Tatizo ni huyo creator alitoka wapi au yeye ameumbwa na nani au na nini?Actually ni kinyume kabisa. Ukiangalia creatures lazima utaona kuwa kuna creator. Sababu viumbe haviwezi kuwepo bila muumbaji. Leo hii ukitembea msituni ghafla ukaona picha imechorwa pahala, lazima utasema kuwa kuna mchoraji under no circumstance utasema kuwa hiyo picha imetokea tu under the influemce of evolution which took place over billions of years (kama evolutionists wanavyoargue).
Kila kitu, milima, viumbe hai, visivyohai, mpangilio wa sayari, mzunguko wa dunia etc proves that there is an intelligent Designer.