Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

Tengeneza scenario ya kumuona yeye na huyo shost ake, kubali kupasuka, hiyo hela “nzuri” unayotaka kumpa yeye utatumia kwenye kupasuka…..
 
Wanawake Kila sekunde wako kwenye ushindani.

Kuna mmoja nilivyomtomgoza, akajifanya kuniletea 'Ukaka udada' , ila Pesa haachi kuonga.

Nikamchana live, kwakua K yako umekatalia, Hela, Muombe unayempa K.

Sasa alikua na Best wake mkaliii kinyama, nikaamua kumtongoza best.

Best akajaa, nikaanza kumfanyia kumfuru ya matunzo.

Yule Dem wa Kwanza alipojua, Wacha aendee kunisema mabaya, aliniponda ponda balaaaa.

Uzuri best wake alikua keshanielewa, namm nikampa ukweli, kua kabla yako, nilikua nmevutiwa na Rafiki yako, sema akawa mambo mengi ila Hela akawa anataka.

Sasa hapo anakuonea wivu😂

Demu alikujaga kunitafuta, ohoooo sio vizur, ohoooo huna uvumilivu, ohoooo vileeee, ohoooo mwanaume Malaya sana weee
 
Sasa hapo anakuonea wivu

Demu alikujaga kunitafuta, ohoooo sio vizur, ohoooo huna uvumilivu, ohoooo vileeee, ohoooo mwanaume Malaya sana weee
Inabid nae umkaze.
 
manina..kuna pisi moja nilitupa vocals ikasema ina mtu wake nikasema sawa,tukawa tunachati kirafiki ananiita kaka namwita dada fresh kabisaa..kuna siku ikampost rafiki ake status kwa watsup mkali sana kuliko yeye asee..

Nikamwambia dada eeh naomba namba ya rafiki yako,nimemwelewa kinoma asee,weeeh ilinijia juu kinoma.

ikagoma kabisaa inaishia kunambia utajiju ,loh
 
Utakuta nimekutongoza umenikataa ukasema tuwe marafiki na nikakubali, au hata sijawahi kukutongoza ila sisi Ni mabesti, una rafiki wa kike uko karibu naye kuliko mimi

nilivo karibu nae, hivyo mm kukutana nae kumtongoza inakua sio rahisi Kutokana na ugumu wa kimazingira, kwanini tukiwaomba msaada wa kutuunganisha nao kimapenzi mara nyingi hua mnatukatalia?

REAL LIFE STORY:
Kuna mdada nilichukua namba yake, tulichat vizuri tu na kupigiana simu, ila akawa ananiletea head games Na usumbufu, nkiomba tuonane (Aje ghetto) anasema yuko bize, mara aniombe hela ile Siku za mwanzo mwanzo nlivochuka namba, nikaona hapa nimeshakataliwa, sina mtu, nlivotaka kumpotezea full, nikakumbuka huyu mdada ana urafiki na mdada ambaye namuona ana shape kuliko yeye, nikasema sifuti namba yake acha awe kama mshkaji wangu, Nliendelea kuchat naye kisela badae nikamwomba aniunganishie kimapenzi na huyo rafiki yake wa kike, kwasababu mazingira ya mm kukutana na huyo rafiki yake Face to face ni magumu, nimemuahidi hadi kumpa hela nzuri kama akinisaidia hilo jambo, nashangaa nimenuniwa, sms sijibiwi tena, simu zangu hapokei tena, pamoja na kuwa nimemwahidi na kumpa hela akinisaidia kwenye hilo.

Wana-Jf wenzangu, especially dada Zangu wa humu jf, msaada tutani mtu kama huyo nimweleweje?, mbona sisi marafiki wa kiume tunapeana namba za wadada? Na tunaunganishiana Kirahisi?? Depal Kalpana Lenie Demi Cillah Numbisa Kelsea Saint Anne
umalaya tu muone
 
Nenda mwenyewe umtongoze huyo shoga yake bro.Asa unaogopa Nini.
Huyu rafiki yako Wala hatokusaidia kumpata huyo unayemtaka,Kwanza atakusagia kunguni ile mbaya...atamwambia vile alikukataa😂
 
Kuna mmoja ananifanya Mimi ni charting machine yake, namjaza kwenye mfumo zeni nitatokomea mitini!
 
Asilimia kubwa ya wanawake wako hivyo anaweza kuwa ni mke wa mtu kabisa lakini akakuharibia Kwa demu unaemtongoza Sasa unajiuliza huyu mke wa mtu hata iweje siwezi kuwa nae lakini anaharibu mishe zangu na mademu wengine anatakaje? Na show ukimuomba hakupi?
 
Mademu wa sasa unaogopa kutongoza full kuombwa hela. Hela pesa money vumba
 
Back
Top Bottom