maguzumasese2005
JF-Expert Member
- May 1, 2014
- 642
- 169
yani mpaka wanampinga pope ,ndo maana leo pope badala ya kutua Tel aviv inabidi atue west bank palestine kisha aende bethelehem na hii ni mara ya kwanza kwa pope kubypass tel aviv na kutua west bank.
Ni kweli mkuu,maana wayahudi wanaamini wakristo wameuziwa mbuzi kwenye gunia yesu hajaja.hata hivyo watu wakishafika israel na kurudi wanakuwa wamepata somo.