Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

Mkuu nimeweka vigezo viwili katika mtazamo kuhusu Israel.
1) kinahusu data ambazo zimekusanywa.
2) Kinahusu Imani za kidini.

Kuleta uthibitisho kwenye kigezo cha imani za kidini ni ngumu sana, lakini kigezo cha kwanza kuna data zake ambazo ni hizi hapa chini.

attachment.php

Asante sana mkuu nitaisoma vyema!!
 
wadau nimeona niulize swali hili,

kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani.

Jana tu museum yao imeshambuliwa huko ubelgiji.

Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti semitic gesture).

Baada ya kuona wanabaguliwa, marekani ili hapa kuwalinda popote walipo duniani.

Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?

wanatumia nguvu za shetani (freemason) ndio maana wanachukiwa sana na mataifa yote, hata wakitaka kupigana vita na nchi yeyote wanamwuliza kwanza shetani kuwa vita hii tutashinda? Akiwaambia ndiyo wanaingia vitani wakiambiwa hapana , wanatulia tu
 
Mkuu nimeweka vigezo viwili katika mtazamo kuhusu Israel.
1) kinahusu data ambazo zimekusanywa.
2) Kinahusu Imani za kidini.

Kuleta uthibitisho kwenye kigezo cha imani za kidini ni ngumu sana, lakini kigezo cha kwanza kuna data zake ambazo ni hizi hapa chini.

attachment.php

Kutokana na utafiti huu ambao unaonekana dhahili katika variation kwenye graph.....Juu left na chini Righ

Nini mtazamo wako ndugu Ng'wamapalala

nikwamba wanachukiwa..........?
 
Wayahudi si watu wazuri,ni wakatiri,dharau,kebehi kujiona wao ndo bora,wezi,majigambo,etc.
Hawa jamaa hata mungu wao walimsumbuaga sana wakati anawatoa misri utumwani kwenda nchi ya caanan.

Hawa jamaa mimi niwewahi kufanya nao kazi...sio watu wazuri kabisa...
 
Mkuu nimeweka vigezo viwili katika mtazamo kuhusu Israel.
1) kinahusu data ambazo zimekusanywa.
2) Kinahusu Imani za kidini.

Kuleta uthibitisho kwenye kigezo cha imani za kidini ni ngumu sana, lakini kigezo cha kwanza kuna data zake ambazo ni hizi hapa chini.

attachment.php

Nini maana ya Irani kuwekwa chini kabisa, kisha pakstani na North korea kuwa chini ya Israel

Inamaana uchunguzi huu unaifanya Irani kuwa chukizo zaidi ikifuatiwa na pakistani na North korea kisha islael?
 
Nianzie kiimani...Jews...wamegawanyika katika dini kuu mbili..Christians and judists.. hawa historia yao na kubaguliwa kwao kulianzia walipokuwa utumwani misri...why?walikuwa na uwezo mkubwa sana..kiakili na ndio maana farao akampa yusufu cheo kikubwa sana,walipitia mahangaiko makubwa na mapiano makali sana na kwa msaada wa Mungu wakafika kaanani (current israel),kumbuka Bible inasema hawa ni taifa teule na Mungu huwabariki sana na kuwajalia vipawa vingi..mti wenye matunda ndio hupigwa mawe...hawa watu kwa misingi ya imani zao,wako tofaut saana na imani zingne na husmamia misingi yao..watu wenye akili hushindwa kushndana nao kiuhalisia na mwishowe ni frustrations,just imagine walikuwa German na wakawa kwenye mahiri kwenye sekta zote..philosophy,medicine,engineering na zinginezo,hitler akaanzisha na kupandikiza chuki..lakini ukweli siokwamba germans wote wanawachukia jews!..hata Einstein alipokimbia holocaust kwenda america ndio aliyegundua atomic bomb...walishurutishwa kwa akili zao kutengeneza gari ya injini nyuma kwa ajili ya world war kwa ajili ya wajerumani...Muslims ndio adui wa kiimani wa jews kwa sababu za kiistoria na mapigano ambayo muslims wanadai ni uonevu..hapo sijikiti kabisa na ndio maana wengo wanao waua au kuwabagua jews ni wao...france na belgium ndio nchi za magharibi zenye muslims wengi na haswa tokea north africa na wamehusishwa sana na vitendo hivyo,otherwise Jews are blesseeeeeeeeed!

You are totally wrong check percentage ya jews ,wakristo waliopo middle east wote ni waarabu wapalestina ambao ndio sehemu waliyozaliwa.wayahudi wakristo hawafiki hata asilimia moja 1 .please mnajiongopea sana hawamtambui yesu na wala hawamjui mnajipendekeza tu.
 
Nianzie
kiimani...Jews...wamegawanyika katika dini kuu mbili..Christians and
judists.. hawa historia yao na kubaguliwa kwao kulianzia walipokuwa
utumwani misri...why?walikuwa na uwezo mkubwa sana..kiakili na ndio
maana farao akampa yusufu cheo kikubwa sana,walipitia mahangaiko makubwa
na mapiano makali sana na kwa msaada wa Mungu wakafika kaanani (current
israel),kumbuka Bible inasema hawa ni taifa teule na Mungu huwabariki
sana na kuwajalia vipawa vingi..mti wenye matunda ndio hupigwa
mawe...hawa watu kwa misingi ya imani zao,wako tofaut saana na imani
zingne na husmamia misingi yao..watu wenye akili hushindwa kushndana nao
kiuhalisia na mwishowe ni frustrations,just imagine walikuwa German na
wakawa kwenye mahiri kwenye sekta zote..philosophy,medicine,engineering
na zinginezo,hitler akaanzisha na kupandikiza chuki..lakini ukweli
siokwamba germans wote wanawachukia jews!..hata Einstein alipokimbia
holocaust kwenda america ndio aliyegundua atomic bomb...walishurutishwa
kwa akili zao kutengeneza gari ya injini nyuma kwa ajili ya world war
kwa ajili ya wajerumani...Muslims ndio adui wa kiimani wa jews kwa
sababu za kiistoria na mapigano ambayo muslims wanadai ni uonevu..hapo
sijikiti kabisa na ndio maana wengo wanao waua au kuwabagua jews ni
wao...france na belgium ndio nchi za magharibi zenye muslims wengi na
haswa tokea north africa na wamehusishwa sana na vitendo hivyo,otherwise
Jews are blesseeeeeeeeed!

kwanza fahamu uislamu si maadui wa jews unapotaja muslims,christians na jewish ni imani tatu tofauti..
 
wanatumia nguvu za shetani (freemason) ndio maana wanachukiwa sana na mataifa yote, hata wakitaka kupigana vita na nchi yeyote wanamwuliza kwanza shetani kuwa vita hii tutashinda? Akiwaambia ndiyo wanaingia vitani wakiambiwa hapana , wanatulia tu

Duh! Haya makubwa sasa
 
Nakushauri ukipata muda nenda mkuu haya mambo si ya kuzungumza hutaamini especially kama utachanganya na mambo ya kiimani.

Moja,hujui kama sitaamini
Mbili hujui kama nitachanganya na imani

So,stop assuming things this much,hii inaonesha vle ambavyo huamini na kile ambacho unataka kukisema kama unakiamini niambie ni kitu gani cha ajabu walikufanyia?
 
You are totally wrong check percentage ya jews ,wakristo waliopo middle east wote ni waarabu wapalestina ambao ndio sehemu waliyozaliwa.wayahudi wakristo hawafiki hata asilimia moja 1 .please mnajiongopea sana hawamtambui yesu na wala hawamjui mnajipendekeza tu.

Aiseee .......

Ndugu unajua maana ya "wote"?
 
wanatumia nguvu za shetani (freemason) ndio maana wanachukiwa sana na mataifa yote, hata wakitaka kupigana vita na nchi yeyote wanamwuliza kwanza shetani kuwa vita hii tutashinda? Akiwaambia ndiyo wanaingia vitani wakiambiwa hapana , wanatulia tu

Kuna binadamu wana fikiri kwa namna ya ajabu sana!
 
You are totally wrong check percentage ya jews ,wakristo waliopo middle east wote ni waarabu wapalestina ambao ndio sehemu waliyozaliwa.wayahudi wakristo hawafiki hata asilimia moja 1 .please mnajiongopea sana hawamtambui yesu na wala hawamjui mnajipendekeza tu.
yani mpaka wanampinga pope ,ndo maana leo pope badala ya kutua Tel aviv inabidi atue west bank palestine kisha aende bethelehem na hii ni mara ya kwanza kwa pope kubypass tel aviv na kutua west bank.
 
Kuna binadamu wana fikiri kwa namna ya ajabu sana!
sidhani katika imani ya kiyahudi kuna neno shetani,ngoja ntafuatilia nione,japo niliwahi kusoma sehemu kwamba katika maandiko ya kiyahudi hakuna shetani.
 
Kutokana na utafiti huu ambao unaonekana dhahili katika variation kwenye graph.....Juu left na chini Righ

Nini mtazamo wako ndugu Ng'wamapalala

nikwamba wanachukiwa..........?
Mkuu adolay kwanza unapojengwa hoja ya mostly positive and mostly negative katika mitazamo ya wananchi kwenye uchunguzi huu ina maana ni mtazamo wa wananchi kuhusu nchi tajwa katika nyanja zote za kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Kama influence % ni kubwa upande wa negative, ina maana kwamba nchi hiyo inachukiwa na wanachi wengi na kama % influence ni kubwa upande wa positive ina maana nchi hiyo inapendwa katika macho ya wananchi wengi duniani.

Ninakubali kunaweza kukawa na sababu zingine za kupikwa zinazosababisha kuchukiwa kwa nchi ambazo zinatokana na wananchi kulishwa propaganda ambazo hazina ukweli. Hii itakuwa ni hoja nyingine hasa ikichukuliwa kuwa hoja hapa kama kweli Israel inachukiwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Wadau nimeona niulize swali hili,

Kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani.

Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji.

Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti Semitic gesture).

Baada ya kuona wanabaguliwa, Marekani ili hapa kuwalinda popote walipo duniani.

Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?

.
Wanachukiwa kwa sababu moja tu kubwa, nayo ni imani yao kwa Mungu Yehova. Miungu mingine yote kuanzia allah, baal, jupiter, dagon, ying,, tamuz, atermi nk wametangaza vita nae kwa mda wote bila mafanikio.
.
 
Nini maana ya Irani kuwekwa chini kabisa, kisha pakstani na North korea kuwa chini ya Israel

Inamaana uchunguzi huu unaifanya Irani kuwa chukizo zaidi ikifuatiwa na pakistani na North korea kisha islael?
Yes, Iran ni chukizo inafuatiwa na Pakistani, North Korea and Israel!.

Kabla hujaanza kujiuliza maswali, angalia kwanza hapa chini participating countries labda itakupa mwanga wa research.

Jiulize kwa nini waliamua kuchukua sample kutoka kwenye hizo nchi?.

attachment.php
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    50.8 KB · Views: 237
Back
Top Bottom