ni kuua tu haijalishi mtu ameua ktk mazingira gani.
Mungu azidi kukuongoza ktk hekima na kukutia nguvu,amen.
 
mim nakushauri dear mary kama kesi iko mikononi mwa wanasheria usitoe details zozote za kiundani hapa JF,nadhan ulivyoeleza kwa sasa inatosha,mpaka ukishinda kesi ndo unaweza kuja kutueleza kwa kirefu kama utapenda.hii ni kwa usalama wako binafsi na kwa faida ya kushinda vizuri kesi yako.sikushauri kabisa kueleza hapa kwa undan japo hata mm nataman kujua lkn kuua ni kuua tu haijalishi mtu ameua ktk mazingira gani.Mungu azidi kukuongoza ktk hekima na kukutia nguvu,amen.
Thanx.sisemi vyote rafiki
 
mtoto wangu mpenzi,maisha yake yanakatizwa ghafla!tena yanakatizwa na baba yake.anazikwa,nalia na namwachia mungu nikiamini yeye ndo mlipiza kisasi.kama haitoshi nagundua kuwa kumbe huyu mzazi mwenzangu ameniibia na pesa.nakosa pa kwenda kwasababu amenifukuza.mbaya zaidi pesa alizoniibia amejenga ukuta na kuweka geti ili nisiingie kamwe.pia kanunua mbwa niogope kabisa hata kusogelea eneo hilo.unatamni kufanya kitu kibaya lkn nafsi inakataa.unajiuliza hata kama ni unyama huu umepitiliza.mbaya zaidi unapojaribu kwenda kuchua angalau vitu vyako uende kuendelea na maisha yako unaambulia kipigo tena kikali.kweli duniani kuna ya kustaajabisha kama siyo kushangaza.ni masahibu ya kweli yaliyonikuta mimi.nikamuomba mungu wangu nikapata jibu nisifanye chochote,kisasi cha kweli ni cha mungu.hata uamue kujichimbia chini ya bahari siku ya kisasi cha mungu ikifika hutakwepa.jamani maisha kwanin sometimes yanakuwa hivi?tofauti na ulivopanga!maisha ni darasa.
Haya uliyoyaandika yana ukweli ndugu? Ki ukweli yanastaajabisha, ubinadamu umetupwa kando!
 
Haya uliyoyaandika yana ukweli ndugu? Ki ukweli yanastaajabisha, ubinadamu umetupwa kando!
ni ya kweli kabisa.yan me mwenyewe nimegundua kuwa yule amegeuka si binadamu tena bali ni mnyama.kama anaweza kumpiga mtu ambaye ni mzazi na isitoshe majiran walipokuja kujaribu kusuluhisha ugomvi annawafukuza na kudai eti kesi haiwahusu kwakweli ubinadamu hana tena.na ni mpaka pale majirani walipokuwa wakali kumtaka aache ubabe wa aina hiyo. i wish ungeiona hali ilivyokuwa,ilikuwa inatisha sana.lkn ni binadamu antembea barabaran.but am telling you hata after that unyama hata sura yake imebadilika.its like a ghost.yan he has a mark of evil.na kuthibitisha hilo,no body anajihusisha nae na hata kwenye biashara yake no body goes.but the man is really evial.ni pale tu utakapojihusisha nae hata ktk mambo ya kawaida na kugundua kuwa umekutana na asiye binadamu.pray alot!
 
mtoto wangu mpenzi,maisha yake yanakatizwa ghafla!tena yanakatizwa na baba yake.anazikwa,nalia na namwachia mungu nikiamini yeye ndo mlipiza kisasi.kama haitoshi nagundua kuwa kumbe huyu mzazi mwenzangu ameniibia na pesa.nakosa pa kwenda kwasababu amenifukuza.mbaya zaidi pesa alizoniibia amejenga ukuta na kuweka geti ili nisiingie kamwe.pia kanunua mbwa niogope kabisa hata kusogelea eneo hilo.unatamni kufanya kitu kibaya lkn nafsi inakataa.unajiuliza hata kama ni unyama huu umepitiliza.mbaya zaidi unapojaribu kwenda kuchua angalau vitu vyako uende kuendelea na maisha yako unaambulia kipigo tena kikali.kweli duniani kuna ya kustaajabisha kama siyo kushangaza.ni masahibu ya kweli yaliyonikuta mimi.nikamuomba mungu wangu nikapata jibu nisifanye chochote,kisasi cha kweli ni cha mungu.hata uamue kujichimbia chini ya bahari siku ya kisasi cha mungu ikifika hutakwepa.jamani maisha kwanin sometimes yanakuwa hivi?tofauti na ulivopanga!maisha ni darasa.

pole sana mkuu nimeguswa sana na mikasa yako ila nimegundua k2kimoja visa vyako vingi vimejaa uongo avipo wazi sana ndio mana ata msaada ni vigumu kupata mana kama mme wako aliua mtt hiyo ni mada kesi, 2. kama alikuibia pesa hiyo ni kesi ya wizi ipo wazi kabisa 3. kama mlijenga nae nyumba mkaweka na ukuta unayo haki kisheria yakudai. 4.kwa dunia ya leo cjawai kuona mwanaume anamfukuza mke na anamzuia ata kuchukua v2vyake. 5.swala la kupigwa tena mbele ya majirani kwa kipindi hiki aiwezekani ata kama huyo mwanaume ni mjeshi lazima raia wangechukua hatua ata kama ww ungekataa lazima wangepeleka polic kwa magreatthinker tukiliangalia hili swala kiundani linautata sana na udanganyifu mana inaonyesha ni m2 mwelewa lakini kuja kuanika mambo yako hapa nakushauri sio vzuri natamani tuonane live niweze kukushauri zaidi mana inaonyesha unaitaji ushauri wa kisaokolojia zaidi.
 
Hapo kwenye bluu kunanifanya niamini wewe unaishi nje ya nchi kwa muda mrefu sana, na si hapa Bongo! Au kama ni Bongo basi bado hujakutana na misuko suko ya dunia. Kuna watu wanaitwa sadists, they are heartless. Hivi hujui kuna watu wakiona mtu anateseka ndio wanafurahi? Na tena mara nyingi huwa ni watu wa karibu kabisa na wewe!
 
kiukwel guloria kwa kuwa matatizo yanayolikumba jimbo lako la moyoni yanafanana kabisa na matatizo yanalolikabili jimbo langu HEART.SASA huoni wakati umefika majimbo haya mawili ambayo ni majimbo ya MOYONI na HEART,yaweze kushirikiana kwa pamoja ili kuweza kuyaondoa matatizo yanayakabili.ili kufiki adhma iliyokusudiwa.natanguliza shukrani.wako katika sadiness ocean.MWANAKILI90.
 
Pole Sana na Hongera kwa kuwa na moyo wa kutokulipiza Kisasi... Ja kufanya msahau kabisa huyo Bwana sababu hana maana kwako, Endelea na maisha yako wala usijaribu kufata vitu vyako vyote mwachie..., sababu ukilipiza kisasi huenda mkaendelea kutendeana na mwisho huwa hakuna mshindi.

Kumbuka yana mwisho hayo..., na haya yote ni majaribu ya duniani, yatapita tu na huyo mtu hastahili kabisa kutumia nguvu zako kulipiza kisasi
 
Yaani bora uedelee na maisha yako mengine kabisa, pole sana mpendwa, hana haki hata ya kukaa karibu yako, mwonyeshe kwamba wee ni mwanamke wa shoka na unaweza kuanza maisha, mwanaume rijali hamfukuzi mke ambae hajamcheat wala kumtendea kosa lolote kwake, bali akiona anataka kumwacha mke huwa wanaondoka na briefcase tu, huyu mwanaume suruali asikupe presha kabisa, tena ukiendelea na maisha yako bila ya kuuliza uliza habari zake kwa watu na yeye asikuone kabisa ataanza kujisikia anaku miss achana nae mwehu huyo atakutoa roho
 
Pesa zangu nitazidai hata aende kaburini nitamdai tu!ni haki yangu
 
Back
Top Bottom