Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,420
Guys naomba mnisaidie kitu ehh....kuna kazi natakiwa kufanya ila naona itachukua muda sana kuuliza watu one on one kwahiyo nimeona nitafute njia rahisi kwa kuuliza hapa jamvini instead!
Kwa wale ambao hamjaoa/olewa je mna mpango wa kufanya hivyo???
Kama jibu ni ndio kwanini unataka na kama jibu ni sio kwanini hutaki????
Kuna msichana mmoja kanichekesha kweli....ye kaniambia anataka tu ili avae gauni zuri na kua kama malkia kwa siku moja yatakayofuata hajali!!Haya naomba basi nisikie sababu zenu!!