Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali

Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...

ha ha ha haaaa haaaaaaa, uwiiii mwe! hivi kweli nihame JF halafu niende FACE BOOK? Huku kila kitu bana, utacheka, ukitaka utalia. Mi nilikuwa sijui kama wengine mnakumbatia kwa nyuma. Ngoja naenda kuoga nitajaribu huko sasa hivi!:lock1::lock1::lock1:
 
Umeona eeh

MTOTO HUWA ANAPAKATWA KWA KUMWANGALIA?KU HUG KWA NYUMA MWANAMKE ANAFEEL KAMA SHE BELONGS TO SOMEONE,SHE IS PROTECTED.HAMUWEZ KUHUG MMEANGALIANA KWA MUDA MREFU,MTAHITAJI KUPUMUA HEWA SAFI NA YA KUTOSHA.HUG YA NYUMA HUWEZA KUDUMU KWA MUDA MREFU,HAIMNYIMI MTU RAHA,HATA KAMA MNA AIBU YA KUTAZAMANA USONI.:crazy:
 
Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali

Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...

Kwa nini wanaume nao wanapenda kuchezea makalio ya wanawake wanapochezaa? hii kitu mtu wangu by nature tu ipo....
 
I guess wanapata raha flan when wakikumbatiwa hivyo!!!ukuchunguza sana kipindi cha kumbato lazma uende mnara na atashtuka kwa furaha,,, so n kama kipimo flan hivi kama unam feel, na anaweza kukustimulate, :der: its wat i believe
 
Kesho ntaanzisha thread inayohusu mitazamo juu ya wanawake waweje. Maana naona wadau mmeshajiwekea kuna avatar za kike na za kiume. Hizi ni ID tu ukizichunguza waweza kujua tabia ya mtu au usijue hasa kwa sisi tuloweka with deep thought. Unataka kunambia ningeweka ya mbu ungejua mimi mwanaume?

alaaa wewe kumbe ni she? mbona avata ya kiume sasa?
 
Huyo aliyeuliza swali kama yamemkuta hayo basi domo lake linanuka ikabidi bibie ageuke amwachie mashuzi.

Faiza, haya maneno mbona hayaendani na hiyo sura kwenye avatar yako.............................?
 
ngoja nitoe mchango wangu unajua kuna vitu vingi sana havijafanyiwa uchunguzi wa kina tukajua kwa nini hiki kipo hivi na kile kipo vile na labda hakuna anaye ona kama kuna tofauti yoyote mie nakushukuru kwa kugundua hilo naomba ulifanyie kazi kwani naona upo curious ..........kwa mfano mama wa kijijini anapombeba mtoto mgogoni anainama lakini sina uhakika kama wale kina mama wanajua kwa nn wanainama hivyo hata kina dada wanaweza kukujibu wanavyojua lakini isiwe sababu yao ya msingi kufanya hivyo.nadhani wanafanya kwa mazoea au tu wanaona katika picha watu wanafanya hivyo
endelea kuchunguza
 
Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali

Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...
utamwogopaje mume au mpenzi wako?
By the way sampling sample yako ilikuwa kiasi gani?
 
Hahahaha husininyo bana!

Kwa upande wangu sijui kwa nini ila najisikia vizuri nikikumbatiwa kwa nyuma hasa nikiwa nimelala

unajua Maty najaribu kuangalia hapa,
comments nyingi za wadada zinaonyesha kuwa wanapenda kukumbatiwa kwa nyuma,
sasa sijui inakuwaje pale mdada anapokuwa na umbo kubwa kuliko hata mpenziwe,
hivi hapo anaemkumbatia mwenzie ni nani?
 
Mi napenda kwa mbele nipate lkulaza kichwa changu kifuani

Back
Top Bottom