yumba zinabomolewa na nani vile?Wala usitegemee kupata jibu hapa. Swali lako ni rahisi sana:
UPINZANI JAMANI, MBONA MMETUSAHAU TUNAOBOMOLEWA NYUMBA ZETU?
Watu wanakimbilia kusemea makinikia, mikataba mibovu, ufisadi wa CCM, n.k.
Kweli.Mahaba kwako jemedari...!
Sumu ya panya inaua hadi mbwa, boma halikaliki sasa.
Hata neno la faraja pia hakuna toka upinzani? Basi yaishe.N
yumba zinabomolewa na nani vile?
Kama ni mvamizi toka nje ya nchi, JWTZ si wapo?
Na kama ni mvamizi wa ndani, jeshi la polisi na mgambo si wapo?
Kama ni serikali yetu inabomoa, ikamateni serikali yetu.
Wapinzani wanahusikaje?
Acheni kulalamika enyi wapiga dili.
Labda serikali yetu ina kigugumizi hivyo anataka msemaji wa serikali awe huyu ndugu 'upinzani'Kwanza kwa nini asiishangae kauli yake?
Iweje wapinzani watutetee dhidi ya serikali yetu?
Ina maana serikali yetu ni kandamizi?
Kama ni serikali pendwa chini ya Rais wetu mpendwa, kwa nini wananchi tuhitaji utetezi?
Hii quote yako mbona ina utata.Unajitekenya kambi ya upinzani walikutetea sana bungeni miaka hiyo na ccm mlikataa na mkasaini mikataba hewa leo unajitekenya.
Swissme
kwahiyo ndo maana chadema wanawateteaKwani hao mafisadi wa accasia walipokuja walisaini mikataba ya unyonyaji na upinzani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika umenena vyemaHakuna upinzani Tanzania,kuna wasanii na wasaka tonge tu kwa sasa
Kwahiyo hawa chadema wanasumbuliwa na njaa siyo? Kama ndo hivo ndo maana wananunulika kirahisNjaa haina baunsa
Upinzan wetu ni wa hovyo sanaWala usitegemee kupata jibu hapa. Swali lako ni rahisi sana:
UPINZANI JAMANI, MBONA MMETUSAHAU TUNAOBOMOLEWA NYUMBA ZETU?
Watu wanakimbilia kusemea makinikia, mikataba mibovu, ufisadi wa CCM, n.k.
Nyie ndo wapinzan?Hoja yenyewe iko wapi basi tuijadili? Wasalimie Kigoma
Nyie? Mimi ni mtu mmoja. Hebu rekebisha swali lako ndio tuendelee.
Mnaitaka faraja hiyo wakati mnaishangilia serikali inayofanya hivyo?