OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,527
mbaya zaidi tunawekea wagunduzi kumi,wakati hapa duniani kuna mamilioni ya vitu tunavyotumia vimegunduliwa,havikutokea tu kimazingala.
Ndio maana nimepaki basi hapo kaka!!!!
mbaya zaidi tunawekea wagunduzi kumi,wakati hapa duniani kuna mamilioni ya vitu tunavyotumia vimegunduliwa,havikutokea tu kimazingala.
Ni taifa takatifu la Mungu,makuhani wa kitume na warithi wa ufalme wa Mungu duniani na Mbinguni.....Mungu anawapenda na kuwalinda...tabia zao zinaonyesha kuna kitu kisicho cha kawaida wanajivunia,nacho ni agano lao na Mungu! Atakaewalaani na Mungu atamlaani....
sasa impact ya atomic ni ipi kama siyo kuleta mauaji ya malaki ya watu?.
Kuna watu wamegundua aspirini,paracetamol,fancida etc hamuwasemi,ila mnasifia mgunduzi wa silaha za maangamizi?
Ninachokijua mimi ni kuwa kama mtu ana udhaifu huo uliousema hapo halafu kuna mtu akakuchukia tatizo linaanzia kwa anaechukia
Kitendo cha wewe kumchukia mtu mwenye tabia hizo ni udhaifu kwa wewe kushindwa kumuonesha makosa yake kwa kumtendea mema
Kuna mambo ya kuyachukulia tahadhari kama yale ya kigaidi na wote ambao wana promote ugaidi kwakuwa ni hatari kwa maisha ya binadamu na hata ukuwachukia hawa utakuwa na sababu ya maana
Kama mtu hana msaada na wewe anakubagua bila kukuumiza na mengine kama hayo kuna sababu gani ya kumchukia?
Lakini pia hata hayo ambayo yanadaiwa kuwa wanayafanya hao Wayahudi pia hayana ushahidi sawa na yale ambayo yanawafanya wapewe sifa nayo hayana ushahidi pia!
Wayahudi wanachukiwa kwa sababu na wao wanawachukia wanaowachia.
Inasemekana asili ya kuchukiwa imekuja baada ya kulaaniwa na 'Mungu' kwa kumuua Yesu msalabani.
Ukitaka kuona tofauti we jiulize Tanzania, Kenya na Uganda Rwanda na Burundi tuko Mil zaidi ya Mil 90. tumewahi kugundua nini? Wao wako Mil 12 at much Wamegundua yote hayo. Albert Einstein ndiye aliyegundua Atomic Bomb ambalo ndilo lililomaliza vita ya Pili ya Dunia. Yeye ndiye aliyawapa maelekezo namna ya kulitengeneza. Unafahamu Streller? Banker Buster? Python? Yote haya wamagu dua wao. Wavhina wako Bil 1.2 lakini ugunduzi wao hauna impact kubwa duniani kama hawa watu. Mtazamo tu. Baadhi ya silaha walizogundua zinatumiwa na jeshi la Marekani ni hizi hapo kwa link
https://www.jewishvirtuallibrary.org/jsource/US-Israel/israelisystems.html
Baadhi ya wanasayansi wakubwa wa Kiyahudi. Mfano huyo mgunduzi wa polio kasaidia wewe hadi mwanao msipate polio
Scientists:
Albert Einstein -- One of the most famous and influential scientists since Isaac Newton
Carl Sagan -- astronomer and popular science author; made book and TV series 'Cosmos'
Niels Bohr -- Nobel prize-winning Physicist: atomic structure
Roald Hoffmann -- Nobel prize winner in Chemistry: field of electronic structures
Fritz Haber -- winner of the Nobel Prize of Chemistry in 1918, for the synthesis of ammonia from its elements
Edward Teller -- Physicist, father of the hydrogen bomb
Leo Szilard -- Physicist, proved the possibility of a nuclear chain reaction in 1933.
Jonas Salk -- Developed the first polio vaccine.
Ili ku debunk madai yake kwanini wewe usiweke ishirini ambao sio Wayahudi?
Hizo sasa ni UN standard labda mkuu, kibinadamu kuna power relation na mapokeo hivi umejiuliza sababu za magari kuchomwa moto ukigonga mtembea kwa miguu???!!!
Basi si sote tuwe wayahudi na kuabudu dini ya kiyahudi... ikiwa kumpenda mungu ndio huko...
NKT!
Hapana naamini kwenye kujifunza haswa kwa mijadala kama hapa!!!!!!
Central thesis ni wanachukiwa, tunajadili sababu sasa!!!!
Zimetajwa nyingi tu ambazo ni kuwasifu na si kusema why wanachukiwa per ce..if at all wanachukiwa!!!!!
Sasa unapoambiwa hawa ni wagunduzi ila ukiomba comparison frame hupewi unatajiwa tu waliyofanya hapa unaona sawa????!!!!
Nini maana ya comparative analysis???!!!!
Haya nawe umeleta concentration camps in line na kuchukiwa kwao au "intelligence" capacity????!!!!
wanachukiwa na nani?hebu tupeni kwanza tafiti za nchi zinazochukiwa ndio tuendelee.
Kila ninachokijua kina pande mbili
Duniani kuna binadamu wana roho za kinyama bila kuwa na atomiki bomu utakuja kujikuta wanakuchinja na kukumaliza kabisa,hivyo kuligundua bomu hilo lina faida sana
Kuna madhara yanayoletwa na hivyo vidonge ulivyovitaja hapo na kuna vifo vimesababishwa pia
Lakini kwa hayo hatuwezi kujifanya hatuoni faida za hizo dawa kwasababu kuna vifo zimesababisha
Pia hatuwezi kujifanya hatuoni faida za kuwepo hayo mabomu kwasababu tu kuna wendawazimu wanayatumia hovyo!
Hiyo mental gymnastic inataka muda na katika michezo ya akili hapo ni bora kuomba aliyeleta mada alete vigezo vya maamuzi yake kuliko kujitwisha mzigo wa kusoma hapa huku ukijibu hoja!!!!
Shifting a burden of proof! !!!
ni kwamba aliegundua atomic alikua raia wa marekani japo kigenitics ana nasaba ya kiyahudi.Ninachoongelea ni madhara ya kuchukiwa na watu na kupendwa na watu wengine. Hoja ni kwa nn wana hukuwa. Unadhani Wajapan wa Horoshima watakuja wawapende Wayahudi? Ndiyo ilikuwa lengo langu. Kumbuka mara nyingi watu wanaofanya maovu ndiyo wanakumbukwa kuliko watu waluofanya mazuri. Ndo maana hata wewe humjui aliyegundua Panadol au Aporin lakini unamjua mtu aliyewaua sana Wayahudi
Hapana mkuu wala sio UN standard ni kawaida kabisa
Lakini pia hata kama ni hivyo bado kuna shida
Kama Wayahudi watakuwa na hiyo "shida" tutategemea kuwa wale wengine hawana hiyo "shida"
Kama hao wengine hawana basi tunategemea jambo ambalo ni tofauti kutoka kwao na hawawezi kufanya makosa yale yale ambayo hayatawatofautisha ha wale wenye tatizo
Kama ukinichukia hili maana yake una tatizo
Ukinichukia pia utakuwa unaendeleza tatizo na mwisho wa siku wote tutakuwa na matatizo
Kwa mtazamo huo hakuna wa kumsema mwengine hapa,kama hao Wayahudi "wanachukiwa" kwasababu wana matatizo basi na hao wanaowachukia nao wana matatizo na wote wanatakiwa wasemwe!
Faida gani za hio atomic bomb boss?
hata wao ni wabaguzi wa kutupwa. Kwanza bado wana laana ya mungu kwa kukataa kumkiri yesu.Wadau nimeona niulize swali hili,
Kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani.
Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji.
Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho katika nchi nyingi duniani, waliuawa kama mbu huko ujerumani, pia kuna pozi spesho kwa ajili ya kuwabagua (anti Semitic gesture).
Baada ya kuona wanabaguliwa, Marekani ili hapa kuwalinda popote walipo duniani.
Kwanini wanachukiwa kiasi hicho?