Kwanini Watanzania mnapotoshwa kirahisi na Lowassa?

Hili ndilo tatizo la kufikiri kwa masaburi! Yaani wewe ndio unajiona unajua sana kuhusu Richmond? Kuna lipi jipya ambalo halijasemwa kama sio kauli ya EL ya juzi. Sitaki ban TU LAKINI ningekupa vidonge vyako hapa

huyo jamaa kaongea mambo ya ukweli wewe acha vitisho eti unaogopa ban,huogopi ban bali huna majibu ya kina juu ya alichokisema utafuta pa kutokea kwa kuwa anajaribu kukurudisha kwenye mstari uache kushangilia "simu ya lowassa" huyo mwanume wenu wa shoka!ulerejee kwenye suala la msingi ambalo litaendelea kumtafuna bwana "mwanaume wa shoka"
 
Sisi sote ni binadamu, kwenye ubinadamu, hakuna mkamilifu. No one is perfect!.

Lowasa kamtubia Mungu dhambi zake, kasamehewa na sasa yeye ndie Chaguo la Mungu kwa mwaka 2015 ili litimie lile neno yasemavyo maandiko
"rais wa 2015 atatoka Kaskazini!.
Pasco,
Nina kubaliana na wewe "No one is perfect" Kwa sababu sikutegeamea mtu wa Calibre yako kueneza chuki dhidi ya watu wa kaskazini,i mean kuhubiri siasa za kutugawanya
 
Hili ndilo tatizo la kufikiri kwa masaburi! Yaani wewe ndio unajiona unajua sana kuhusu Richmond? Kuna lipi jipya ambalo halijasemwa kama sio kauli ya EL ya juzi. Sitaki ban TU LAKINI ningekupa vidonge vyako hapa

Kinamp*ita huyo achana nae.
Anachoongea walishaongea wakurupukaji wenzake lakini juzi kamanda kawashika ubayani na sasa gagulo zinawapwaya.
 
katika ccm mtu msafi ni mmoja tu nae ni edward ngoyai lowasa.kashfa ya richmond alitolewa kafara tu aliyeiingiza richmond nchini ni samweli sita wakati huo akiwa anaongoza kitengo cha uwekezaji alicho nacho emanuel naiko kwa sasa.
lowasa alijiuzulu akadai kisa ni uwaziri mkuu,wenye akili tunajua ishu ya makundi ndiyo iliyomhukumu lowasa.kamati yote ya bunge haina ujasiri tena kwa sababu wanajua walizungukwa wakaenda kichwakichwa na wakiambiwa warudie tena watakuja na majibu tofauti.
mwakyembe alisema kuna mabo waliacha kwa sababu serikali ingevunjika,sasa jiulize kama waziri mkuu ameshajiuzulu ni nani tena yuko juu yake ili serikali ivunjike?
wenye richmond wanajulikana na lowasa keshawataja.
ccm 2015 ikmsimamisha lowasa mimi na familia yangu tutakuwa wa kwanza kuipigia ccm kura.
naomba mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa auweke hapa tofauti na hapo ni majungu tu.

Sio wewe tu mkuu.
Wenye utimamu woote tutampigia kura na atakayesimamia zoezi la kuhesabu na kusimamia kura zetu atakuwa Allah...

Tuseme inshaalah
 
Kila napowasoma Wabongo inanipa picha ilivyo rahisi sana sisi kutawaliwa. Kumbe ndio maana watumwa walikuja chukuliwa Afrika...Kama babu zetu walinunuliwa kwa shanga itakuwaje ajabu leo kununuliwa na fedha! Damn Lowassa katuma team kubwa sana hapa JF...Usafi anaufanya mwenyewe kwa kuogalea maji ya taka..
 
Lowasa hatufai.Haiwezekani watanzania zaidi ya milioni 40,akosekane msafi ,eti turudi tena kwa fisadi mwingine Lowasa.
Mmesahau mwaka 2005 mlipiga makofi na kuimba kuwa tumempata mtu wa kutukomboa,yupo wapi sasa?
Tukimkubali Lowasa,tukubali tena kuongozwa na mafia Rostam Aziz.

CCM inabidi ipumzike,huu ndo wakati muafaka .
 
Hata mimi nilikuwa na mawazo ya wengi, ukiangalia kwa makini utagundua udhaifu wa serikali yetu bila EL ni mkubwa sana. Hakuna watu wenye maamuzi yawe mabaya au mazuri ndani ya serikali kiasi kwamba bado jina la EL linavuma kwa vile yeye ni mtu wa maamuzi. Ni heri kuwa na EL kuliko hawa waliopo hawana maamuzi kabisaaa. Chukua mfano mdogo wa mgomo wa wafanya biashara ya mafuta, kama angalikuwapo EL moto ungewaka na hao wafanya biashara wangejua kiaongozi kasema nini lakini hadi sasa kuna migomo baridi inaendelea. Kwa kumalizia nasema hivi ni heri kuwa na fasadi anayewakumbuka wananchi wake na kuwatumikia.
 
Siamini masikio wala macho yangu. Watanzania tuna tatizo gani? Lowasa anawapotosha kirahisi namna hii?!? Jamani, mbona mnasahau kirahisi issue iliyomtoa Lowasa Uwaziri Mkuu ni mazingira ya rushwa kupitisha mradi wa Richmond? Hata kama ni kweli alimpigia simu JK kusema wavunje mkataba wa Richmond, haifuti ukweli kwama alipitisha Richmond kwa nguvu katika mazingira ya kifisadi. Hilo ndio hatia yake, na hilo ndilo kamati ya Mwakyembe ililiona na kulisema. Lowasa si mjinga, nahisi alipiga hiyo simu kumtega JK na kujilinda baadaye mambo yakigeuka, akijua wazi walifanya jambo la ufisadi Richmond! Yaani mnadhani Lowasa hakujua wahusika wa Richmond?

Lowasa kawatega, amechukua kakipengele kadogo katika suala la Richmond na wote mkakimbilia huko na kusahau lililo kubwa katika mkataba wa Richmond. Jamani, jamani, jamani, be smart!!!

Hivi kweli kwa kauli moja ya Lowasa basi leo mnaona yale yote yaliyo kwenye taarifa ya Kamati ya Mwakyembe hayafai tena?

Hivi mnamjua Lowassa nyie? Ulizeni watu waliofanya naye kazi akiwa Waziri Wizara ya Ardhi, hadi ikafikia Mtanzania mhindi kusema Lowasa ananuka rushwa! Mhindi kukutuhumu unanuka rushwa, yaani wewe ndio basi tena, maana ana taarifa zote za rushwa wanazotoa wahindi wenzake! Hivi mmesahau Lowasa alituhumiwa nini na Nyerere katika kugombea uraisi hata akafukuzwa toka ukumbini kama mtoto mdogo?

Jamani kweli nawasikitikia Watanzania. Wasahaulifu mno!

Wanachofurahia watanzania kwa sasa ni kwamba suala la Richmond limewekwa wazi, watanzania wameweza kuelewa Richmond inamuhusu nani.
Ushiriki wa Lowassa katika suala zima la Richmond utaona makosa aliyoyatenda, lakini si kama watanzania walivyokuwa wanaelewa kabla hajatoa kauli hii. Na bila shaka Lowassa kama angeitwa na tume ya akina Mwakyembe basi haya maneno angeyasema na ukweli halisi ungejulikana toka mwanzoni hivyo watanzania tungejua nani alipaswa kujiuzulu. Lakini pia kama ningepata bahati ya kupata namba ya simu ya Lowassa ningemuuliza swali moja tu, nalo ni kwanini anayasema haya maneno sasa hivi wakati alikuwa na nafasi ya kuyasema huko nyuma? (alivyokuwa anahojiwa na Tido Muhando kupitia TBC).
 
Sio wewe tu mkuu.
Wenye utimamu woote tutampigia kura na atakayesimamia zoezi la kuhesabu na kusimamia kura zetu atakuwa Allah...

Tuseme inshaalah

taahira ni timamu machoni pake mwenyewe! umejipaka kinyesi usitukaribie! ona sasa unamshirikisha mungu wenu kwenye wizi wa kura wa ccm, aibuuuu!!!!
 
Siamini masikio wala macho yangu. Watanzania tuna tatizo gani? Lowasa anawapotosha kirahisi namna hii?!? Jamani, mbona mnasahau kirahisi issue iliyomtoa Lowasa Uwaziri Mkuu ni mazingira ya rushwa kupitisha mradi wa Richmond? Hata kama ni kweli alimpigia simu JK kusema wavunje mkataba wa Richmond, haifuti ukweli kwama alipitisha Richmond kwa nguvu katika mazingira ya kifisadi. Hilo ndio hatia yake, na hilo ndilo kamati ya Mwakyembe ililiona na kulisema. Lowasa si mjinga, nahisi alipiga hiyo simu kumtega JK na kujilinda baadaye mambo yakigeuka, akijua wazi walifanya jambo la ufisadi Richmond! Yaani mnadhani Lowasa hakujua wahusika wa Richmond?

Lowasa kawatega, amechukua kakipengele kadogo katika suala la Richmond na wote mkakimbilia huko na kusahau lililo kubwa katika mkataba wa Richmond. Jamani, jamani, jamani, be smart!!!

Hivi kweli kwa kauli moja ya Lowasa basi leo mnaona yale yote yaliyo kwenye taarifa ya Kamati ya Mwakyembe hayafai tena?

Hivi mnamjua Lowassa nyie? Ulizeni watu waliofanya naye kazi akiwa Waziri Wizara ya Ardhi, hadi ikafikia Mtanzania mhindi kusema Lowasa ananuka rushwa! Mhindi kukutuhumu unanuka rushwa, yaani wewe ndio basi tena, maana ana taarifa zote za rushwa wanazotoa wahindi wenzake! Hivi mmesahau Lowasa alituhumiwa nini na Nyerere katika kugombea uraisi hata akafukuzwa toka ukumbini kama mtoto mdogo?

Jamani kweli nawasikitikia Watanzania. Wasahaulifu mno!

Unakosea sana kutujumuisha watanzania WOTE. Sema CCM nyie ndio watu wa ajabu sana, mtu mmoja tu aliye ndani ya chama chenu ndiyo anayumbisha chama kizima. Usiseme watanzania, sema wana-CCM.
 
Hata mimi nilikuwa na mawazo ya wengi, ukiangalia kwa makini utagundua udhaifu wa serikali yetu bila EL ni mkubwa sana. Hakuna watu wenye maamuzi yawe mabaya au mazuri ndani ya serikali kiasi kwamba bado jina la EL linavuma kwa vile yeye ni mtu wa maamuzi. Ni heri kuwa na EL kuliko hawa waliopo hawana maamuzi kabisaaa. Chukua mfano mdogo wa mgomo wa wafanya biashara ya mafuta, kama angalikuwapo EL moto ungewaka na hao wafanya biashara wangejua kiaongozi kasema nini lakini hadi sasa kuna migomo baridi inaendelea. Kwa kumalizia nasema hivi ni heri kuwa na fasadi anayewakumbuka wananchi wake na kuwatumikia.

heri! ni neno limfaalo aliyekata tamaa, unahamu ya maamuzi kuchukuliwa, maamuzi hayo uyatarajiayo, ukiishikisha heri kumkubali lowasa, si tu umekata tamaa kupindukia, jua umepoteza uwezo wa kufanya hayo maamuzi sahihi.
 
naona wengi hapo juu mnatoa povu tu kwa chuki zenu, hebu jiulize mwakyembe alisema hawajasema mengine kuogopa serikali kusambaratika sasa kama waziri mkuu amejiuzulu kusambaratika huko kulikoogopwa na kina mwakyembe ni kupi?? hapo jk anapona? hili suala la richmond lengo lilikuwa kuwazamisha baadhi ya watu lakini mungu si john wala jk kila kitu kitawekwa wazi na mtakuwa amazed its a matter of time. wote tunajua ni jinsi gani sitta alikuwa ktk mtandao na alivyokuwa anawapigia debe vijana el na jk lakini baada ya kukosa uwaziri mkuu akaanza chuki na majungu akatufikisha hapo tulipofika na hii dhambi ya unafki itamtafuna hebu nawapa homework kidogo jaribuni kufanya utafiti kipindi kile riz1 yuko uk ile kampuni aliyofungua ilikuwa inaitwaje?? afu muanze kujiuliza mda ukifika mtajua mengi na mtashangaa lowassa alikuwa scape goat ktk hili. suala lingine mnalushikilia eti nyerere alisema who is him yeye ni malaika? mungu? nabii? jibu ni non kwa hiyo na yeye ana hisia labda alikuwa na chuki na lowassa ka yeye alikuwa perfect mbona ujamaa ulimshinda?? acheni hizo kila kurasa na zama zake bhaana no wonder mnamtaftia utakatifu kwa lipi? ukweli ukidhihiri uongo hujitenga mda sio mrefu mambo yote yatakuwa hadharani na sijui mtazimeza kauli zenu? maana mmelishwa pumba na propaganda za magazeti na watu wenye chuki na mmeshiba sasa mmevimbiwa mnachafua hali ya hewa. taka msitake 2015 rais anatoka kaskazini
 
Inakatisha tamaa kuona watu wanghiribika kirahisi na kusahau hoja za msingi. El, kwa maoni yangu si mtu safi, anajikosha kwa wa TZ kwa kusema kwamba yeye haijui Richmond na alimpigia simu JK. La kupiga simu si hoja ya maana sana. Kama aliona kuna tatizo baada ya kupiga simu kwani kungetokea nini kama angejiuzuru kwa sababu kuwa yeye ni mzalendo na ameona mambo ambayo hakubaliani nayo. Kwa hilo ningempongeza. Kwa ujumla wake, hasa kwa wale wenye kufikiri na kuchambua mambo kisawasawa, El is not a clean person.

kweli mkuu!
 
Siamini masikio wala macho yangu. Watanzania tuna tatizo gani? Lowasa anawapotosha kirahisi namna hii?!? Jamani, mbona mnasahau kirahisi issue iliyomtoa Lowasa Uwaziri Mkuu ni mazingira ya rushwa kupitisha mradi wa Richmond? Hata kama ni kweli alimpigia simu JK kusema wavunje mkataba wa Richmond, haifuti ukweli kwama alipitisha Richmond kwa nguvu katika mazingira ya kifisadi. Hilo ndio hatia yake, na hilo ndilo kamati ya Mwakyembe ililiona na kulisema. Lowasa si mjinga, nahisi alipiga hiyo simu kumtega JK na kujilinda baadaye mambo yakigeuka, akijua wazi walifanya jambo la ufisadi Richmond! Yaani mnadhani Lowasa hakujua wahusika wa Richmond?

Lowasa kawatega, amechukua kakipengele kadogo katika suala la Richmond na wote mkakimbilia huko na kusahau lililo kubwa katika mkataba wa Richmond. Jamani, jamani, jamani, be smart!!!

Hivi kweli kwa kauli moja ya Lowasa basi leo mnaona yale yote yaliyo kwenye taarifa ya Kamati ya Mwakyembe hayafai tena?

Hivi mnamjua Lowassa nyie? Ulizeni watu waliofanya naye kazi akiwa Waziri Wizara ya Ardhi, hadi ikafikia Mtanzania mhindi kusema Lowasa ananuka rushwa! Mhindi kukutuhumu unanuka rushwa, yaani wewe ndio basi tena, maana ana taarifa zote za rushwa wanazotoa wahindi wenzake! Hivi mmesahau Lowasa alituhumiwa nini na Nyerere katika kugombea uraisi hata akafukuzwa toka ukumbini kama mtoto mdogo?

Jamani kweli nawasikitikia Watanzania. Wasahaulifu mno!

njaa mbaya ndugu yangu, Lowassa anatukarimu kwa viji fedha , na sisi tunaganga njaa.
 
katika ccm mtu msafi ni mmoja tu nae ni edward ngoyai lowasa.kashfa ya richmond alitolewa kafara tu aliyeiingiza richmond nchini ni samweli sita wakati huo akiwa anaongoza kitengo cha uwekezaji alicho nacho emanuel naiko kwa sasa.
lowasa alijiuzulu akadai kisa ni uwaziri mkuu,wenye akili tunajua ishu ya makundi ndiyo iliyomhukumu lowasa.kamati yote ya bunge haina ujasiri tena kwa sababu wanajua walizungukwa wakaenda kichwakichwa na wakiambiwa warudie tena watakuja na majibu tofauti.
mwakyembe alisema kuna mabo waliacha kwa sababu serikali ingevunjika,sasa jiulize kama waziri mkuu ameshajiuzulu ni nani tena yuko juu yake ili serikali ivunjike?
wenye richmond wanajulikana na lowasa keshawataja.
ccm 2015 ikmsimamisha lowasa mimi na familia yangu tutakuwa wa kwanza kuipigia ccm kura.
naomba mwenye ushahidi wa ufisadi wa lowasa auweke hapa tofauti na hapo ni majungu tu.

Mwambie Lowasa ataje mali zake na aeleze alizipataje!
 
Sisi wa vyama vya upinzani tunamtaka sana huyo jamaa asimamishwe na chama chake cha MAGAMBA, tutawaonyesha kuwa watanzania wa sasa si wale wa mwaka 47.Endeleeni kumsafisha huyo fisadi lakini sisi wenye akili zetu timamu tunajua nini cha kukifanya ukufika wakati.
 
Back
Top Bottom