Kwanini............??

Nitaoa ili: kumpata mwenza mwenye commitment, kama social seccurity hiv sasa na uzeen, Mungu hakunipa urijali ili niu2mie bila mpangilio, niweze kukontroo kipato mfano hai ni pale nilipotembelewa na mpwa na mdogo wangu (wote wa kike) nilijikuta nimepunguza takriban nusu ya garama za matumiz ni2miazo nikiwa peke yangu!.
 
Mimi , just like huyo msichana the only thing I look forward to regarding ndoa is, the dress/party and having my one kid. Other than that I have no desire nor energy to spend my life catering for any man's whims and needs..................sigh!
 
Mimi , just like huyo msichana the only thing I look forward to regarding ndoa is, the dress/party and having my one kid. Other than that I have no desire nor energy to spend my life catering for any man's whims and needs..................sigh!

duh!ngumu kumeza
 
Natamani tu kuoa kwa sababu rafiki zangu wote wameoa. Nimebaki peke yangu senior bachelor!!
Ushauri wa bure Masaki,we jikalie hivi hivo msela,wallah ukioa kwa mkumbo utajuuuuuuuuuuta na pa kukimbilia utakuwa huna!
 
dahhh
najua ntaolewa siku ikitarajia sababu si
muhim sana kwangu hivyo vingine tutavikuta
baada ya ndoa ila cha kwanza awe na upendo wa kweli
mzuri kwenye majambozzz na awe na kazi ...
1.Awe na maloveee
2.Awe mahiri 6x6
3.Asiwe kanjanja
Mmmmmmhhhh hiyo combination ngumu bora hata PCM!
 
Ushauri wa bure Masaki,we jikalie hivi hivo msela,wallah ukioa kwa mkumbo utajuuuuuuuuuuta na pa kukimbilia utakuwa huna!

Kwa kufanya hivyo nitashindwa kufiti kwenye jamii! Fikiria kwenye family days watu wanakuja na wake na watoto wao, wewe uko peke yako!
 
Mimi nitaoa kwa sababu siamini juu ya maisha bila mwenza (hususani ukishagonga 30),,, naona ni kama Utopia flani vile, nataka mtu wa ku-share naye maisha uzeeni na mtu tutakayeshirikiana kulea na kukuza wanetu... Hebu imagine!!!!!
 
Kwa kufanya hivyo nitashindwa kufiti kwenye jamii! Fikiria kwenye family days watu wanakuja na wake na watoto wao, wewe uko peke yako!
Sasa hapo Masaki ndo kabisaaaaa unajitumbukiza kwenye mtego bora hata wa panya,family day,una hakika katika hizo family day hizo tabasamu unazoziona ni za kikweli kweli? Nakwambia Masaki wengi wa hao unawaona katika family day wakirudi kwenye magari yao baba uso mbele kwenye usukani mama uso kushoto anaangalia maghorofa,mtoto akianguka akaumia ndo utasikia 'tuwahi hospitali' ukute walikuwa na wiki wanapishana ka treni. Usicheze na ndoa Masaki.
 
Ingawa sikuulizwa mie but najipendekeza.................... mie niliamua kuwa na mwenza kwa kuwa I thought I had found the love of mylife............... (sikaribishi maswali tafadhali)
 
Asante wandugu kwa kuchangia.....pensheni yangu ntakula na nyie!!!

Partner mi hii kitu siwezi kushiriki ila jibu langu liko mahali ntalitafuta nikopi na kupesti!!Alafu pole na kazi!!!
 
Lizzy Lizzy Lizzy huyo!

Anamelemeta, Anamelemeta, Lizzy Anamelemeta, Anamelemeta!

Wamutwala omwana wasu wamutwala agumile!

e.t.c

Siyo mbaya siku moja katika maisha kuwa "juu ya taabu na shida zote za ulimwengu huu"!!!!

Hhahhahahaha BE nilishaimbiwa ana meremeta mara moja na nikapata kuwa malkia wiki nzima...nadhani inatosha!!!Sasa hivi nawaimbia tu wengine!
 
Ntaoa,ili nikamilishe wajibu wa dini yangu,maana imani ya din yangu inanitaka nioe ili nikamilishe DIN YANGU
 
Ingawa sikuulizwa mie but najipendekeza.................... mie niliamua kuwa na mwenza kwa kuwa I thought I had found the love of my life............... (sikaribishi maswali tafadhali)

:A S-rose::A S-rose:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom