Kwanini wanawake wa mkoa wa Kagera wanapenda wanaume wa mkoa wa Mara?

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua wanawake wa mkoa wa Kagera wanawapenda sana wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo na intermarriage ya makabila wanawake wengi wa mkoa wa Kagera wameolewa au wanapenda kudate na wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo

Kwenye shughuli mbalimbali mfano wakutanapo vyuoni,biashara,kazini mwanaume wa kikurya au kijeluo kuna asilimia 98 wakaoana au wakadate na wanawake wa mkoa wa Kagera

Mwanamke wa mkoa wa Kagera anaweza kudate na mwanaume wa mkoa mwingine ila akikutana na mkurya au mjeluo anaweza kuvunja mahusiano ili aweze kuwa naye

Wanawake wa Kagera ingawa wameolewa na makabila mengine ila kwa asilimia 95 wameolewa na wakurya au wajeluo

Tupeni siri wanawake wa Kagera kwa nini mnawapenda wanaume wa kikurya au wajeluo huku wanawake wa makabila mengine hayataki kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara?
 
hulka ni moja safari ni moja.
ulishawahi kuwaza combo ya mhaya na mzaramo inaweza kusurvive kwa muda gani?
 
Mna nguvu nyingi nasikia, ila hampo romantic mnaamrisha sana kwahiyo hizo asilimia zako 95 hazina ukweli
Chunguza nje ya makabila yao, wengi wao wameolewa na makabila gani au wapenzi wao kwa wingi ni makabila yapi utabaini
 
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua wanawake wa mkoa wa Kagera wanawapenda sana wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo na intermarriage ya makabila wanawake wengi wa mkoa wa Kagera wameolewa au wanapenda kudate na wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo

Kwenye shughuli mbalimbali mfano wakutanapo vyuoni,biashara,kazini mwanaume wa kikurya au kijeluo kuna asilimia 98 wakaoana au wakadate na wanawake wa mkoa wa Kagera

Mwanamke wa mkoa wa Kagera anaweza kudate na mwanaume wa mkoa mwingine ila akikutana na mkurya au mjeluo anaweza kuvunja mahusiano ili aweze kuwa naye

Wanawake wa Kagera ingawa wameolewa na makabila mengine ila kwa asilimia 95 wameolewa na wakurya au wajeluo

Tupeni siri wanawake wa Kagera kwa nini mnawapenda wanaume wa kikurya au wajeluo huku wanawake wa makabila mengine hayataki kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara?
Ntarud hapa
 
Vita ya Kagera, Mkunyenge na mazagazaga ya familia ni mojawapo ya sababu... wanawake wote duniani humu mara nyingi wanataka ku- feel safe, ukiweza kuwaonesha kwamba wako safe kwa aina yeyote ile, utawatembezea moto hadi basi , wawe wahaya au wazungu, ni safety tu- iwe ya pesa, upendo, kujaliwa etc... hii ndio kanuni kuu kama unataka kuwalamba
 
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua wanawake wa mkoa wa Kagera wanawapenda sana wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo na intermarriage ya makabila wanawake wengi wa mkoa wa Kagera wameolewa au wanapenda kudate na wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo

Kwenye shughuli mbalimbali mfano wakutanapo vyuoni,biashara,kazini mwanaume wa kikurya au kijeluo kuna asilimia 98 wakaoana au wakadate na wanawake wa mkoa wa Kagera

Mwanamke wa mkoa wa Kagera anaweza kudate na mwanaume wa mkoa mwingine ila akikutana na mkurya au mjeluo anaweza kuvunja mahusiano ili aweze kuwa naye

Wanawake wa Kagera ingawa wameolewa na makabila mengine ila kwa asilimia 95 wameolewa na wakurya au wajeluo

Tupeni siri wanawake wa Kagera kwa nini mnawapenda wanaume wa kikurya au wajeluo huku wanawake wa makabila mengine hayataki kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara?
Mashine za Mara ni tofauti, zinajua kukoboa jaman kama za kimasai
 
Nguvu kwa nguvu....no romantic...ila wanajali familia...wanawake wako safe....wana provide.....
 
Mtoa mada uliyoandika hayana ukweli , kwanza ni marufuku Kwa mhaya au mkuraya kuoana ! Hawa ni watani wakioona ni bahati mbaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom