Kwanini Unaamini Mungu yupo?

Sababu kuna mambo yametokea kwenye maisha yangu... kwa uwezo wa kawaida isingewezekana , ilitokea tu ajab yakawezekana.
Tatizo ni hilo hilo la indoctrination, katika kukua kwako umekuwa ukiambiwa hivyo, umeshalishwa kasumba na huwezi kufikiri zaidi ya hapo. Ulishawahi kujiuliza kwa nini maembe huwa yanakuja chini na hayaendi juu yanapotoka kwenye kikonyo chake
 
Kiongozi,haingii akilini binadamu afurahie kula nyama ya mbuzi au ng'ombe ambaye anakula kama yeye,anafanya mapenzi kama yeye,anazaa watoto kama yeye halafu anajifariji eti hivi vitu tulipewa na Mungu,uongo mkubwa,halafu Simba akimla binadamu,binadamu huyohuyo,hasemi kama simba ana zambi....
Kwanini tusimshitaki hata kwa sheria zetu za kiutawala!!,kama kwa dini kuna mkanganyiko???
 
Mimi nakuhakikishia Mungu hayupo,nimesoma revolution za imani zote,nikagundua ni ujanja ujanja tu,watu kama Papa wa Vatican Wanajua kabisa Mungu hayupo.na Vatican siri za imani zote ziko pale,ndomana kuna maktaba pale hazifunguliwi zinahusu mambo ya dini ya zamani.
Unajua haipendezi kuandika mambo kwa hisia tu.

Uliisha wahi kufika hiyo milango isiyofunguliwa?ulijuaje kama ina historia za dini za zamani wakati hiyo milango haifunguliwi??
 
Unajua haipendezi kuandika mambo kwa hisia tu.

Uliisha wahi kufika hiyo milango isiyofunguliwa?ulijuaje kama ina historia za dini za zamani wakati hiyo milango haifunguliwi??
Soma vitabu utapata hizo taarifa ndugu....

Tatizo la mtu ni kuogopa vitu ambavyo havijui...usiogope Mungu hayupo,kama unaamini yupo leta ushahidi...
 
Soma vitabu utapata hizo taarifa ndugu....

Tatizo la mtu ni kuogopa vitu ambavyo havijui...usiogope Mungu hayupo,kama unaamini yupo leta ushahidi...
Mimi simuogopi Mungu,ndio maana huwa namhoji maswali yangu na anajibu.wewe ndiye unamuogopa unamkwepa unakuja kuulizia jf.
 
Dalili kubwa ya uwepo wa Mungu ni Kuchomoza Jua na Kuzama na kuingia usiku na Mchana nidhamu hii hakuna mwanadamu anaweza kuibadilisha!!!
 
Kwa nn wanasayans hawifiki kwenye jua.hivi kweli usingizi husababishwa na nin.mbona kuna usiku na mchana?
 
Dalili kubwa ya uwepo wa Mungu ni Kuchomoza Jua na Kuzama na kuingia usiku na Mchana nidhamu hii hakuna mwanadamu anaweza kuibadilisha!!!
Mjomba,kiufupi dunia ni sayari inazunguka jua,kwahiyo kutokea kwa usiku na mchana ni kwanba wewe unapoishi dunia ama inakua upande wa jua(mchana),au upande usio wa jua (usiku)..

Kwa nyongeza tu,ukitoka nje ya dunia ukiwa angani,hakuna juu wala chini...na pale ndo unaona dunia inavyotembea
 
1-sikujiuliza maana kwetu dini hizo za kigeni ndani ya familia zimepokelewa na kizazi nilikichokiona ktk ukoo(bibi mzaa baba- ukristo) (mjomba wa baba- uislam) hivyo ukoo wetu kwa kiasi kikubwa unajengwa na hawa ndugu wawili kaka na Dada
Hivyo vizazi vyao tumegawanyika ktk pande hizo juu mbili.
Jibu- mm ni mkristo kwa kuwa nimezaliwa na wazazi WAKRISTO.
2- Nisingebadili
3-kwanza naziheshimu dini zote mbili kwa kuwa ni dini kubwa mbili za MAPOKEO ndani ya ukoo
Jibu- naamini ktk ukristo kuwa ndiyo sahihi kwa sababu ndiko nilikopata malezi kwa mafundisho yake kwa kina na kunikomaza ktk imani na kuniondolea mashaka.
4-kitu kinachonifanya niamini Mungu yupo kwanza kabisa ni UWEPO wangu mm mwenyewe na viumbe vinavyonizunguka.
Pili mafundisho mbalimbali ya kiimani tunayofundishwa na kushuhudiwa.
Mwisho amino yeye ni ALFA NA OMEGA
 
No creation made,hayo maandiko hayana ushahidi..

Kama binadamu angeumbwa kutawala asingeliwa na simba
That is the result of his disobedience mwanzonzi kwa kula the fruit of knowledge of good and evil. He, therefore, lost his place. Haujiulizi kwa nini a human is a wanting being (Maslow hierarchy of needs)? Hata awe na nini he does not get satisfied. Intrinsically, but unknowingly, we are questing for the position that we lost in Eden, that can only be found in Christ for he came to restore humanity to God.
 
Mjomba,kiufupi dunia ni sayari inazunguka jua,kwahiyo kutokea kwa usiku na mchana ni kwanba wewe unapoishi dunia ama inakua upande wa jua(mchana),au upande usio wa jua (usiku)..

Kwa nyongeza tu,ukitoka nje ya dunia ukiwa angani,hakuna juu wala chini...na pale ndo unaona dunia inavyotembea
And yet you believe that all of that happened by chance?? All of those excellent arrangements and timing happened by chance? With no intelligent designer? Kwamba kulikua na eruption from nothingness (kama the big bang theory inavyosema) na sayari (including dunia) ni chembe chembe za hiyo nothingness zikajipanga na kuzunguka (rotating and revolving) is by chance, life happened by chance na essence ya maisha ni mawe, meaning babu yako wa kwanza kabisa alikua jiwe.

Evolution is insanity and it takes a lot of faith to believe in it
 
Mjomba,kiufupi dunia ni sayari inazunguka jua,kwahiyo kutokea kwa usiku na mchana ni kwanba wewe unapoishi dunia ama inakua upande wa jua(mchana),au upande usio wa jua (usiku)..

Kwa nyongeza tu,ukitoka nje ya dunia ukiwa angani,hakuna juu wala chini...na pale ndo unaona dunia inavyotembea
Kwaiyo anaye badilisha usiku na mchana ni nani?
 
Ilishaandikwa "Wapumbavu hawamjui Mungu.Hivi matrilion ya binadamu wanakiri Mungu yupo wanashinda miskitini na makanisani wakimwabudu wakiwemo madaktari na wanasayansi wewe unadai Mungu hayupo ,ina maana ww una akili kuliko hawa wanaomtukuza.

Walio wa kwake awajua hawana umuhimu wa kubishania hii mada.
 
Back
Top Bottom