Tatizo ni hilo hilo la indoctrination, katika kukua kwako umekuwa ukiambiwa hivyo, umeshalishwa kasumba na huwezi kufikiri zaidi ya hapo. Ulishawahi kujiuliza kwa nini maembe huwa yanakuja chini na hayaendi juu yanapotoka kwenye kikonyo chakeSababu kuna mambo yametokea kwenye maisha yangu... kwa uwezo wa kawaida isingewezekana , ilitokea tu ajab yakawezekana.