Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

unajua Maty najaribu kuangalia hapa,
comments nyingi za wadada zinaonyesha kuwa wanapenda kukumbatiwa kwa nyuma,
sasa sijui inakuwaje pale mdada anapokuwa na umbo kubwa kuliko hata mpenziwe,
hivi hapo anaemkumbatia mwenzie ni nani?

Hahhahaha bacha lol. hapo sasa inabidi mdada ndio umkumbatie mwenzio maana........
 
naomba na mie nichangie japo kuwa mi c mwanamke. wanawake wengi wanapenda kukumbatiwa kwa nyumba kwani
kwa mbele huwa wanawaweka wapenzi wao wa dhati, nyumba ndogo na ma part time wanawekwa mlango wa uani.

aiseee.. nyoosha hii kitu vizuri bana usije fanya watu wakaulizia nyumbani leo mbona wanapewa mgongo
 
Kukumbatiana kwa mbele ni kaz mana tumbo linakutana na tumbo na tunavo shindana vitambi cku hizi tayari kunakadistance kanaingiza barid. Nyuma sasa ambako mie ndo mhumini tumbo linakuwa kwa mgongo makalio yanaingia chin ya tumbo yan hakuna upenyo wakati huo mikono ipo kwa tumbon mwa mamaa kama co kifuani.
 
kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii halinaomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...
una uwakika na unachokisema?naomba uende shule kwanza na uje ufanye critical thnkng,yan kama wewe umewanyia hvyo mahawala zako ndio unasema wanawake wote?bro watch out ur mouth.
 
Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali

Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...
We feel warm and safe tukikumbatiwa from the back, yaani kama kuku katamia mayai yake vile
 
ni position ambayo inamfanya mwanamke arelax...unajua wanawake tunapenda kukumbatiwa kuliko unavyoweza kuimagin. ukimkumbatia kwa kugeukiana, huwa kuna distance inabaki kati yenu au la sivyo itawabidi wote waawili mtumie nguvu kidogo ili kugusana kabisa. sasa, unampomkumbatia kwa nyuma, miili inakua na uwiano mzuri mnagusana kuanzia juu kati hadi chini kwa kurelax bila nguvu. hii inamfanya mwanamke ajisikie kakumbatiwa vuzuri hasa kwa kua mwanaume anakua na access nzuru ya kumshika kiuno na maziwa maeneo ambayo yana raha... lol...nisijiachie hapa bureeeee tchao
 
Kwa wazoefu wanaelewa kuwa ukiwa na mke/mpenzi wako wa kike mnaonga au mmelala, mara nyingi anapenda umkumbatie kwa nyuma kama stori au petipeti inaendelea. Na hii ni almost kwa wanawake wote. Wanawake ambao wameolewa au wana wapenzi wanaume wafupi kuliko wao huwa hawaenjoy sana hii hali

Naomba wanawake wanijibu kwanini wanapenda hivi, au ni kuona aibu ya kumtazama mwanaume usoni? Wanawake kadhaa niliowauliza wameshindwa kunipa sababu za kueleweka...

Story gani ya kuongea na mpenzi yupo nyuma yako, najaribu kujiuliza mnakua mmesimama ,mmekaa au mmejilaza ndio mwapiga story kwa mtindo huo?
Wanawake wenye wapenzi wafupi hawaenjoy ,umejuaje?
Sijui ni kwa nini ila sla kumuonea aibu mwanaume nakataa!
 
UPO SAWA MNO mapenzi yangu

Back
Top Bottom