Kwanini upinzani wetu umeshindwa kututetea badala yake wanatetea wakwepa kodi na mafisadi ya ACACIA?

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Lengo la upinzan ni kutetea masilahi ya wananchi wanyonge na kuisimamia selikali, cha kusikitisha upinzan wetu wao wanajali matumbo yao tu wakifukuzwa bungen huungana kwa pamoja kumushitak speker kwa masilah yao

Kwa sasa wananchi wako kwenye matatizo makubwa ya hapa na pale wao wapo kimiya nyumba na makaz ya watu yanabomolewa wao wamekaa tu, uhuru wa kujieleza haupo tena wao wamekaa kaz yao ni kutetea mafisad

Acacia waliposhikiliwa makinikia yao hawa wapinzan wetu walikuja juu sana had nikasema yes huu ndo upinzan sasa lakin kwa sasa nyumba zinabomolewa na hakuna fidia wamekaa kimiya hakuna hata mmoja anayepasa saut yake

Kwahiyo nyie wapinzan kaz yenu ni kutetea mafisad, wauza ngada na wakwepa kodi? Mbona huku kitaa hatuwaelewi

Nguvu yenu kama upinzan iko wapi kwanini haionekan?

Kwanini msisimame upande wetu wanyonge badala ya kusimama upande wa mafisad na wakwepa kod?

Hao wakwepa kod wanawalipa kias gan ili nas tujichange tuwe tunawalipa kias hicho muweze kusimama upande wetu wanyonge?

Wengine mtajadili mwandiko wangu mara hapa hujaweka koma, mara umeandika utumbo gan huu badala ya kujadili hoja

Balikiwen katika bwana

Cc mbitiyaza

LONDON BABY
Hoja ni kwanini wapinzani wana tetea mafisadi ni kwamba kabla aija watetea alikuwa pamoja na serikali na aliitaji kwamba wafanye mambo kisheria ila akaonekana hana maana,, na akasema kwa kufanya hivyo serikali itagharimika tuka danganywa tutalipwa kumbe ni tutawalipa kama alivo sema mka mpuuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watawatetea mara ngapi walipowaambia kwa maneno, kwa vitendo, kwa maandamano mpaka wakatoka nje ya bunge lakini hamkusikia. Hata mwaka huu Lisu akazidi kuwakumbusha bado hamkusikia. Sasa hapo mnalaumu nini au mnatakà muonewe huruma wakati hamtaki kuwasikia. Nyie sio ndio mnawaona wapinzani sio Watanzania. Mmeshabugi kilichobaki mwambieni huyo mkuu wenu afute mbio za mwenge ili muwe salama bila hivyo CCM Mtalala milele
Ndo umeandika nini hebu rudia kusoma ulichokiandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu serikali yako ni sikivu hata wewe unaweza kuipazia sauti. Wasaidie hata msaada wa kisheria sio kulaumu tu. Je wewe umefanya kipi kuwasaidia?
Mimi sijui sheria mkuu, kwanza kabla hatujafika mbali unajua maana ya upinzan? Maana naona ulichoandika hata hakiendan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli.
Lakini haya yote tulitahadharisha tokea mwanzo.
Wenye chama chao wakatupa vijembe kwa kuwa ishu wakati ule ilikuwa mikutano ya hadhara ya siasa na kwa kuwa ya kwao ilikuwa inaendelea, wakadhani wako salama.
Sasa panga linakata kote kote.
Tuvumilie maumivu sote.
hujajibu swali ndugu
hoja kwamba mlisema mapema ni muflisi
mbona hata Mafisadi, mikataba ya madini mlisema mapema, lakini leo hii bado mnaikosoa vikali serikali
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Lengo la upinzan ni kutetea masilahi ya wananchi wanyonge na kuisimamia selikali, cha kusikitisha upinzan wetu wao wanajali matumbo yao tu wakifukuzwa bungen huungana kwa pamoja kumushitak speker kwa masilah yao

Kwa sasa wananchi wako kwenye matatizo makubwa ya hapa na pale wao wapo kimiya nyumba na makaz ya watu yanabomolewa wao wamekaa tu, uhuru wa kujieleza haupo tena wao wamekaa kaz yao ni kutetea mafisad

Acacia waliposhikiliwa makinikia yao hawa wapinzan wetu walikuja juu sana had nikasema yes huu ndo upinzan sasa lakin kwa sasa nyumba zinabomolewa na hakuna fidia wamekaa kimiya hakuna hata mmoja anayepasa saut yake

Kwahiyo nyie wapinzan kaz yenu ni kutetea mafisad, wauza ngada na wakwepa kodi? Mbona huku kitaa hatuwaelewi

Nguvu yenu kama upinzan iko wapi kwanini haionekan?

Kwanini msisimame upande wetu wanyonge badala ya kusimama upande wa mafisad na wakwepa kod?

Hao wakwepa kod wanawalipa kias gan ili nas tujichange tuwe tunawalipa kias hicho muweze kusimama upande wetu wanyonge?

Wengine mtajadili mwandiko wangu mara hapa hujaweka koma, mara umeandika utumbo gan huu badala ya kujadili hoja

Balikiwen katika bwana

Cc mbitiyaza

LONDON BABY
Kwani wao ndio walioleta ACCACIA, si imeletwa na CCM na wapinzani wakapiga kelele kuhusu utaratibu wa mikataba, na sasa wanapiga kelele kuhusu utaratibu unaotumika kuvunja mkataba, tatizo akili zenu mmezielekeza kusiko mkifikiri mnazo kumbe weupe
 
KWani Lissu alipowapa njia mbadala ya kufuata mlimuona siyo Mzalendo sasa mnatafuta nini??Aliwaambia bila kuondoa kipengele cha kutoshtakiwa waliotuingiza kwenye upumbavu huo Taifa litasota sana au hamkumuelewa??

Baba J ameogopa akitoa KINGA ya kutoshtakiwa wakati na yeye ana kaburi lake la Kivuko Kibovu hayuko salama ameona bora apate Kick asonge mbele.

Ukishatoa kipengele cha kutoshtakiwa watangulizi watawala wetu basi haki zetu zote tutapata maana hawa ndiyo waliokula RUSHWA kubwa na hata hao ACACIA hamuwezi kuwagusa sababu wanajua mkiwashtaki linawageukia walioretire.

Usirushe mawe wakati nyumba yako ni full vioo tena vya Kichina
 
Madaa umeielewa au hapa ndo akili yako inapoishia

Sisi wananchi tusiojua kusoma na kuandika tutawezaje pasipo huyo lissu tuliyemuchagua kutupambania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada wewe ni roboti au ni binadamu mwenye damu kabisa..??
Hivi sheria mbovu mtunge wenyewe kwa maslahi ya hao wazungu wenu, matumbo yenu na familia zenu...!!
Tukipiga kelele mnatutukana, mnatupiga mabomu na kutupiga mabomu... Alafu mkianza kuingia hasara mnataka tushirikiane na nyie kulitetea taifa ambalo nyie ndo mmelifikisha hapo lilipo..??
Acheni dharau jamani... Tumieni hata robo tu ya akili zenu.. Mbona mnavaa vizuri na kupendeza..??
 
Back
Top Bottom