Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

halafu, sema mhasibu ana umuhimu wake kubalance mahesabu nk, lazima awepo asee hatuwezi kuwakwepa mazima...benki...sijui wapi...wapo tu.....

hhhhaaaa!! ukitaka hela ya matumizi nyumbani atakwambia uandike mainvoice sijui makitu gani wanajua wenyewe. teheee
 
Asante....huwa naona raha sana pale ninapokumbatiwa na rundo la wanafunzi wangu pale niingiapo geti la shule....kila Mtoto anataka anishike mkono.
Sisi walimu kiukweli ni walezi wazuri sana wa watoto....
Mwanafuzi akikupenda hata somo lako hulifuatilia vema.

Ndoa ni raha wala sio vita au ugomvi huwa ni tulizo la moyo baada ya majukumu yote ya kutwa nzima na kwa dunia ya leo utalipata kwa walimu wa kike kwanza hata siku moja hawezi ludi nyumbani baada ya wewe kuludi (kumtangulia) anauwezo wa kushughulikia maswala ya kifamilia kiufasaha mfano malez ya watoto nyumbani kwa kuwa saa tisa au kumi ameshaludi nyumbani, wanauluma na niwepesi kuweza kulitambua tatizo la mtu kwa kumsoma kisaikolojia na kiujumla maadili ya kazi yao ndio hasa yanayotakiwa na kwenye jamii mfano kutovaa nguo fupi, kuweka mitindo ya nywele ya ajabu ajabu au hata kuvaa maviatu marefu au nguo zisizo na star katika jamii na bila kusahau niwavumilivu pia katika maisha.
 
Umemalizaaaaaaaa.....
 
Ludi
Kuludi
Ameshaludi
Wanauluma

Hiki Kiswahili Che!

Hii mada mbona walimu na wame za walimu wataipenda!

Ila mleta mada ulilenga na wale wa chuo au secondari kushuka vidudu?
 
wanaume achane kujifariji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Tabia ya mtu haibadiliki etii kisa huyu ni mwalimu!

kipimo cha mke mwema soma Mithali 31 na 32 yote!!

Zaidi ya hayo ni Upendo, basiiiiiii mengine ni result of circumstances tuuu!!!!!!
 
Ndoa ni raha wala sio vita au ugomvi huwa ni tulizo la moyo baada ya majukumu yote ya kutwa nzima na kwa dunia ya leo utalipata kwa walimu wa kike kwanza hata siku moja hawezi ludi nyumbani baada ya wewe kuludi (kumtangulia) anauwezo wa kushughulikia maswala ya kifamilia kiufasaha mfano malez ya watoto nyumbani kwa kuwa saa tisa au kumi ameshaludi nyumbani, wanauluma na niwepesi kuweza kulitambua tatizo la mtu kwa kumsoma kisaikolojia na kiujumla maadili ya kazi yao ndio hasa yanayotakiwa na kwenye jamii mfano kutovaa nguo fupi, kuweka mitindo ya nywele ya ajabu ajabu au hata kuvaa maviatu marefu au nguo zisizo na star katika jamii na bila kusahau niwavumilivu pia katika maisha.

Tatizo lenu wanaume mnapenda pa kupaonea!!!!!!
Mnajua huyu hata jaribu kutafuta elimu ya ziada na utabaki kumkandamiza tuuuu!!!!
 
Hehehe mende ni mende tu!mna hata waalimu wapo kibo wanatabia mbovu kama kawaida tena wasikuhzi hawafai mna wengiwao wameenda ualimu kwa bahati mbaya bil kupenda kwa sababu ya ugumu wamaisha watu tunawajua vzuri sana mana experiance tunayo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ukioa mwalimu kwanza una uhakika kwamba umepata mlezi mzuri wa familia (mama watoto) ambaye atakua karibu na mwanao mda mwingi halafu walimu most of them on my own perspective nawaona kama ni watu Fulani hivi wenye busara za maisha hivi na maono ya mbele... wengi wanapenda maisha yao ya ki natural chuoni nilikua nawaona sana ni watu wenye maadili kuliko wanawake wa fani nyingine... interestingly, wengi walikua kama wameokoka vile.....
 
Ila wanatabia ya kubweteka sana mume ukiwa huna time na familia unaweza ukakuta familia imeoza mwanzo wa nyumbani mpaka watt hawapo smart walimu.
 
Hawana makuu, hawana false expectations, waelewa, wanajua kupangilia mambo kama wanavyojua kuandaa lesson plans na schemes of works. Aidha, walimu wanajua kuyaangalia mambo with the right perspective!
 
Back
Top Bottom