Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

Nikweli haya pia...

Ila mawigi na mavazi hayamfundishi mwanamke uchawi...

Ila kama alivaa nguo au wigi ya mtu mchawi anaweza beba roho
Ndicho nachomaanisha,

Mawigi yanabeba Roho za mapepo behind.

India hair au Brazilian hair, zile nywele halisi za wahindi au wazungu, ukizinunua hizo Zina mapepo live Toka kiwandani. Ukizivaa tu, umeswitch on, shughuli inaanza.

So Kwa asiyejua undani,asiye wa kiroho, itoshe kumwambia wigs Zina madhara Ili abaki na asili yake.
 
Mwanzo (Gen) 3:14
BWANA Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.

(Wanawake ndio wanaoenda zaidi kwa waganga wa kienyeji kwa shida zao nyingi.
Huko ndiko wanako tupiwa hao wadudu wachafu)
Tuwasaidie, maana huwapeleka na watoto wetu bila kutuomba ruhusa.

Wanaume turudi kubeba majukumu yetu kushape familia na vizazi vijavyo.

Tuache ulevi na ubussy for nothing.

Amen
 
Wana mioyo myepesi sana, ni waoga sana... ni rahisi kusurrender
Tuwasaidie,

Mawigi na mapambo pia yanafilisi sana Uchumi wa familia.

Mshahara wa mwanamke Kwa zaidi ya 70% huenda kwenye mapambo na mawigi.

Tukifanikiwa hapo, wakabaki na asili Yao, Uchumi wa family utakua.

Amen
 
-UVAAJI NGUO ZA KUBANA NA NUSU UCHI.
Wasichana wa jamii ya wahadzabe huwa wanashinda nusu uchi kabisa na hawasumbuliwi na mapepo, nadhani kukaa uchi hakuwezi kuwa njia ya kushambiliwa na mapepo.

Pepo linaweza kumvaa hata anayeshinda kavaa suti nzuri.
 
mapambo ya mwili
Ni Kweli, mapambo mwilini yanafungua malango ya ulinzi wa mwili wa asili tangu Kuzaliwa.

Dhahabu au silver na madini mengine ni hazina, Si kitu Cha kuvaa mwilini.

Madini, huvuta sana mapepo. So ni hatari kuyavaa mwilini.
 
Wasichana wa jamii ya wahadzabe huwa wanashinda nusu uchi kabisa na hawasumbuliwi na mapepo, nadhani kukaa uchi hakuwezi kuwa njia ya kushambiliwa na mapepo.

Pepo linaweza kumvaa hata anayeshinda kavaa suti nzuri.
Nakubaliana nawe,

Zipo sababu zingine nyingi zinazoweza sababusha mashambulizi ya kipepo,

Leo mada inahusika Wanawake kushambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume.

Kukaa uchi Kwa kukosa nguo Kwa wahadzabe au Mila ni tofauti na kuvaa nguo nusu uchi kutamanisha watakaoona.
 
Mwanamke mchawi harekebishwi mpaka ajiue mwenyewe kwa kujipiga na akifa anamwachia uchawi mwanawe wa kike au kajukuu kake ka kike. Aluta continua✊
Ni Kweli mwanamke mchawi kuacha uchawi, ni Hadi Mungu aingilie kati.

Bt wapo waliokutana na Mwanaume wa wanaume Yesu Kristo na wameacha matunguli na ni watumishi, japonni Wachache.
 
Hivi hujui kwa asili wanawake ni makao makuu ya shetani kiroho na kimwili
(Mwanzo 5:2)

Mwanamke na Mwanaume aliwaumba,AKAWABARIKI akawaita Jina lao Adamu, siku Ile alipowaumba.

Asili ya mwanamke ni Mbinguni, tuwasaidie, na wanaandamwa na shetani sababu ya uzao, ni lango la uzao.
 
INTRODUCTON.

Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo.

Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza.

MAPEPO.

Hizi ni ROHO chafu, Malaika wa Giza waasi, agents wa kuzimu wanaopenda kukaa ndani ya miili ya WANADAMU.

MWILI NI HEKALU.

Mungu na shetani Ili kuoperate katika Ulimwengu unaoonekana, mwili unahitajika Ili utumike kama madhabahu ya kupokea vitu,taarifa ,maelekezo Kutoka Ulimwengu usioonekana na kuleta Ulimwengu unaoonekana.

MWILI pia unatumika kama HEKALU Ili Mungu akae ndani au Shetani kupitia Pepo akae ndani ya mtu.

(1 Koritho 6:19-20)

Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni HEKALU la Roho mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?

(Romans 12:1-2).

Basi ndugu zangu nawasihi, Kwa huruma zake Mungu, Itoeni miili yenu iwe dhabibu, iliyo hai, TAKATIFU, ya kumpendeza Mungu ndiyo IBADA yenu yenye maana.

(2Korithians 6:14).

Msifungwe nira pamoja na wasioamini, Kwa jinsi isivyo sawasawa, Kwa maana, Pana urafiki Gani kati ya HAKI na uasi?

Tena Pana urafiki Gani kati ya Nuru na Giza?

Tena Pana ulinganifu Gani kati ya KRISTO na BERIALI?

Kwa kusoma vifungu vya BIBLIA hapo juu, Mungu anataka tuitoe miili yetu iwe takatifu na sadaka.

Wakati huo huo Shetani naye anaitaka miili hiyo hiyo ya WANADAMU iwe HEKALU lake, akae humo, na hapo ndipo vita inapoanza.

HOJA KUU: Kwanini wanawake wanashambuliwa zaidi na MAPEPO kuliko wanaume?

Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazowaweka wanawake katika risk kubwa kushambuliwa na kutekwa na MAPEPO Kwa kujua au Kwa kutojua.

1. USHIRIKINA.

Kutokana na sababu kuwa wanawake ndio walezi wa watoto na familia, hukutana na changamoto kama magonjwa ya watoto, mashambulizi Kutoka Kwa maadui wabaya, mambo ambayo hupelekea kutaka kupata ufumbuzi nje ya Mungu na kutumbukia katika mkondo wa kwenda Kwa Waganga.

2. KUCHANJA CHALE.

Wawapo katika matibabu ya asili, KUCHANJA CHALE Huwa ni Moja ya mbinu watumiazo Waganga kama matibabu,

Wanawake wengi Kwa kutojua madhara yake hukubali KUCHANJA CHALE.

Chale ni ANTENA, mtu aliyechanja chale, ni sawa na tembo aliyepigwa chip pale Serengeti, unaweza kumfuatilia popote alipo na kujua afanyacho.

Hivyo Kwa KUCHANJA chale, inaruhusu kufuatiliwa au kushambuliwa na mapepo na unajiweka katika mazingira ya kupoteza ulinzi wa Mungu wa asili tangu Kuzaliwa.

3. UVAAJI WA MAPAMBO MWILINI.

Upo utawala katika Ulimwengu wa Giza unaoshughulika na mapambo na Vito, nknk,

Utawala huo uko chini ya Malkia wa Baharini, Roho hiyo ya Yezebeli inatumika na wachawi nk nk kushambulia Hasa wanawake Ili wawe MAKAHABA, huwavamia na kuwafanya wawe addicted na mapambo na vitu vya kidunia, lengo kuu ni kuhakikisha mwanamke anakosea muda wa kufundisha maadili ya Mungu katika familia.

-UVAAJI WA WIGS, NYWELE BANDIA.

Nywele bandia ni Moja ya vitu vinavyofungua portals, vinafungua codes za kiulinzi ulizonazo na kuruhusu mlango kufunguka Kwa mapepo kuingia na kukufanya hekalu lao.

Uaona wanawake wengi Kila kukicha huvamiwa na mapepo, na hata yakifukuzwa, hurudi tena, sababu umeweka vitu vyao mwilini mwako.

-UVAAJI NGUO ZA KUBANA NA NUSU UCHI.

Tunasoma katika maandiko, Malaika wa Giza hutamani wanawake wa kibinadamu, hivyo uvaaji wa nguo za kikahaba, huvuta pia mapepo yaje kukuingia na kufanya makao ndani Yako Kwa kupenda au kuopenda, Kwa kujua au kutojua.

-KUWEKA KUCHA NDEFU BANDIA.
Asili ya kucha ndefu ni ufanane na Misukule, hivyo kuweka kucha ndefu ni kufungua mlango Ili uvamiwe na mapepo.

-UCHORAJI TATOOS NA HINA.

TATOOS zote na Hina zinafungua milango yote ya kiulinzi aliyoweka Mungu ya asili, hivyo kuruhusu mapepo kuingia na kukufanya hekalu lao, haijalishi unasali au la.

-UVAAJI WA SHANGA VIUNONI NA VIKUKU.

Hii pia ni njia mojawapo inayokaribisha mapepo kuwavamia wanawake wenye kuvaa mapambo hayo Kwa kujua au Kwa kutojua.

Ndomana matatizo mwilini hayawaishi, Kila kukicha utasikia vitu vinakutembea mwilini au miwasho nk nk.

-UVAAJI WA PETE NA HERENI.

Hereni na Pete ni Ishara ya kumilikiwa.

Mabinti wengi hawachumbiwi sababu wanatoboa masikio na kuvaa hereni na Pete ambazo Huwa ni Ishara ya kumilikiwa.

Na kumilikiwa huko Huwa Si katika Mungu, ni katika Ulimwengu wa Giza.

Kuvaa mapambo hayo, kunakaribisha mapepo yawavamie na kuwageuza viti na mahekalu Yao.

Walio wa Mungu hawaruhusiwi kuvaa Pete au hereni maana vinaondoa utakatifu na maana halisi ya kuitoa miili yetu kuwa dhabihu TAKATIFU ya kumpendeza Mungu.

- UPULIZIAJI MANUKATO.

Yapo manukato wapuliziayo wanawake yanayovuta mapepo kuingia na kuwageuza WANADAMU mahekalu na viti vyao.

Ukipuliza manukato hayo, hayaombi huhusa, ni sawa na kuacha mlango wazi, Kila kitu kitaingua.

Na mambo hayo, uanaondoa uwepo wa Mungu na UTAKATIFU.

-UVAAJI WA CHENI SHINGONI, BANGILI NK NK.

Cheni inayovaliwa kama mapambo, humaanisha Utumwa, tangu enzi na enzi watumwa walikuwa wakiwekewa alama na kufungwa minyororo,

Hivyo kuvaa vitu hivyo ni kuruhusu Pepo wabaya kuingia na kutawala.

SOLUTION.

1. Acha mara Moja kuvaa mapambo tajwa hapo juu Ili upunguze mashambulizi ya mapepo.

2. Pia epuka kwenda Kwa Waganga, maana kwenda huko ni kufungua mlango Ili mapepo yaje kufanya makao ndani ya MWILI wako.

3. OKOKA, mkabidhi Yesu maisha Yako, akupe Amani yake, Damu ya Yesu itakusafisha na utakuwa kiumbe kipya.

4. Kataa USHIRIKINA, achana na marafuki wabaya ambao hutafuta msaada wa WANADAMU Kutoka Mizimu nk nk.

Mapepo yatafukuzwa na ukiacha kuvaa mapambo, utaufunga mlango Ili kuzuia mashambulizi ya kipepo once and for all.

ANGALIZO: YESU ANARUDI SOON, NI MUDA SASA WA KUHUBIRI INJILI YA UTAKATIFU.

YESU ANALITAKA,ANALIKUSANYA KANISA LAKE ILI LINYAKULIWE.

Amen.
SDA
 
Kwanini wanawake wanashambuliwa zaidi na MAPEPO kuliko wanaume?

4. Kataa USHIRIKINA au kwenda Kwa Waganga wa kienyeji na usipige ramli, ni machukizo.

Mapepo yatafukuzwa na ukiacha kuvaa mapambo, utaufunga mlango Ili kuzuia mashambulizi ya kipepo once and for all.

ANGALIZO: YESU ANARUDI SOON, NI MUDA SASA WA KUHUBIRI INJILI YA UTAKATIFU.

YESU ANALITAKA,ANALIKUSANYA KANISA LAKE ILI LINYAKULIWE.

Amen.
Hapo kweny SOLUTION,nagongelea msumari kwenye point namba 2,3 na 4...
 
Umeandika ujinga mwingi..wanawake are more emotional based kuliko wanaume ndo maana are more likely kuamini vitu visivyo vya ukweli Kama wachungaji waganga matapeli etc wanaendeshwa kwa hisia Kama uwoga tamaa etc....
 
Back
Top Bottom