Kwanini wachina tu na si wahindi?

Na Kenyans wako kibawa wanajifanya wajaluo na waarusha, Zambians, Somalians, Malawians etc etc
 
Sio wote maana wengine walipigania uhuru wa
Wadanganyika.

tunaongelea wale waliotoka kwao kuja kujifanya wawekezaji na si wale waliopigania uhuru kama prof shivji............. lazima tuwatimue wageni wanaoishi bila uraia wetu kwa kigezo cha uwekezaji ........kwanini tuwatimue wawekezaji wa kichina tuache wahindi?
 
ni mzaliwa wa iran lakini alipata uraia wa tz na inasemekana anamiliki uraia wa canada.........
yani huyo jamaa ni moja kati ya mifano mizuri ya hawa wageni wanayoinyonya nchi yetu,hivi inawezekana mtanzania ukaenda iran ukafanya vituko kama anavyofanya huyu jamaa?(rostam aziz) kwanza amepetaje ubunge?au na sisi wabongo tukienda iran tunaweza kupota ubunge?sidhan,yani hata iweje?hawa jamaa wamefanya nchi kama yao vile,hivi tatizo ni kwasababu nchi yangu tanzania ni maskini au?lakini hata kama ni maskini wa mali sasa tumekubali kuwa maskini wa akili,fikra na busara pia!!yani mimi hawa wageni hawa siwapendi hata kidogo,muda sio mrefu tutatawaliwa tena,maana mkwere anauza nchi Rostam Aziz balaa | Gazeti la MwanaHalisi
 
tunaongelea wale waliotoka kwao kuja kujifanya wawekezaji na si wale waliopigania uhuru kama prof shivji............. lazima tuwatimue wageni wanaoishi bila uraia wetu kwa kigezo cha uwekezaji ........kwanini tuwatimue wawekezaji wa kichina tuache wahindi?

Wapakistan wamejaa kibao kwa Bakharesa,Manji na Mohamed Enterprises tena hawana hata vibali na wanaishi kimagumashi na wengine kwenye magodowns
 
Wapakistan wamejaa kibao kwa Bakharesa,Manji na Mohamed Enterprises tena hawana hata vibali na wanaishi kimagumashi na wengine kwenye magodowns
wasomali nao wamo kwenye hotel ya tansoma ya gold star kariakoo hivi hii nchi inaenda wapi kweli?
 
Nyalandu anza na wizara ya mambo ya ndani, custom zote safisha hizi idara ndipo ufanye hili la kuwafukuza wageni. Upo uozo mkubwa sana wizarani na balozi zetu. Nani balozi wa Tz. China na India? Tuanze na hao ndipo tumalizie nyumbani. Home Affairs watu wote walitakiwa kufukuzwa kazi na kuanza wizara upya. Passport ya Tz. inauzwa kama peremende si ujinga huu.Piga redundancy ya nguvu ndio kitaeleweka.
 
Kuna wimbi kubwa la wageni kuishi nchini kama wawekezaji lakini kwenye maeneo yanayoweza kufanywa na watanzania . lakini cha kushangaza msako huwa unafanywa kwa wachina tuu na si wahindi na jamii zingine za wageni. naomba msako huwe kwa jamii zote na si kuwabagua wageni hawa na kuwaacha wengine................ nini sababu ya kubagua baadhi ya wageni na kuwazuia kuwekeza kwenye maduka na kuacha wengine?

Kwa jinsi ninavyowafahamu wahindi na wa-Paki kuogopa wachina kwa competition, kuna uwezekano mkubwa sana kuwa ni mhindi powerful amehonga ili wachina waondolewe nchini ili wao waendelee kuvuna shamba la bibi!
 
lakini umefika wakati kama mchina atazuiwa kuwekeza kiduka basi na muhindi nae azuiwe si kuanza kutenga nani wa kumzuia kuwekeza biashara ndogo na nani wa kumruhusu
 
Back
Top Bottom