Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,917
Kwa wakazi wa dar es salaam,
ukienda kutafuta nyumba mwenye nyumba anakuuliza wewe ni kabila gani?
Ukisema kuwa wewe ni muhaya anakwambia hapangishi wahaya.
Ukitafuta msichana anakuuliza wewe ni kabila gani, ukisema mhaya uhusiano unafutika kama mshumaa kwenye upepo....na namba yako ya simu anaifuta.
Ukienda kuomba kazi ukisema tu kuwa wewe ni mhaya..
Au jina lako likiwa la kihaya inakuwa ngumu kwelikweli kupata kazi...(labda ushikwe mkono)
kwenye chaguzi mbalimbali ukisema kuwa wewe ni mhaya yanaanza kujengwa makundi ya kukuporomosha na kukuchafua...
Hivi ni kwanini yote haya yanawatokea wahaya tu?