Mary Glory
Senior Member
- Mar 20, 2011
- 124
- 20
post deleted
Mimi mwenyewe ni kama sielewi vizuri kilichotokea.naona kama ndoto.it was very paining!lkn mungu ananisaidia.sana.yan i thank godpole sana japo sijakuelewa vizuri
Asante.kwa muda mchache nilioishi hapa dunian nimeona kuwa malipo ni hapa hapa dunian.me najua kuwa si muda mrefu atayaona malipo yake.na yatakuwa yakusikitisha sana.nimesikia akisema kuwa anahisi mauti yatamchukua usingizini.haoni kama kuna maisha tena.nahisi damu aliyoimwaga inamtesaimenigusa sana lkn nakusifu kwa kumuachia mungu akulipie maana zipo njia nyingine za kibinadamu ungeweza kuchukua ili kumlipizia.but hapo kwa mtoto kama kuna ushahidi kuwa baba kammuua mtoto kwa nin asifikishwe mbele ya sheria?pole kupoteza mtoto na kwa yote unayopitia.elekeza macho na matumain yako yote kwa MUNGU yeye peke yake ndiye atakayekushindia.
mtoto wangu mpenzi,maisha yake yanakatizwa ghafla!tena yanakatizwa na baba yake.anazikwa,nalia na namwachia mungu nikiamini yeye ndo mlipiza kisasi.kama haitoshi nagundua kuwa kumbe huyu mzazi mwenzangu ameniibia na pesa.nakosa pa kwenda kwasababu amenifukuza.mbaya zaidi pesa alizoniibia amejenga ukuta na kuweka geti ili nisiingie kamwe.pia kanunua mbwa niogope kabisa hata kusogelea eneo hilo.unatamni kufanya kitu kibaya lkn nafsi inakataa.unajiuliza hata kama ni unyama huu umepitiliza.mbaya zaidi unapojaribu kwenda kuchua angalau vitu vyako uende kuendelea na maisha yako unaambulia kipigo tena kikali.kweli duniani kuna ya kustaajabisha kama siyo kushangaza.ni masahibu ya kweli yaliyonikuta mimi.nikamuomba mungu wangu nikapata jibu nisifanye chochote,kisasi cha kweli ni cha mungu.hata uamue kujichimbia chini ya bahari siku ya kisasi cha mungu ikifika hutakwepa.jamani maisha kwanin sometimes yanakuwa hivi?tofauti na ulivopanga!maisha ni darasa.
Dah, matatzo ya dunia ni hatari... Unaweza kufikiri kama wew una matatzo kumbe mwenzako ana matatzo zaidi! POLE MAMA, POLE SANA,MUNGU YUKO NAWE!!!
Nimejaribu kuongea nae na si tu wakili kuna vyombo vingi vinasaidia wanawake siku hizi unapofanyiwa ukatili kama huu.wanaliweka sawa swala langu na wakiwa tayari watamuweka nguvuni.wanakusanya ushahidi.mm kama mm nilitaka sana kumpeleka mahakamn lkn ninafanya kazi.niliona nitapoteza muda mwingi huko na kazin nahitajika pia.nawapa msaada wanaoutaka hao malayerNa wamesema ni kesi yao kwa sasaMary maelezo yako huwa yayajitoshelezi si huyu huyu jamaa mwezi uliopita ulidai umemkopesha hela na hataki kulipa ? na ulidai ni member mwenzetu hapa ? badala ya kulalamika kila kukicha ambapo kunaonesha hujasamehe wala kumuachia mungu hebu nenda kaongee na wakili mweleze kila kitu atakushauri vizuri zaidi yetu,pole sana yataisha tu.