Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 489
- 1,268
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua wanawake wa mkoa wa Kagera wanawapenda sana wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo na intermarriage ya makabila wanawake wengi wa mkoa wa Kagera wameolewa au wanapenda kudate na wanaume wa mkoa wa Mara hasa wakurya na wajeluo
Kwenye shughuli mbalimbali mfano wakutanapo vyuoni,biashara,kazini mwanaume wa kikurya au kijeluo kuna asilimia 98 wakaoana au wakadate na wanawake wa mkoa wa Kagera
Mwanamke wa mkoa wa Kagera anaweza kudate na mwanaume wa mkoa mwingine ila akikutana na mkurya au mjeluo anaweza kuvunja mahusiano ili aweze kuwa naye
Wanawake wa Kagera ingawa wameolewa na makabila mengine ila kwa asilimia 95 wameolewa na wakurya au wajeluo
Tupeni siri wanawake wa Kagera kwa nini mnawapenda wanaume wa kikurya au wajeluo huku wanawake wa makabila mengine hayataki kuolewa na wanaume wa mkoa wa Mara?