Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mazungumzo yanayoonyesha kuwa walimu wamekuwa watu wenye nafasi kubwa sana ya kuolewa kuliko wanawake walioko kwenye nafasi nyingine za ajira. Kimsingi mimi binafsi nimekuwa sijui sababu hasa ya hili lakini nakumbuka mama yangu aliwahi kunambia hivi "Ukipata mwalimu itakuwa vizuri maana wanajua kulea watoto"

Kuna mtu mwingine alinambia "Ratiba ya walimu iko very open, hakuna overtime, semina mara chache mno, mikutano mpaka awe na ushikaji na mwalimu mkuu" so unakuwa na uhakika wa saa nane au tisa yeye kuwa nyumbani.

Kuna sababu nyingine kwenye suala hili wadau?
 
CC: gfsonwin snowhite !!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
1.Haiba ya walimu ni upole,huruma na uvumilivu kwani wanshughulika na watoto ambapo bila sifa hizi ualimu utakushinda.
2.Haiba ya walimu ni kuwa na maadili ya hali ya juu kwani wao ni vioo vya jamii hasa kwa watoto wanaowafundisha
3.Walimu wengi huwa walezi wazuri wa familia kwani wameshughulika na watoto wa kila aina huko mashuleni na hivyo ni rahisi zaidi kwake kulea watoto wake nyumbani kwake kwa uzuri zaidi.

ila sijui ilikuwa zamani ambapo kwa kweli haiba zilkuwa zikifuatwa?maanake enzi hizi za mchina mmmmhhh kila kitu feki.
 
Okay, kuna uwezekano haiba zilikuwa zamani, lakini mbona sasa kasi ya kuoa walimu imeibuka upya tena? Kuna lolote lililoongezeka kwao au kuna lililopungua kwa kada nyingine mkuu?
 
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mazungumzo yanayoonyesha kuwa walimu wamekuwa watu wenye nafasi kubwa sana ya kuolewa kuliko wanawake walioko kwenye nafasi nyingine za ajira. Kimsingi mimi binafsi nimekuwa sijui sababu hasa ya hili lakini nakumbuka mama yangu aliwahi kunambia hivi "Ukipata mwalimu itakuwa vizuri maana wanajua kulea watoto"

Kuna mtu mwingine alinambia "Ratiba ya walimu iko very open, hakuna overtime, semina mara chache mno, mikutano mpaka awe na ushikaji na mwalimu mkuu" so unakuwa na uhakika wa saa nane au tisa yeye kuwa nyumbani.

Kuna sababu nyingine kwenye suala hili wadau?

Sina hakika na huu utafiti ....
Hivi walimu si muda mwingi wanakuwa shuleni na watoto? Kama ndo hivyo wanaoenekana wapi au wanakuwa exposed wapi mpaka wawe wana-chance kubwa ya kuoelewa kuliko taaluma zingine? Kwanini isiwe uwingi wao kwenye mashule ndiyo unaochangia kuonekana kana kwamba waliooolewa au wanaoolewa ni wengi zaidi? Ni kweli kwa sababu ya uvumilivu au upole au ukarimu wa baadhi yao? Sifa hizi wanawake wenye taaluma zingine hawana?

Ngoja niendelee kutafakari, nitarudi!
 
mi pia ningekuwa mwanaume ningeoa mwalimu, najua akichelewa sana kutoka ni sa kumi na mbili, habari za kuoa wahasibu balance sheet zao zisipobalance analala ofisini nani anataka? nawahusia kaka zangu wa jf oeni walimu. cc Mentor, Eiyer, watu8.

Walimu hawa wa siku hizi ambao wanakwenda semina kila mwisho wa mwezi?

Halafu hivi wewe ni mwalimu wa shule gani vile...lol!
 
Akienda semina kila mwezi mwangalie vizuri na mwalimu mkuu wake utakuta majanga hapo
 
Back
Top Bottom