Kwanini upinzani wetu umeshindwa kututetea badala yake wanatetea wakwepa kodi na mafisadi ya ACACIA?

Mnaitaka faraja hiyo wakati mnaishangilia serikali inayofanya hivyo?
We bwana we, kama una bifu na serikali kawavae.

Mleta mada alitaka kusikia maoni ya upinzani kuhusu hii bomoa bomoa. Kama huna jibu au maoni kuhusu hili basi potezea. Mimi siwezi kukusaidia na frustrations ulizonazo na serikali.
 
Ni kwa sababu. Tanzania hakuna upinzani bali waganga njaa tu.
Mfano. CDM kila kitu wanageuzia gia angani. Tuje kwa CUF. Mkiti hajitambui.

Act ndiyo haijulikani wanachofanya kama ni siasa au ni kikundi cha kwaya na ngojera.

Kwa kifupi, Tanzania tuna majina ya vyama vya siasa ila hatuna raslimali watu kwenye majina ya vyama hivyo.

Wengi ni matumbo oriented.
 
Sasa maoni ya wapinzani yanawasaidiaje walio/wanaobomolewa?
Yaani wewe unaiona serikali iko poa, huwezi hata kuinyooshea kidole halafu unataka wapinzani watoe maoni gani?
wapinzani kila wakisema mnawaambia kuwa wanapinga kila kitu. Sasa hivi wameamua kuisapoti serikali kimya kimya.
"Wapiga dili" wasilalamike.
 
Basi bwana. Sidhani kuna haja ya kusikia kauli yoyote ile toka upinzani. Ukimya nao pia ni jibu tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anaewalaumu upinzani. Swali ni kuwa - mbona kimya? Au madhila yao hayana kipaumbele?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanaokaa kimya si wapinzani. Wanaokaa kimya ni mimi na wewe. Wanaokaa kimya ni wasomi wa nchi hii. Kukaa kimya ni dhambi. Serikali ikichagua sera nzuri, wasomi wanapaswa kusema ili serikali iendelee na sera hizo. Serikali ikichagua sera mbaya, wasomi wanapswa kusema kwa sauti kubwa zaidi ili kuepuka madhara ya sera hizo. Kama wasomi na wananchi wangepaza sauti pale wanasiasa wa kambi ya upinzani walipopaza sauti kuhusu ubovu wa mikataba ya madini iliyodhaminiwa na CCM, leo tusingekuwa kwenye situation ambapo Kabudi anakaa meza ya mazungumzo na tunaosema 'wametuibia'. Ukitaka kujua ukimya wa wasomi na wananchi ndio tatizo kuu, tizama mchakato wa Katiba Mpya. Yaani our interests and aspirations follow rather than precede practices of the government.
 
Kwa hiyo wanaolala nje kwa kubomolewa makazi wameponzwa na mikataba mibovu ya madini?

People pleeease!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi sheria mbovu zinapitishwa Wapinzani alitoka nje Bungeni zikapitishwa na CCM pekeyao, Mikataba ilipigiwa kelelw CCM waliitetea na kuseama ni siri, Unataka Wapinzani waungane na CCM kuvunja sheria walizozitengeneza CCM? waache wazivunje wenyewe, na ndio maana zinawashughulikia mmeanza kulaumu Upinzani,

Nguo mmezivua wenyewe kubalini kifuatacho baada ya kukaa uchi.
 
Hakuna upinzani Tanzania,kuna wasanii na wasaka tonge tu kwa sasa

Hata wakina werema,muhongo na asumta mshana walimuita kafulila,mbowe na mnyika hayo majina kwa sasa imebaki story mwenyekiti wako anamnadi kafulila kama shujaa mwanzo aliitwa tumbuli mchumia tumbo wanahongwa kuiangusha ccm.
 
Ni kwa sababu. Tanzania hakuna upinzani bali waganga njaa tu.
Mfano. CDM kila kitu wanageuzia gia angani. Tuje kwa CUF. Mkiti hajitambui.

Act ndiyo haijulikani wanachofanya kama ni siasa au ni kikundi cha kwaya na ngojera.

Kwa kifupi, Tanzania tuna majina ya vyama vya siasa ila hatuna raslimali watu kwenye majina ya vyama hivyo.

Wengi ni matumbo oriented.
Kweli upinzani haupo ndio maana kazi ya kubomoa inafanywa na serikali. Kichwa kitupu ni mzigo kwa shingo
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Lengo la upinzan ni kutetea masilahi ya wananchi wanyonge na kuisimamia selikali, cha kusikitisha upinzan wetu wao wanajali matumbo yao tu wakifukuzwa bungen huungana kwa pamoja kumushitak speker kwa masilah yao

Kwa sasa wananchi wako kwenye matatizo makubwa ya hapa na pale wao wapo kimiya nyumba na makaz ya watu yanabomolewa wao wamekaa tu, uhuru wa kujieleza haupo tena wao wamekaa kaz yao ni kutetea mafisad

Acacia waliposhikiliwa makinikia yao hawa wapinzan wetu walikuja juu sana had nikasema yes huu ndo upinzan sasa lakin kwa sasa nyumba zinabomolewa na hakuna fidia wamekaa kimiya hakuna hata mmoja anayepasa saut yake

Kwahiyo nyie wapinzan kaz yenu ni kutetea mafisad, wauza ngada na wakwepa kodi? Mbona huku kitaa hatuwaelewi

Nguvu yenu kama upinzan iko wapi kwanini haionekan?

Kwanini msisimame upande wetu wanyonge badala ya kusimama upande wa mafisad na wakwepa kod?

Hao wakwepa kod wanawalipa kias gan ili nas tujichange tuwe tunawalipa kias hicho muweze kusimama upande wetu wanyonge?

Wengine mtajadili mwandiko wangu mara hapa hujaweka koma, mara umeandika utumbo gan huu badala ya kujadili hoja

Balikiwen katika bwana

Cc mbitiyaza

LONDON BABY
Upinzani hautetei mafisadi. Najua unamaanisha Tundu Lisu. Acacia wanaweza kuchagua wakili yeyote mwenye uwezo au kampuni ya mawakili kuwawakilisha. Kutetea mteja si kutetea ufisadi.

Serikali nayo ina mwanasheria mkuu ambaye ana mawakili wa kutosha, pia tuna jopo la wataalamu kwenye mazungumzo na Acacia.
Tafadhali usipotoshe.
Mazungumzo ya makinikia yameishia wapi?

Mmemalizananao vipi?

Usiri huu ni kwa faida ya Taifa au ni kufichiana aibu?

Mnawalipa nini au mnawalipa kwa mtindo gani kwa wao kuwafichia siri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati mbaya umekosa uelewa na huna moyo wa kujifunza.

Mkwepa kodi hufilisiwa, hufungiwa biashara au kupelekwa mahakamani. Humwombi aje kwenye meza ya mazungumzo.

Wapinzani walipaza sauti zao kuhusiana na madini siyo kuwatetea wevi wa dhahabu bali kwanza kuiambia serikali isitumie ujinga wa wananchi kama wewe kujinufaisha kisiasa kwa mambo ambayo ni ya uwongo. Na pili kuliokoa Taifa dhidi ya upotevu wa pesa unaotokana na maamuzi ya hovyo ambayo mwisho wa siku tunaishia kupoteza hata kidogo tulichokuwa nacho.

Tumekwishajifunza maamuzi ya hovyo yalivyoligharimu Taifa, rejea samaki, mikataba ya bararabara, umeme wa IPTL, n.k. Tutaendelea kuwa wapumba.vu mpaka lini? Kila siku tunalipishwa kwa makosa hayo hayo na ambayo tungeweza kuyazuia, hatujifunzi tu?

Lazima watokee watu wenye akili ambao wanaweza kutamka kuwa upumbav.u kama huo, sisi kama Taifa hatuutaki. Sifa hazitafutwi kwa kuliletea Taifa hasara. Wenye akili hawakusikilizwa. Wajinga wakaunga mkono maamuzi ya kijinga. Sasa tunaambiwa kuwa tulipe fidia. Hayo ndiyo mliyokuwa mnayataka?
You are very smart!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom